Juddah

16.6K posts

Juddah

Juddah

@avitus_b

@manchester united @young africans||funny||Cristano Ronaldo||independent.

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Mayıs 2021
875 Takip Edilen986 Takipçiler
Juddah retweetledi
H!LLARY
H!LLARY@hillary001_·
Picha la kutisha, Ogopa!!😂 Nani mkali hapa?
H!LLARY tweet media
Indonesia
5
5
34
716
Juddah retweetledi
Binamu Wa Pili 🆇
Binamu Wa Pili 🆇@Marakiungu·
Kila Shabiki wa Arsenane akisikia ubingwa wa UEFA.
Binamu Wa Pili 🆇 tweet media
Polski
2
3
12
455
Juddah
Juddah@avitus_b·
@Popster_joe kipi bora kukaa nyumbani na hauingizi mia na kwenda kazini ukawa unaingiza 220k kwa mwezi!?
Indonesia
1
0
0
30
🦧I DONT GIVE A DAMN
🦧I DONT GIVE A DAMN@Popster_joe·
@avitus_b nina maana alieko nyumbani yuko sahihi na alieko kazini pia yuko sahihi kila mtu ana maamuzi yake
Filipino
1
0
2
27
Juddah
Juddah@avitus_b·
@jameskanga4 michongo mzee michongo..leteni hiyoo michongo tuishi👊🏾
Filipino
1
0
0
17
Juddah
Juddah@avitus_b·
@GastonJenifa hapa unaongea kama mchezaji, mchambuzi, mshangiliaji au shabiki!?
Indonesia
0
0
0
42
Deo Arsenal
Deo Arsenal@sellogroup·
Wakuu wanamke ninaye au sina?
Deo Arsenal tweet media
हिन्दी
11
2
36
2.7K
Juddah retweetledi
IbRaH
IbRaH@Ibrah_Sheby·
Shoutout kwa wana wote ninaoishi kwenye timeline zao na wanaoishi kwenye tweet zangu japo sina content kama mabroo ila nyie ni watu poa sana 👍 ipo siku ntamibeba kwenye lori 😂😂
IbRaH tweet media
Filipino
10
15
55
2.3K
Bob Kipara
Bob Kipara@_bli4·
Ni huzuni Inter Milan bora ya msimu huu kukosa kuwaangalia kwenye quarter final UefA🤧 Kukosa penalty ni sehemu ya mchezo, Lautaro Martniez is a baller!!🔥🔥🔥
Bob Kipara tweet media
Indonesia
3
1
56
685
Komu Printing
Komu Printing@Elparton112·
@TillahBlessed akishirikia na Redio yake ya TimesFm wanachukua Thread zangu nazoweka huku wanachapisha kwenye pages zako bila kunipa credit credit zote anapewa @TillahBlessed . Tuwe tunavalue vitu vya watu jamani kama unahitaji kucopy copy tu lakini mwisho wa siku toa credit.
Komu Printing tweet mediaKomu Printing tweet media
Komu Printing@Elparton112

Umesikiliza Nyimbo ya Chid Benzi ft Mzee Yusuph - Mashalah? Kwenye intro pale Chid Benzi anasema "𝑴𝒊𝒌𝒂 𝑴𝒘𝒂𝒎𝒃𝒂 𝑷𝒓𝒆𝒔𝒆𝒏𝒕 𝑪𝒉𝒊𝒅 𝑩𝒆𝒏𝒛𝒊" 𝙆𝙬𝙖𝙣𝙞 𝙈𝙞𝙠𝙖 𝙈𝙬𝙖𝙢𝙗𝙖 𝙣𝙞 𝙣𝙖𝙣𝙞? #MadiniNaPatron Mika Mwamba ndiye Producer mwenye... Thread 🧵👇

Indonesia
20
11
37
8.6K
lorah🍫
lorah🍫@SkinnyUnie·
Followers msipungue basi na nyie😹😹😹😹tulieni kwanza…,nitawaletea painting zingine nzuri🤭
Filipino
4
0
14
317
Juddah retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Ndugu @rollymsouth sasa umefurahi? Roho yako imeridhika? Lakini nikuhakikishie tu, bwana mdogo huyu, Issa Mwamba (anajiita Sukununu) atakuwa uraiani na ataendelea na shughuli zake. Tutampa msaada wa kisheria. Ipo siku moja, utayatimba na tutakuwa hapa kukumbusha. Haupo salama.
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Filipino
175
264
2.7K
199.4K
Juddah
Juddah@avitus_b·
@FKihamu Hii nchi ina michezo mingi hii🙌
Indonesia
0
0
0
41
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
DICKSON JOB anatajwa kuwa aligoma kucheza nafasi ambayo Kocha alimpanga dhidi ya Kongo na sasa hivi amepewa jina la Mtovu wa nidhamu, lakini kwanini taarifa zije wakati huu ambao Watu wanahoji kutojumuishwa kwake? Mbona taarifa hizi hazikutolewa na Mamlaka kwa umma kuwa Kijana ni mtovu hivyo hatojumuishwa tena kikosini? Taarifa kuja wakati huu ambao Maji yamekorogeka ni sahihi kusema tunasaka ESCAPE ROUTE? Kama anacheza National Team ambazo ni kodi za Wananchi wa Jamhuri, tuna haki ya kupewa taarifa zote muhimu kwa ajili ya maslahi ya taifa, hatupaswi kuficha taarifa muhimu na zitoke wakati ambao sio sahihi, sio afya. Bado mnasema JOB aligundua kosa na aliomba radhi, je baada ya kukiri na kutambua alikosea, hukumu yake ni kumsamehe ama kutomjumuisha tena kikosini? Tupo kwenye kujenga ama kubomoa? Kwa faida ya nani? Kwa maslahi ya nani? Je Baba huyu Mwanao tayari ameunyea mkono, suluhisho ni kuukata mkono? Kwahiyo tunakubaliana kuwa ukishakosea hupaswi tena kuitwa kuvaa uzi wa taifa lako kama hizi habari mnazosema ni kweli? Ilianza kwa KELVIN JOHN another talent kutoka timu zote za Vijana za Taifa na sasa tupo kwa DICKSON JOB, hukumu za kufanana, ndivyo tunaenda kutengeneza future ya Taifa? Hatupo hapa kukosoana ila tupo hapa kujenga kwa ajili ya Taifa letu kwa pamoja, kama kweli amefanya kosa na mmesema aliomba radhi kwanini tumefikia huku??____ VISIT MOROGORO🇹🇿
Farhan Kihamu Jr tweet media
Indonesia
235
86
1.9K
143.4K