Francis joshua

3.6K posts

Francis joshua banner
Francis joshua

Francis joshua

@atalikwach

Liverpool fans🇹🇿|| imagine being us|| simba sc|| pira biriani|| domestic & industrial electrical installation⚡️⚡️||

Shirati Katılım Şubat 2022
799 Takip Edilen264 Takipçiler
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Unajua hawa wasenge ndo wanafanya upelelezi uwe mgumu sababu ya siasa zao za kisenge kwanza gari lililomteka SIO DFP alafu watekaji mmoja amegundulika na sababu imejulikana si msubiri j3 Polisi wanakuja na tamko mara mask mara nn kumamako Hilda.
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI tweet media
Indonesia
77
12
107
25.1K
Francis joshua retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Tunajali haki na maslahi ya Ninja kwakuwa ukamataji wake ni wa kiholela. Na tunalitaka jeshi la polisi kumuachia mara moja. Free Ninja Now!!
Tito Magoti tweet media
Indonesia
12
428
1.1K
15.7K
Francis joshua retweetledi
MADOPE🌾
MADOPE🌾@Ugeniaconso·
Huaga mnaona wenyewe kuwa umoja ni Nguvu. Tuendelee kushow lov. #freeNinjah
MADOPE🌾 tweet media
Filipino
1
83
119
1.2K
Svetlana (Tayanah) Tibenda
Sasa unakosaje kusherekea Bday ya Sugu huku heshma za Bongo Flava na leo Legend Prof Jizee? Oya mshikaji wangu wa nguvu, Bongo Flava tangu 90s tunakosaje wakilisha? @rollymsouth
Svetlana (Tayanah) Tibenda tweet mediaSvetlana (Tayanah) Tibenda tweet media
Indonesia
30
13
295
43.9K
Francis joshua retweetledi
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Hii nchi tumeipambania sana kubabake! Hapo wadwanzi walichana suti yangu mpya kabisa ya Calvin Klein, MATAKO YAO!😎 #FREELISSU #KATAARIPOTI
Joseph Mbilinyi tweet media
Filipino
270
500
4.1K
81.5K
𝐊𝐢𝐫𝐢𝐠𝐢𝐭𝐢
Ninakumbuka Sir alishushwa kwenye chuma sababu ya ajali ambayo hata chuma haikuwahi kulala chini akapewa kesi, kampuni ikamtelekeza, supa akaingilia kati akamsaidia akarudi rodi na chuma akapewa. Sijui hata ninawaza nini leo asubuhi, mwanetu apumzike kwa Amani🫡.
𝐊𝐢𝐫𝐢𝐠𝐢𝐭𝐢 tweet media
Indonesia
9
10
144
8.2K
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Sometimes 1996, Rashid Salehe anahamia jijini Dar Es Salaam akitokea kisiwani Pemba. Rashidi akafungua duka la vipuri vya magari mtaa wa Sikukuu Kariakoo Duka liliitwa SERA AUTO PARTS Miaka miwili baadae Rashid akageuka kipusa akisakwa na maafisa wa TRA
Fortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
8
23
285
37K
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢@Chahali·
Asante Mh @HecheJohn kwa kukemea matusi miongoni mwa wana-Chadema. #Jasusi ni mhanga endelevu wa, matusi hayo hasa kutokana na "kimbelembele" chake kushauri/kukosoa kila inapostahili. Mfano hai ni mwishoni mwa 2024. Jasusi alitoa ushauri kwamba pengine ni vema Chadema wakabadili strategy from matamko mfululizo (enzi za Mwamba) kwani ilionekana kwamba strategy hiyo haikuwa na ufanisi. Kama kawaida yake, kada @IAMartin_ akammwagia matusi Jasusi, na kumdhihaki kuwa amejificha Uskochi kuwakimbia watu wa kitengo. Post yake ilipata views zaidi ya 50,000 na kulikuwa na comments 200+ za matusi dhidi ya Jasusi. Kosa pekee la Jasusi lilikuwa ni kutoa ushauri kwa chama hicho, ushauri ambao wiki chache baadae