Arnold Elikunda

10.5K posts

Arnold Elikunda banner
Arnold Elikunda

Arnold Elikunda

@arnorexC0

(ESIA | RAP | IFRS S1 & S2 | GRI | ESG | SDGs) Consultant

Tanzania Katılım Temmuz 2022
1.2K Takip Edilen1.3K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Arnold Elikunda
Arnold Elikunda@arnorexC0·
@worldranking_ It's a true story, the condition is sometimes referred to as Locked-in Syndrome.
Arnold Elikunda tweet media
English
2
26
440
42.5K
Arnold Elikunda retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Jana nilipokwenda kuhuduria Kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu Chaso. Walitumwa baadhi ya vijana kutoka UVCCM, kwa kulipwa vifedha kidogo… Sina tatizo na vijana hata kama ni wa ccm kuhudhuria na kusikiliza sera, misimamo na hoja zetu. Lakini huyu kijana, watu wetu walipomgundua na kumhoji alisema alikua ameambiwa kwamba tukianza kuzungumza kuhusu ripoti ya Chande wazomee.. Lakini pia wafanye fujo na kutoka ukumbuni, ionekane vijana hawakutusikiliza. Kwenye simu yake alikua anawasiliana na mtu anaitwa Shangwe Mtei ambae ni kiongozi wa Uvccm. Huyu Shangwe akawa anamhakikishia kwamba hata kama wako wachache wafanye fujo kwasababu OCD alikuwepo nao pale. Ghafla huyu kijana akiwa anahojiwa na watu wetu kwanini yuko pale na nia yake ni ipi, Magari mawili ya polisi yalikuja pale kitendo kinachoonesha kwamba tukio hili lilikua limepangwa kwa ushirikiano huo. Huyu kijana alikua ametumiwa muamala wa sh 50,000 kwa madai yake walitumiwa wote na wenzake, na walipatwa hofu na kutokufanya fujo kwasababu vijana wa Chaso walikua wengi zaidi na pia ulinzi ulikua imara.. Fikiria kwamba huyu ni kijana wa chuo kikuu ana fikra na mawazo ya kutumwa na kulipwa sh 50 elfu!! Tuna safari ndefu kama Nchi Lakini lazima tufike.. Asante watu wetu wa ulinzi kwa kazi nzuri.
Suomi
62
282
844
36.1K
Arnold Elikunda retweetledi
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Shivji: Serikali inapokosa uhalali kwa watu wake, hutumia mabavu
4
230
588
15.2K
Troll Football Media
Troll Football Media@TrollFootball2·
The English 1st division (top league) 100 years ago
Troll Football Media tweet media
English
50
98
2.3K
194.5K
Arnold Elikunda retweetledi
Adv.Innocent⚖️
Adv.Innocent⚖️@Adv_innocent·
Leo kwenye tamasha la chadema, ilinibidi niwakutanishe mwinshehe na tajiri la kihaya 😅😅💔
Adv.Innocent⚖️ tweet mediaAdv.Innocent⚖️ tweet mediaAdv.Innocent⚖️ tweet media
Filipino
65
116
626
19.7K
Arnold Elikunda
Arnold Elikunda@arnorexC0·
@EsirEid Ni kweli, na hili najua hata wanaobet wanajua pia kwamba kamari haina manufaa yoyote kwa taifa. Na tusipozinduka tutaishia kizazi tegemezi na cha kimaskini. Lakini hapa tumeelezea tatizo, swali la msingi, tunatoka je kwenye huu mtego kama vijana?, maana hata serikali haijali.
Indonesia
0
0
2
19
Arnold Elikunda retweetledi
