Ole-Sebele
2.3K posts


@TonnyUnfiltered Primary huko kama sio STD III basi IV tulikiwa na banda umiza home

@_21megatron @lePrezidente11 Niliichakatia ndani ya gari usiku ule mzee nisingeweza kukaza mzee mzigo umejileta wenyewe ngumu sana mwanaume kukaza
Indonesia

@officialshakuu Singo maza ni wa kupiga na kusepa hao ndugu zake wanampenda sana awasikilize
Filipino

@Idliss_salum @kwaheshima Kmmk yaani muda wote naona kama naambukizwa virusi aisee😀😀😀😀
Eesti

@FanuelIddy Tabora nimeishi miaka miwili 2017 - 2019 maisha yako cheap sana huwez sema sehem kilo ya unga TSh 700 enzi hizo eti chakula ni gharama
Indonesia

@OleSebele Tabora Kakak ni pagumu nilakaa mwezi tu hata chakula no gharama sana
Indonesia

@Sisimizi3 Kwa sasa ndio DC Babati na sio Arumeru. Alikuwa DC Arumeru kabla ya Babati
Filipino

@fintanjr_ Mafile yake yana shida gani janja?? Mbona hata wewe watu wana mafile yako hakuna mtu asie na pasts zake mzee kamchukue mkeo muendelee na maisha😀😀😀😀
Indonesia

Ali Kamwe🗣
" Nilimpenda sana, lakini ilikuwa ni siri yetu katika hatua za mahusiano, Siku ambayo nimemuweka public tu ndio tatizo lilipoanza, kwenye uchumba, wakati wa ile sherehe mimi sikuwa na simu ila nilipokuja kushika simu, nikakutana na watu tofauti wamenitumia Files zake💔,.. nilivunjika moyo ila nilishauriwa tukamilishe ndoa ndio nimuache, kwa heshima ya wazazi, kwa hiyo ndoa ilishavunjika kabla ya ndoa kufungwa", Anamaliza.

Indonesia

@ally_z29067 @zoetjesheeftX Mpuuzi huyo mbona hajaja kunihoji mimi?? Nice Moshi ni potential ndomaana anataka amuhoji
Slovenščina

@OleSebele @zoetjesheeftX Unatak mahojiano upate engagrment kweny akaunti yako alaf yeye unamlipa nn au atafaidika nann kweny mahojiano yako,mbo yeye cali mastory hafuati mtu ambaye hana impact naye 🤪🤪
Filipino

Yule kondakta mrembo kuliko wote aliye jipatia umaarufu kupitia kampuni ya Mabasi ya Tilisho, inasemekana Kwa Sasa hayupo na kampuni hiyo licha ya urembo wake kutumika kuipa jina kubwa kampuni hiyo.
Kwa mjibu wa Carry Mastory anasema binti huyo alianza Kujiona ni mkubwa Kuliko Kampuni yenyewe, Carry anasema Kuna kipindi alihitaji kufanya naye mahojiano (interview), lakini binti alimzungusha na mwisho wa siku akamuambia hana muda licha ya Kila mara Kumuona akila bata sehemu mbalimbali.
Ila Kwa upande mwingine huyu binti hii tasnia kaipa ukubwa Sana kiasi kwamba watu Wana iheshimu sana, hata kampuni ya Tilisho yenyewe ilijitangaza kupitia binti bila kutumia nguvu wala gharama.

Filipino

@HildaNewton21 Tushukuru Mungu hata kwa hiki kidogo alichotupatia
Indonesia























