Apoly Mnado

6.2K posts

Apoly Mnado

Apoly Mnado

@apoly_mnado

Strong heart

Mbeya, Tanzania Katılım Mart 2022
621 Takip Edilen206 Takipçiler
Apoly Mnado retweetledi
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Jana nilifurahi sana kuonana na Mzee wangu Richard Mabara, huyu Mzee ni Mzalendo sana. #Statesman
Joseph Mbilinyi tweet media
Filipino
53
208
2.4K
34.1K
Apoly Mnado retweetledi
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Huu ndio umekuwa msimamo wetu KABLA na BAADA ya ripoti ya kubumba ya Bwana Chande… #Statesman
Filipino
8
118
821
9.9K
Apoly Mnado retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Msikilize vizuri BONGO ZOZO na haya ndio maswali ambayo tulitaka majibu yake. Sasa walichofanya wakina KYANDE ni kuongeza maswali mengine magumu yanayoumiza mioyo yetu afu wanataka "Mardhiano". KYANDE alichofanya ni kumsafisha DIKTETA jike kimataifa mikopo iendelee kuingia ila deep down wao ndio waliuwa na hatuna cha kuwafanya. Inaumiza sana na hili wakoloni weusi wakae wakijua HAIWEZEKANI nchi ikarudi kama zamani bila kutibu majeraha tuliyonayo hilo HALIWEZEKANI. TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Indonesia
19
266
1.3K
29K
Apoly Mnado retweetledi
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Hizi salamu zifike mpaka Ukonga "We Love You, Respect You and Appreciate You"✌️🫡
The mandevu tweet media
HT
28
361
2.4K
19.5K
Apoly Mnado retweetledi
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
Wakili Jebra Kambole kutoka Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) ameyasema hayo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari, Aprili 27, 2026 wakati Asasi 14 za kiraia zikitoa msimamo wao kuhusu Ripoti iliyosomwa na Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025. Zaidi tembelea jamii.app/TakwimuJajiCha… #JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala
Indonesia
8
99
457
8.2K
Apoly Mnado retweetledi
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Chande/Kabudi. Huu ni ushahidi vijana wakitengeneza mabomu, wakiwa na bunduki na wakifanya mazoezi ya kupindua nchi. Hatutaacha kusema wala kufukua makaburi baada ya kugundua dhamira yenu sio amani bali kuwafunga midomo wanaopigania "amani na uhuru" wa kweli wa nchi yetu.
Indonesia
12
135
511
14K
Apoly Mnado retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
“Derrick aliuwawa Oktoba 29 kwa risasi akiwa anafanya biashara maeneo haya , mwili wake ulikaa barabarabi siku tatu bila kutolewa…”-; Mwanachama wa CHADEMA
Indonesia
6
161
952
22.5K
Apoly Mnado retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Gari lililotumika kuuwa watanzania kwa Maelfu laonekana kwenye ziara ya Mwigulu. MUNGU fundi sana, hawa ndio walikuwa wanauwa watanzania kwa MAELFU mpaka mtaani video zipo. Leo gari lao lipo kwenye mkutano wao. Hakuna kitu mtaficha kwenye dunia hii ya mitandao ya kijamii, kila mtakachokifanya DUNIA ITAJUA kwa uhalisia wake. Damu za ndugu zetu mlizomwaga zinapiga kelele. REPOST 200 TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Filipino
30
175
707
24.9K
Apoly Mnado retweetledi
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Hii ni Nkasi jana kikao cha ndani, tena Kirando huko! Najivunia sana kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, pia najivunia tuna mtu imara kabisa my sister Mh. Aidah mkoa wa Rukwa! #StrongerTogether
Joseph Mbilinyi tweet media