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLakihaya Jana tulikua tunakumbushana tu ili tuwe Sawa! Sasa VIJANA Naomba tujadili issue kamili- najua wengi mnaogopa kujadili hii mada Kwa kuogopa matusi na hata usipate support yoyote… Ila lazima tulijadili hili Kwa maslahi mapana ya Sisi vijana na kizazi chetu cha kesho… Kuzidi kufunguliwa kwa Betting Companies kila uchao na hata hii ya juzi ilioleta kelele humu si hatua ya maendeleo, ni kengele ya hatari kwa kizazi chetu vijana. Kamari haitujengei vijana uwezo, haitupi ujuzi, wala haitengenezi thamani kwenye uchumi. Inauza ndoto ya ushindi wa haraka, lakini ukweli wake ni mzunguko wa hasara, madeni, utegemezi na kuvunjika kwa maisha. Tunaambiwa ni ‘AJIRA’, lakini ni ajira ya aina gani inayotegemea watu wengi kupoteza pesa zao ili wachache wanufaike? Huu si uchumi jumuishi,ni mfumo unaonufaisha kampuni huku ukiwaacha vijana wakizama kwenye hasara. Na ndio maana kampuni za kamari kila siku zinaongezeka lakini vijana BADO tupo kwenye umasikini ule ule Miaka nenda Miaka Rudi💔 Athari zake zipo wazi; Madeni yanayokua kimya kimya,Msongo wa mawazo na hata uraibu wa kamari, Kupotea kwa muda na nguvu ambazo zingetumika kujenga maisha,Kupungua kwa tija kwa vijana waliopaswa kuwa nguvu kazi ya taifa nk. Serikali haiwezi kusema inajali vijana huku ikiendeleza mazingira yanayowasukuma kwenye utegemezi wa BAHATI badala ya juhudi na ubunifu. Hii si sera ya maendeleo, ni kuruhusu kizazi kipotee polepole. Vijana tuamke. Hakuna ‘shortcut’ ya mafanikio kwenye kamari. Waliopo juu ni wachache wanaotumika kama matangazo,lakini maelfu wako chini wakipoteza. KAMARI sio ajira, ni mtego unaowalenga vijana moja kwa moja. Tunauziwa ndoto za ushindi wa haraka, lakini uhalisia ni madeni, utegemezi, msongo wa mawazo na kupoteza kabisa mwelekeo wa maisha. Serikali haiwezi kwa mkono mmoja kuzungumzia kuwawezesha vijana, halafu kwa mkono mwingine kufungua milango ya kamari inayowapumbaza na kuwavuta kwenye utegemezi wa bahati. Hii si sera ya maendeleo,ni kulea utegemezi. Vijana tuamke. Hakuna utajiri wa mkato kwenye kamari! waliowanufaika ni wachache sana, na wengi wanabaki na hasara, maumivu na muda uliopotea. Taifa haliwezi kujengwa kwa tiketi za bahati nasibu. Tunahitaji ajira halisi, elimu bora na fursa za uzalishaji,sio kamari. Tunahitaji uwekezaji kwenye elimu ya vitendo, ujasiriamali, viwanda na teknolojia,not betting. Taifa haliwezi kujengwa kwa kubeti,linajengwa kwa kuzalisha💯💯 Serikali ifikirie upya,hatuwezi kujenga taifa kwa kuwapa vijana ndoto za mkato zisizo na kesho💯💯 Serikali haipaswi kulea kizazi kwa bahati nasibu badala ya fursa halisi. Vijana tuamke,hii si njia ya mafanikio💯💯
Indonesia
296
265
742
40.5K
Arnold Elikunda retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Hii ilikuwa jana usiku baada ya Profesa J kutambua uwepo wa Mhe. @HecheJohn kwenye Show ya Bongo Fleva Honors Umati ukalipuka kwa shangwe watu wakaanza kuimba Hecheee!… hecheeeee!.. hecheee!…
Indonesia
8
179
1.3K
32.8K
Arnold Elikunda retweetledi
Anna Tibaijuka
Anna Tibaijuka@AnnaTibaijuka·
