Ayubu Lulesu
863 posts

Ayubu Lulesu
@ayubululesu
Comms Associate at @UNFPATanzania Strategic communications for advocacy, outreach, partnerships, and resource mobilizations.
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Şubat 2012
224 Takip Edilen180 Takipçiler

Beauty bosses 💄🚨
25 Canva salon posts (growing to 50+ FREE).
✔ 100% free elements
✔ Drag & drop
✔ Holiday-ready
✔ Lifetime use
Look premium. Post consistently.
Download here: 👇👇👇👇
lulesu.gumroad.com/l/social_media…
Follow @ayubululesu
English
Ayubu Lulesu retweetledi

Save the Forest = Save the Rain. 🌧️
The "Majiko Banifu" project is directly reducing the cutting of trees in the Amani Nature Forest Reserve.
Less firewood demand allows the ecosystem to recover and protects our water sources.🌲
#ClimateResilience #ForestConservation #EAMCEF

English

@MeincraftSteve @grok create a high resolution pf these images
English

איראן תשלם מחיר יקר מאוד על רצח נשים, ילדים ואזרחים חפים מפשע – וזה יקרה בקרוב.
אני כאן בזירה יחד עם כוחות ההצלה ופיקוד העורף. בשם עם ישראל – אנו שולחים חיבוק למשפחות ושוב קוראים לכל אזרח: הישמעו להנחיות – זה מציל חיים.
אנחנו במערכה קיומית, מול אויב אכזרי שמתכנן השמדה.
חיילינו וטייסינו פועלים באומץ – מעל שמי איראן. זו מלחמת הצלה. נכה בהם מכה אחת אפיים – וננצח.


עברית

@ayubululesu @kaji_sijo Haha, turning that football bromance into Simpsons style? I can picture it now—maybe Messi as a spiky-haired Bart and Dani Alves as a funky Homer with a soccer ball gut! I’m no artist, but if I had to guess, the yellow and red stripes would look wild in that classic yellow-skinned cartoon vibe. What do you think—should we throw in a doughnut-eating Neymar as Barney for extra chaos? 😂 grok.com
English

KESI YA UBAKAJI INAYO MTESA DANI ALVES.
-
Katika kesi ya jinai inayo mkabili mchezaji wa zamani wa Barcelona Dani Alves.
Akijitetea mbele ya mahakama ya Catalunya iliyopo jiji la Barcelona alisema "Hakuniambia kuwa hakutaka kufanya ngono, Mimi sio mtu wa Vurugu”
Katika kesi hiyo iliyo kuwa inamkabili Mchezaji wa zamani wa Barcelona Dani Alves Familia ya Neymar ililipa dhamana ya Euro million moja, ili aachiwe huru.
Kabla ya kulipa tena Euro 150K kama fidia kwa mshitaki.
Kesi nzima ilikuwa hivi... Fungua Uzi Mfupi 🧵⤵️

