Andrew Zemba
4.4K posts


@andrewzemba I saw it
I ask again
Where did I say so?
Or rather...what's the basis of your question?
English


Lini mta move on kwa madueke ,
Aliondoka Chelsea mkategemea janja ataharibikiwa ndio kwanza kashine na world cup kaitwa huku Kabudi kaachwa
Presenter Noah@PresenterNoah
Ila Nikiwa Mkweli kabisa ni Mara Mia andunje abebe hilo kombe ila sio Madueke 🤣🤣🤣
Indonesia

Waache wapigwe. Nimetia Tielemans na Santos kwa 85m na bado namfata Manu Kone kisha wings teleza Summerville nafunga kazi.
SIR TIVA@Sativa255
Bruno Guimares Wanaotaka kulipa £120M ana miaka mingapi?
Filipino


@hamzaalbhanj Game management kila timu inaconcede dakika za mwisho wenge tu instead of kutulia kumaliza game look at senegal
Filipino

@hamzaalbhanj That year greece walipiga wakubwa wakubwa ah nostalgia im happy niliziona zile moments nnaweza kuelezea wajukuu yani nakumbuka kwa uzuri
Indonesia

@hamzaalbhanj Euro 2000 England hakukutana na france , ofcz Zizou alikiwasha kwenye Euro 2000 sana, England aliteseka na France in 2004 game iliisha 2 2 not sure but Zi dane alipiga free kick moja kali tv yetu ilikua na chenga ila nilicheki hiyo game, nakumbuka kama ilikua jana vile.
Filipino

Hii Euro Zizu aliwafanya Sana Vibaya
England na Ureno
Walitabika sanaaaaa
EuroFoot@eurofootcom
🇫🇷⭐️ 26 years ago today, Zinedine Zidane dropped this performance against Portugal at EURO 2000. Wow. 😍
Filipino











