Arsenal bingwa 2026

10.8K posts

Arsenal bingwa 2026 banner
Arsenal bingwa 2026

Arsenal bingwa 2026

@azory_j46751

Arsenal fans since 2012

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Nisan 2023
783 Takip Edilen790 Takipçiler
Icard
Icard@mtera_lucas·
Wengi wao hata UMISETA ngazi ya wilaya hamkuvuka mnataka muelekeze tuchel namna ya kupanga Squad ya national timu
Indonesia
1
1
6
220
KINCAID💰
KINCAID💰@AmourGingi·
"Hamjaja na nguo, mnataka huyo mtoto tuwafungie kwenye magazeti au." "Mbona kwenye package yako hakuna surgical blade, unataka tukuchane na bati sio." 🤣🤣🤣🙌
KINCAID💰 tweet media
Filipino
15
13
70
1.9K
Sean 🦩
Sean 🦩@iboysean·
Kuna shabiki la nyumbu linataka kubattle na Bingwa wa EPL kila likija najipigia kifala mamae 😆😆🔥🔥🔥
Filipino
7
4
50
827
Dennie Handa
Dennie Handa@denniehanda·
Tamasha letu wana Arsenal la tarehe 30 limepata udhamini mkubwa wapi @CRDBBankPlc Mimi kama investor wa CRDB nimependa sana juhudi hizi ntaongeza shares zangu.
Indonesia
7
10
69
1.6K
Billy
Billy@BillyTronix1·
Wachezaji kama Palmer inabidi wafanye maamuzi ya busara kama Madueke ya kuhamia Arsenal..Starter na back up wote wanaitwa National team Kai na Gyokores Trossard na Martinelli Saka na Madueke Eze na Ordegaard Ukiwa timu ndogo kama Chelsea nafasi ya kuitwa NT inakuwa finyu sana
Indonesia
12
11
116
2.5K
MJUKUU (Fan)
MJUKUU (Fan)@WideEdson·
Sasa mlitaka midfielders wapi watoke apo waingie, Adam wharton, Gibbs -White, Cole Palmer na Foden kati ya hawa? 👇🏾 Rice, Anderson, Henderson, Mainoo, Bellingham, Rodgers na Eze!!
Filipino
23
21
91
3.1K
Kapuya
Kapuya@fifi_brian·
Kitu kingine ambacho kitasaidia sana Arsenal kuwatunza mastar wake ni kwamba wachezaji wengi wa Arsenal ni mashabiki wa Arsenal.
Indonesia
9
18
166
2.5K
Vamos Gooners
Vamos Gooners@MuuhDreezy·
Hivi inawezekanaje hujawahi kubeba kombe la League kwenye maisha yako yote ya Soka alafu ni Legend wa Team 🤔
Vamos Gooners tweet media
Indonesia
1
2
17
405
Adv.Innocent⚖️
Adv.Innocent⚖️@Adv_innocent·
Jua la dar limefanya nijue ile njia ya matawi tulifundishwa kwenye kiswahili ilikua na maana.
Indonesia
9
28
47
362
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
England upande wa RW wanamuita Madueke then wanamtema Phil phoden na cole palmer! Tactically hii ipoje wataalamu?
Indonesia
37
35
268
14.9K
Tired
Tired@Gai_antipas·
@azory_j46751 Timu yetu ndiyo kubwa zaidi duniani kote.
Filipino
1
0
1
14
Arsenal bingwa 2026
Arsenal bingwa 2026@azory_j46751·
@publicase @master_plan9 Upo sahihi kaka musoma nako mbali na kupakana na ziwa Victoria kilo ya samaki wanauza 12 sasa hapo sijui utafauti na dar upo wapi mda huo lita ya mafuta ya kupikia unanua 8000 huku dar ni 6000
Filipino
0
0
0
7
publicase
publicase@publicase·
@azory_j46751 @master_plan9 Mkuu supu kahama ni 3500 kwa 4000, wakati Dar'slaam supu 1500 mpaka 2000, na ikifika saa3 usiku migahawa midogo midogo yote ishafungwa, pilau kuku 8000, wakati Dar'slaam nilikuwa nakula kwa 5,000,mikoa ya kusema maisha rahisi labda nyanda za juu kusuni huko
Indonesia
1
0
1
13
Masterplan🇹🇿
Masterplan🇹🇿@master_plan9·
Kama Umeishi Dar Maisha Yako Yote Siku Ukatoka Ukaenda Mkoani Utaelewa Kuwa Dar Maisha Magumu.
Filipino
31
57
369
11.7K