Indonesia

MTAZAMO WANGU KUHUSU KAULI ZA HANANJA DHIDI YA ASKOFU GWAJIMA
Katika historia ya mataifa mengi, viongozi wa dini wamekuwa mstari wa mbele katika kukemea maovu ya kijamii, kisiasa na kiutawala. Martin Luther King Jr. alipaza sauti dhidi ya ubaguzi wa rangi Marekani; Desmond Tutu alisimama dhidi ya ubaguzi wa Apartheid Afrika Kusini; Oscar Romero alikemea utawala dhalimu nchini El Salvador hadi akauawa kwa ajili ya haki. Katika Afrika Mashariki, Askofu Gitari wa Kenya alikemea dhuluma za utawala wa Moi. Katika muktadha huu, si jambo la ajabu kwa Askofu Gwajima kutumia nafasi yake kukemea matendo ya hatari kama utekaji na kutoa ushauri wa kujenga taifa.
1. Mahali na Muktadha wa Kauli ya Askofu Gwajima
Hoja ya kwanza ya Hananja ina kasoro ya msingi ya kimantiki na kisiasa. Askofu Gwajima hakutoa kauli yake madhabahuni, bali alizungumza kama raia mwenye haki ya kikatiba kupitia mkutano na waandishi wa habari. Kauli yake haikuwa ya uchochezi, bali ya ushauri na ukemeo dhidi ya kitendo cha utekaji, jambo ambalo hata kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kosa la jinai na linapaswa kukemewa na kila mzalendo. Je, ni kosa kwa raia kukemea maovu? Hapana.
2. Badala ya Kujibu Hoja, Zilipigwa Kelele
Mara baada ya Askofu kutoa ushauri na kuonyesha wasiwasi wake juu ya matukio ya utekaji, hakujibiwa kwa hoja, bali kwa matusi na kejeli kutoka kwa baadhi ya watu kama Tarimba. Kinachosikitisha zaidi ni kuona hata viongozi wakuu wa kisiasa, kama Mwenyekiti wa chama na Rais wa nchi, kuungana katika mwelekeo huo wa dhihaka badala ya kujibu hoja kwa msingi. Katika nchi ya kidemokrasia, tofauti za maoni ni msingi wa maendeleo ya kisiasa. Je, kosa la askofu Gwajima lipo wapi kwa kutoa ushauri aliouamini kuwa ni wa kujenga?
3. Kusema na Familia ya Kiroho Siyo Dhambi
Baada ya mashambulizi hayo, Askofu Gwajima alizungumza na familia yake ya kiroho – kanisa lake – kutoa ufafanuzi kuhusu kile kilichotokea. Hili siyo kosa wala siyo ukiukaji wa wito wa kiutume. Kama kiongozi wa kiroho, ana wajibu wa kuwaeleza washirika wake ukweli wa mambo ili wasiingie kwenye mkanganyiko wa taarifa potofu. Biblia yenyewe inafundisha:
Mithali 26:5 – “Mjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, asije akajiona mwenye hekima machoni pake mwenyewe.”
Hii ndiyo mantiki ya majibu ya Askofu kwa Tarimba, siyo chuki, bali kusahihisha kwa lugha ya kiwango sawa na aliyemshambulia – falsafa ya kijibu shutuma kwa usawa wa kisiasa.
4. Kati ya Kulinda Siri na Kulinda Maisha ya Watanzania
Hananja anadai kuwa Askofu Gwajima alipaswa kulinda “siri za nchi” – hoja hii ni ya kuficha dhuluma kwa kisingizio cha uzalendo. Katiba ya Tanzania haimtaki raia yeyote kufumbia macho uovu, ubadhirifu, wala mauaji. Viongozi wa dini wanatakiwa kuwa sauti ya wasio na sauti. Uzalendo wa kweli si kufumbia macho uovu, bali kuupinga. Utii kwa Mungu huja kabla ya utii kwa wanadamu:
“Imetupasa kumtii Mungu kuliko wanadamu.” (Matendo 5:29)
5. Hananja: Mtumishi wa Mfumo na Tumbo
Biblia inasema:
Wafilipi 3:18-19 – “Maana wengi huenenda… kuwa ni adui za msalaba wa Kristo; mwisho wao ni uharibifu, mungu wao ni tumbo…”
Kwa hiyo, si ajabu kwa Hananja – ambaye ni sehemu ya mfumo – kujitokeza kumshambulia Askofu Gwajima kwa kuongea ukweli. Mfumo una tabia ya kulinda wenyewe hata pale wanapotenda maovu.
HITIMISHO
Hoja ya Hananja haina msingi wa kimaadili, wala haijajengwa katika muktadha wa historia ya viongozi wa dini duniani. Kutoka kwa Nabii Nathani aliyemkemea Mfalme Daudi, hadi kwa Yesu Kristo aliyesema “Ole wao Mafarisayo” mbele ya viongozi wa dini na dola ya wakati huo – tunajifunza kuwa ukimya wa viongozi wa kiroho mbele ya dhuluma ni usaliti kwa wito wao.
Askofu Gwajima hakukosea. Alitimiza wajibu wa kinabii wa kukemea maovu, kutoa ushauri, na kulinda dhamira ya taifa.