NAMSHUKURU BONGO ZOZO KWA MAONI NA USHAURI WAKE MZURI WA KIZALENDO NA UPENDO NA MAARIFA. TUNGEMSIKILIZA TUNGEPIGA HATUA KATIKA MENGI IKIWEMO KUMUACHIA TUNDU LISSU ILI KULILETA TAIFA PAMOJA. WE NEED TO MOVE ON.
Indonesia
112
574
2.2K
39.3K
Adv.Innocent⚖️
Adv.Innocent⚖️@Adv_innocent·
Naona watu wakitembea wawili wawili, kwani Nuhu ameita tena?
Indonesia
11
39
85
1.1K
Arnold Elikunda
Arnold Elikunda@arnorexC0·
@MarekaMalili Nikajua ni mimi tu, dah!. Yaani ikifika saa tisa/kumi usingizi unakata then yanaanza kuzunguka mawazo akilini, ikitoka story hii inakuja hii, najitahidi nisiwaze chochote usingizi uje lakini wapii. 😒😒
Indonesia
0
1
1
164
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Hii ya usingizi kukata saa 9 ikoje?
Indonesia
129
29
433
23.4K
Arnold Elikunda retweetledi
Adv.Innocent⚖️
Adv.Innocent⚖️@Adv_innocent·
Mwambukusi kichwani ni mzima sana🙌
7
70
237
4K
Arnold Elikunda retweetledi
mwananchidr
mwananchidr@mwananchidr·
Viongozi wa dini waliotumwa na samia wakutana na moto mkali kwa Vijana : viongozi wa dini mmekuja kuzungumza na sisi vijana, mmetumwa na mungu au na serikali?
Slovenščina
23
118
488
29.5K
Arnold Elikunda retweetledi
Honourable speaker KILESI🕊️
Tukiachana na huyu dogo kujua hizo njia, mm ninazijua zaidi ya nne ila sasa siku nikohojiwa tu nikasema najua njia nne nina uhakika ata mfupa wangu hamtauona😂😂
Indonesia
7
30
206
20.5K
Arnold Elikunda retweetledi
#NiYeye
#NiYeye@InnocentJLS·
"Mwanasheria Mkuu wa Serikali kazi yako sio kushauri Bunge, kazi yako ni kuishauri Serikali, wewe huwezi kuwa mshauri wetu" Tundu Lissu 2015 Ila Lissu😂😂😂🙌🏻
Indonesia
19
113
1.1K
20.6K
JUJU PUNTER
JUJU PUNTER@jujupunte·
$250 to the person who predicts the exact score Arsenal or Atletico Madrid?
JUJU PUNTER tweet media
English
6.1K
432
4.8K
459.1K
Arnold Elikunda retweetledi
#NiYeye
#NiYeye@InnocentJLS·
"Baba wa Taifa (Nyerere) hakuwa Mungu, hakuwa Malaika, hakuwa Mtakatifu, tunaposema makosa yake tunathibitisha ubinadamu wake:" Tundu Lissu 2014
Indonesia
6
70
597
11.5K
Arnold Elikunda retweetledi
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
MBEYA: Mwananchi akiuliza swali akiwa katika Mkutano kati ya Vijana na Viongozi wa Dini kuhusu Haki na Amani Ulioandaliwa na Kamati ya Dini mbali mbali (ISCEJIC) kufuatia Matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Mkutano ulifanyika Aprili 16, 2026 ukiongozwa na Sheikh Khamis Mataka wa BAKWATA na kuhudhuriwa na viongozi wa Dini mbalimbali akiwemo Mchungaji Modest Pesha wa CCT. Zaidi jamii.app/ViongoziWaDini #JamiiForums #Uwajibikaji #JFMatukio
Indonesia
37
136
596
24.3K
Shaffih  Dauda
Shaffih Dauda@shaffihdauda1·
Tabiri na Ushinde SH 50, 000🎉 🟢 YANGA SC 🆚 SIMBA SC 🔴 Tabiri Mfungaji wa Bao la Kwanza na Matokeo ___👇 NB: Folo Whatsapp channel yangu mshindi atatangazwa huko baada ya gemu: whatsapp.com/channel/0029Vb…
Shaffih  Dauda tweet media
Indonesia
221
19
302
18.2K
Arnold Elikunda retweetledi
Kumbusho Dawson Kagine
Kumbusho Dawson Kagine@KumbushoDawson·
Kumbukizi kutoka kwa Waziri Mkuu Mstaafu Msuya!!!
Indonesia
2
50
257
4.9K