Indonesia
31
276
1.9K
21.3K
Apoly Mnado retweetledi
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Watu 500 unaweza ukawaona ni wachache na wasikushtue sana, ni kwasababu tu wako scattered!! Huku, 20, Kule, 80 hapa 90 etc. Ngoja nikuwekee kwa pamoja uone then uifeel impact yake!! Shule 🏫 yenye form 1-6 Chukulia kila darasa lina wanafunzi 25 na kila darasa lina mikondo 3 A,B,C. Form 1 - 6 kutakuwa na wanafunzi 450. Ukiongeza na walimu & staffs 50 =500 total. JAMAA WAMEUA SHULE NZIMA!!
Filipino
65
199
1.5K
45.3K
Apoly Mnado
Apoly Mnado@apoly_mnado·
@millardayo zee zima ovyoo!!! alafu et hii ripoti ndo ituongoze kwenye maridhiano big NOOOOOO📢📢
HT
0
0
0
201
millardayo
millardayo@millardayo·
Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Oktoba 29, Jaji Othman Chande, amesema suala la upoteaji wa Watu linaendelea kuwa miongoni mwa changamoto kubwa za Kijamii zinazolikumba Taifa pamoja na Dunia kwa ujumla akisisitiza kuwa uzito wa tatizo hilo ndiyo sababu limepewa kipaumbele maalum katika uchunguzi wa Tume hiyo. Jaji Chande ameeleza kuwa takwimu za Kimataifa zinaonesha ukubwa wa tatizo hilo ambapo mtandao wa Shirika la Msalaba Mwekundu Duniani umebainisha kuwa kati ya mwaka 2020 hadi 2024 zaidi ya Watu 284,000 wameripotiwa kupotea Duniani kote hali inayodhihirisha kuwa suala hilo si la Nchi moja pekee bali ni la Kimataifa Aidha, ameongeza kuwa hata katika Nchi zilizoendelea Barani Ulaya pamoja na Marekani bado matukio ya Watu kupotea yanaendelea kuripotiwa akitaja mifano ya Nchi kama Ubelgiji na Uholanzi, huku akibainisha kuwa sababu za upoteaji hutofautiana kulingana na mazingira ya kila Nchi jambo linalohitaji uchambuzi wa kina kabla ya kufikia hitimisho. Akizungumza Aprili 28, 2026, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere (JNICC), Jaji Chande amesema "suala la upoteaji linatukera sana, ndiyo maana tumeweka kama moja ya vyanzo vya masuala ya Kijamii, pia ni changamoto Duniani kote, Mtandao wa Shirika la Msalaba Mwekundu Duniani unasema kuwa kati ya mwaka 2020 hadi 2024, zaidi ya watu 284,000 waliripotiwa kupotea Duniani, hata Ulaya, Watu wanapotea, Ubelgiji, Marekani, Uholanzi na Nchi nyingin, sababu zinatofautiana, hivyo kila Nchi ina vyanzo vyake, kuna viashiria takribani 74 vya aina ya Watu wanaopotea Duniani, hivyo ukitaka kuelewa kwa undani lazima ubainishe chanzo cha kila tukio.” Jaji Chande. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
186
6
213
47.9K
Apoly Mnado retweetledi
Rugemeleza Nshala
Rugemeleza Nshala@rugemeleza·
Air Tanzania mmepoteza sanduku langu. Jana usiku nimesafiri na Air Tanzania Ndege Bamba 125 kutoka Kilimanjaro muja Dar es Salaam. Ajabu yake ni sanduku langu ndilo halikufika. Lolote litakalofanywa kwenye sanduku hilo utakuwa ni wajibu wa Air Tanzania.
Indonesia
58
247
1.2K
31.9K
Apoly Mnado retweetledi
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Yes kwa sababu mmezingua sana, yaani mmejivunjia hata heshima ndogo mliyokuwa mmebaki nayo kama WAZEE…Mmelisaliti Taifa na kuliongezea maumivu mioyoni kwa kutoa ripoti ya ovyo ya KUBUMBA!
Joseph Mbilinyi tweet media
Indonesia
94
285
1.9K
28.1K
Apoly Mnado retweetledi
Mwaura Robert
Mwaura Robert@MwauraRobert2·
Fully agreed. Samia is a criminal, period.
English
6
203
694
14.3K
Apoly Mnado retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
MAANDAMANO YAJAYO HAPATATOSHA!!
हिन्दी
32
315
1.9K
34.1K