ulitamkwa na Mh Lissu kama sababu ya yeye kuwania uenyekiti wa Chadema i.e. strategies za chama hicho under Mwamba were not working. Chances are Martin ameshasahau matusi hayo (wasn't his first time anyway) and doesn’t care lakini kwa Jasusi that's quite painful. That aside, majuzi hapa wakili wa chama hicho @Advocate_Kisabo amemwagiwa mvua ya matusi akituhumiwa mambo ya ovyo kabisa. To make matters even worse, kiongozi mmoja mwandamizi wa Chadema alimshutumu wakili huyo hadharani, na ukisoma comments kwenye post hiyo unaweza kudhani hao ni YuViSiSiEmu 😢 Hopefully, wito wa Mheshimiwa Heche utazingatiwa kwa sababu ni lazima wana-Chadema wajitofautishe na udikteta wa SiSiEmu ambao kwao ni uhaini kukosoa maovu ya chama hicho. Mh Lissu yupo jela kwa sababu tu SAMIA hajapendezwa na kauli za Mh Lissu.
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢 tweet media
Indonesia
4
11
96
19.2K
JAPHET MATARRA
JAPHET MATARRA@Eng_Matarra·
Kuna mambo nikikumbuka huwa naumia sana moyoni Siku moja kuna mchungaji mmoja (jina nalihifadhi) alikuta msg zangu ktk simu ya mke wake. Basi akahisi tuna mahusiano na haikuwa kweli. Mm badala ya kusafisha ile hali, nikachagua kufanya kwa makusudi ili km akisema iwe ni ukweli🚮
Indonesia
25
13
260
30.7K
Francis joshua
Francis joshua@atalikwach·
@Innocen89950594 Kinachofanya wanawake siku hizi kuvaa nguo zinawachora kwenye kitumbua ni nini haswa
Indonesia
0
0
0
18
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
Unakuta Mwanaume Yeye Kajistiri Vizuri Halafu Kaongozana Na MKE Wake Amevaa Hivi👇
Eesti
5
2
49
6.8K
BARADHULI
BARADHULI@Baradhuli2·
@EsirEid Mbowe Atabaki Kuwa Wanasiasa Makini Ndani Ya Chadomo.
Indonesia
6
1
8
952
Francis joshua
Francis joshua@atalikwach·
@ayubu_madenge Mkute sasa mjinga mmoja amepewa tu jina la abdalah anabojiona yeye muarabu kabisa
Indonesia
0
0
0
6
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Papa Leo XIV, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani amevua viatu vyake akaingia kwenye msikiti mkuu wa Algeria. Tena akiwa ndani ya msikiti huo alienda mpaka kwenye Mihrab akatulia kwa dakika 10 akiwa katika ukimya na tafakari. Wanaojua dini hawana ubaguzi wa ajabu ajabu kabisa.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
38
62
906
19.4K
Francis joshua
Francis joshua@atalikwach·
Wema bhana
Manka Komu@Manka_Komu

#Jikumbushe Hivi wakati Wema Sepetu akiwa wa moto kama jua la kiama mara kaenda Global kuanzisha timbwili kwa #Imelda kisa kamuandika vibaya na sa hivi ndo shoga wa #Kajala yaani alipo yuko mpka akaenda kuomba na perfume nyumbani kwake….si mnakumbuka lakini 😂😂😂 siku hizi sijui kawaje wanamtoboa mpka vidole mdomoni anaenda kumkumbatia manunu analia analala zake…. Hapa #Whozu alikuwa darasa la ngapi sijui 😂😂😂 me nilikuwa la tatu Angalia alivyokipiga hapo na Mlinzi na huna cha kumfanya 😂😂😂

हिन्दी
0
0
1
4
Francis joshua retweetledi
Fabrizio Romano
Fabrizio Romano@FabrizioRomano·
🚨⚔️ Dominik Szoboszlai: “I am ready to die on the pitch tomorrow. I can speak for all the players”. “We want it so bad and we will work for it. Anything can happen at Anfield.”
Fabrizio Romano tweet media
English
1.4K
3K
39.8K
1.6M