Indonesia

𝐂𝐂𝐌 𝐘𝐀𝐑𝐈𝐃𝐇𝐈𝐀 𝐒𝐓𝐄𝐏𝐇𝐄𝐍 𝐖𝐀𝐒𝐈𝐑𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐆𝐈𝐖𝐀 𝐊𝐔𝐑𝐀 𝐊𝐀𝐓𝐈𝐊𝐀 𝐍𝐀𝐅𝐀𝐒𝐈 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐊𝐀𝐌𝐔 𝐌𝐖𝐄𝐍𝐘𝐄𝐊𝐈𝐓𝐈 𝐖𝐀 𝐂𝐂𝐌 𝐁𝐀𝐑𝐀 - 𝐃𝐊𝐓. 𝐒𝐀𝐌𝐈𝐀
"Waeshimiwa wajumbe wa mkutano mkuu, Kamati Kuu na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa tuliangalia wana CCM na tukampata mmoja ambaye ni mbobezi naye ni ndugu yetu, mzee wetu Stephen Wasira...CCM OYEEE!"
#MkutanoMkuuCCM2025
#CCMImara
#VitendoVinaSauti
#kaziiendelee

Indonesia

"Kanisa linapaswa kuwa wazi kwa wote, lakini lisipoteze ukweli wa Mungu"
Papa Leo XIV azungumzia msimamo wa Kanisa kwa wazi kuhusu jamii ya LGBTQ+
Katika ulimwengu ambao mazungumzo kuhusu haki za jamii ya LGBTQ+ yamechukua nafasi kubwa katika mijadala ya kijamii na kidini.
Kanisa Katoliki limejikuta likikabiliwa na shinikizo kubwa kutoka pande mbalimbali.
Ndani ya upepo huo wa mabadiliko na matarajio ya kijamii, Papa mpya, Leo wa Kumi na Nne (Leo XIV), ameibuka na kutoa msimamo wake kwa uwazi usiofungamana na hofu.
Kwa sauti ya utulivu lakini yenye msisitizo, Baba Mtakatifu amewaambia waumini na ulimwengu mzima kwamba yeye “si muumini wa upinde”
Papa Leo XIV hakutumia lugha ya chuki, bali aliongea kwa sauti ya Baba anayewapenda watoto wake wote, lakini anayekumbusha mipaka ya nyumba ya Baba.
"Tunawapenda wote kama viumbe wa Mungu. Lakini mapenzi ya Mungu juu ya familia yako wazi. Vitendo vinavyokwenda kinyume na mpango wa Muumba si sehemu ya mafundisho ya Kanisa,".
Alisema Papa huku akipokea makofi ya heshima kutoka kwa baadhi ya viongozi wa Kanisa waliokuwa karibu naye.

Indonesia

Hata sijui maana wimbo haukuisha safari ikawa imeshaisha 🤣🤣🤣🤣
Dr.Kamami (kibungo😌) 🇹🇷@itskamami_f
Fala sana 😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹 Esta alimjibuje hamani,haja ya moyowake ilikua nn😹😹😹
हिन्दी

@kstar_one9 Niliamua kuprove watu wanachoonagea. Mwanzoni nilidhani ni utan kumbe ni real 🤣🤣🤣🤣
Indonesia

@Newtonnizzoh Ni zaidi ya hapo mzee. Ninavideo ingune naipost soon safari ya dar to njombe tupatupa hajafika kuzimu 😁😁😁

Hii hapa proof ya waraka wa amani
𝐉!𝐌𝐌𝐘@kafangi
The last time I checked waraka wa amani ilikuwa 12 minutes long 😂😂
Indonesia



















