Ally zuberi
913 posts


@YesItsBash Mbeumo has been so terrible, Amad as well. Mount should’ve come on ahead of Amad.
English

Dube is intelligent player, Okello mrithi sahihi wa Ki(Needs goals though). Boka is ass, Yao sio yule.
Pacome good performance.
Draw nzuri.
#Yangabingwa
English

Huyu Mzungu Pori Tulimpokea Vizuri Tanzania Na Akapewa Nafasi Mbali Mbali Kama Balozi Haswa Kwenye Sekta Ya Utalii Lakini Huyu Mzungu Pori Ni Kama Katumwa Kuivuruga Tanzania Na Walio Mtuma.
Huyu Mzungu Amekua Ni Mtu Wa Kueneza Chuki Kwa Watanzania Dhidi Ya Serikali Yao Posti Zake Na Maneno Anayo Yatoa Ni Ya Uchochezi Tu' Huku Akijifanya Ana Uchungu Sana Na Watanzania,
Yes - Huenda Ana Uchungu Sana Na Tanzania Lakini Njia Anayo Pita Na Kufikisha Ujumbe Wake Ni Sahihi.!? Au Ndio Anaongeza Jazba Na Chuki Kwa Wananchi Na Serikali Yao! Huyu Sio Wa Kumpa Nafasi Hata Chembe Sababu Mwisho Wa Siku Yeye Yupo Ulaya Huko Na Watanzania Tunabaki Na Tanzania Yetu,
Kifupi Mtanzania Ndio Mwenye Tanzania Yake Mtanzania Ndio Anaamua Aiharibu Tanzania Yake Au Aijenge Lakini Sio Kwa Uchochezi Wa Mtu Wa Kufanya Kuja Tu,
Huenda Ni Kweli Kupitia Uchaguzi Mkuu Uliofanyika Mwezi OKTOBA 29/2025, Kuna Watu Waliumia Kwa Namna Moja Ama Nyingine Kutokana Na Vurugu Zilizo Tokea Lakini Watanzania Walisha Sahau Na Kuacha Maisha Mengine Yaendelee Lakini Yeye Yupo Ulaya Anachochea Tena Moto Ulio Zima Huyu Sio Mtu Sahihi,
Watanzania Tunapaswa Kuwapuuza Watu Kama Hawa Kwajili Ya Nchi Yetu. Ni Lazima Kujua Kwa Kila Mtanzania Ya Kwamba Hakuna Tanzania Nyingine Zaidi Ya Tanzania Hii Na Ukivuruga Amani Ya Tanzania Yako Ujue Kabisa Wewe Mtanzania Ndio Utakua Muhanga Wa Litakalo Kukuta. Tuache Kuendeshwa Na Ujinga Wa Mihemko Sababu Mwisho Wa Siku Wachochezi Kama Huyu Mzungu Pori Hawatakuwa Na Wewe Kwenye Matatizo Yako,

Indonesia

@Grandsoncr7 They need to win trophies ,Enyoy your mbappe at bernabeu,psg satisfied with the two players mentioned📌
English

@blazadadee1 Joshua baraka jamaa ni level kubw sana
Tafuta ngoma ya kuitw wrong places kam hujaisikia
Indonesia

@George_Ambangil Huyu mwingine nyie si mnaendelea kusikiliza feminist,na wachezqj wanawake wa united kutokumrudisha ikiw aliepigwa amebeba adi tumbo la jamaa, bas msijali mali hio itafany kwingine and one day will be against utd🤣🤣🤣
Indonesia

@PhysicsJ7 @TBoundBuses Hao ni wangese sana
Akiw period mizozo,akipat mimba mizozo, wao ni automatically ni viumbe wa kuwapa faraja wanaume nasio kufany wanavyolazimisha wao ni tatizo la kifenist ili
HT

@NMweusi85571 Umetumika kweny kwend,unanusurika kutumika tena kurud unachekelea
Filipino

@zoetjesheeftX Dahhh iweke kinyume apo kbla atujaanz kucheka
Indonesia

Mshindi wa Tuzo ya Grammy “Tayla” anasema kipindi anajitafuta aliwahi kumtumia Meseji (DM) instagram Msanii Mwenzake Nasty C” akimuomba kolabo Nasty alimjibu ampatie kiasi cha Dola $300K ambayo ni sawa na Shilingi Milioni 750 za kitanzania Tayla akamjibu yeye bado hajafikia ukubwa huo kaka wakina Rihanna au Nick Minaj kumpa hiyo hela Tayla anasema baada ya kumjibu vile Nasty alim Block Tayla Instagram Mpaka leo.

Filipino

@Narrowbeeflying No hio age seli zinazokufa almost ni saw na zinazozaliwa ni inakua "balanced"

..✍️ According to Biological growth Graph(growth cave)
-Kama umeshafikisha miaka 25 pale ndio kilele cha ukuwaji, seli zinaanza kufa kwa wingi kuliko zinazozalishwa. So kama wewe ni mfupi ujue hurefuki tena, kama una kibamia ujue hakikui tena,kama ni mwembamba ujue hunenepi tena.
-Hapo mwili unaanzaa kudrop sasa nguvu zinapungua na kupata magonjwa kwasababu ya upungufu wa seli, Means that unaanza kuzeeka. AKHSANTE
Indonesia

@OleSebele @zoetjesheeftX Unatak mahojiano upate engagrment kweny akaunti yako alaf yeye unamlipa nn au atafaidika nann kweny mahojiano yako,mbo yeye cali mastory hafuati mtu ambaye hana impact naye 🤪🤪
Filipino

@zoetjesheeftX Yaani kisa umeona mtu anakula bata sehem mbalimbali ndo unahisi ana muda wa kukaa naww umuhoji?? Akili za kindezi sana hizi muda wa bata upo ika muda wa kuhojiana haupo simple
Filipino

Yule kondakta mrembo kuliko wote aliye jipatia umaarufu kupitia kampuni ya Mabasi ya Tilisho, inasemekana Kwa Sasa hayupo na kampuni hiyo licha ya urembo wake kutumika kuipa jina kubwa kampuni hiyo.
Kwa mjibu wa Carry Mastory anasema binti huyo alianza Kujiona ni mkubwa Kuliko Kampuni yenyewe, Carry anasema Kuna kipindi alihitaji kufanya naye mahojiano (interview), lakini binti alimzungusha na mwisho wa siku akamuambia hana muda licha ya Kila mara Kumuona akila bata sehemu mbalimbali.
Ila Kwa upande mwingine huyu binti hii tasnia kaipa ukubwa Sana kiasi kwamba watu Wana iheshimu sana, hata kampuni ya Tilisho yenyewe ilijitangaza kupitia binti bila kutumia nguvu wala gharama.

Filipino




















