publicase

1.4K posts

publicase banner
publicase

publicase

@publicase

Katılım Mayıs 2024
157 Takip Edilen112 Takipçiler
publicase
publicase@publicase·
@azory_j46751 @master_plan9 Mkuu supu kahama ni 3500 kwa 4000, wakati Dar'slaam supu 1500 mpaka 2000, na ikifika saa3 usiku migahawa midogo midogo yote ishafungwa, pilau kuku 8000, wakati Dar'slaam nilikuwa nakula kwa 5,000,mikoa ya kusema maisha rahisi labda nyanda za juu kusuni huko
Indonesia
0
0
0
2
Masterplan🇹🇿
Masterplan🇹🇿@master_plan9·
Kama Umeishi Dar Maisha Yako Yote Siku Ukatoka Ukaenda Mkoani Utaelewa Kuwa Dar Maisha Magumu.
Filipino
29
55
320
9.4K
publicase
publicase@publicase·
@azory_j46751 @master_plan9 Mkuu sio musoma tu nimezunguka kanda ya ziwa mzee huku maisha ni 🔥🔥🔥🔥, upande wa chakula furniture vyumba vya kupanga kwa mwanza ni 🔥🔥🔥🔥
Indonesia
1
0
1
5
publicase
publicase@publicase·
@master_plan9 Hivi Dar'slaam gani hii wakuu, mi nipo mwanza naishi sababu ela ndio imenileta huku, ila Dar'slaam maisha ni mafuu sana nimezunguka kanda ya ziwa karibia robo tatu ila Dar'slaam maisha ni mafuu sana, Chakula nilichikuwa nakula Dar'slaam kwa 2000 kanda ya ziwa ni 3,500 - 4000
Indonesia
0
0
0
29
BeLINDA 🎬
BeLINDA 🎬@belindaPINDA01·
These Movies are Brutal... 🥵🔞🍿 Not for the Kids. 🔥
BeLINDA 🎬 tweet mediaBeLINDA 🎬 tweet media
English
6
18
142
23.4K
publicase
publicase@publicase·
@EdwinMjeru Hapo kwa ufupi, tafuta mali kwa hali na akili zako zote na uzitumie kama mwendawazimu
Polski
0
0
0
9
Edwin F.M
Edwin F.M@EdwinMjeru·
Tafuta pesa kama Mchina. Pangilia kama Mhindi. Wekeza kama Myahudi. Miliki halali kama Mwarabu. Saidia kama Mzungu. Ishi kama Mwafrika.
Indonesia
23
130
628
14.9K
publicase
publicase@publicase·
@MarekaMalili Hii kitu ndio inanigharimu now, kuna wana wamesepa na mizigo now hasara kwangu
Indonesia
0
0
2
65
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Dont make a nice face kwenye kazi, people will fuck you up really nice na gharama utalipa wewe.
English
12
54
302
6.7K
publicase
publicase@publicase·
@mad_genius6 Inajenga,popote pale inategemeana na aina ya nyumba na eneo ulilopo
Filipino
0
0
1
14
JohnDoe
JohnDoe@mad_genius6·
20M haiwezi kujenga NYUMBA tanzania maeneo ya Mjini.
Indonesia
4
2
9
333
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Kwasasa mwanamke akivaa suruali ndio tunasema at least amevaa kiheshima. Kweli zama zimebadilika.
22
36
438
12.5K
publicase
publicase@publicase·
@MhindiV 😁😁😁😁 ni kama siku 3 mfululizo kuanzia maandalizi mpaka walipofika watu wa mwenge baada ya hapo ni msoto kama kawaida
Indonesia
0
0
1
26
Eng Mhindi(BEME , MEM~PM)
Kuna Cousin wangu kapata kazi Tamisemi mwaka jana🔥 ,Anasema Mwenge ukipita ni sherehe kubwa huko Wilayani kwao😀😀😀 na nguo wanashona mpya😀😀 Hakutegemea kuenjoy Sherehe ya Mwenge wa Uhuru kama sasa
Filipino
16
9
330
15.1K
publicase
publicase@publicase·
@lutherakyoo Hilo ni moja mkuu, Changamoto mtaani kuna mambo mengi yapo legal ila yanafanyika illegal
Indonesia
0
0
0
7
𝐋𝐮𝐭𝐡𝐞𝐫 𝐀𝐤𝐲𝐨𝐨
Watanzania ni wakatili sana, either wana mamlaka au hawana, huu ni uthibitisho wa namna tunavyotofautiana ukatili kwa level mbalimbali! Imagine mtu anaona hii ni sahihi kabisa ilhali anajua anachofanya ni hatari kwa afya za Watanzania wenzake. 😡🤬🤬
Indonesia
17
16
111
10.7K
publicase
publicase@publicase·
@Fefe_doll Ya kwanza ila font zake kidogo kaweka complicated kwa wateja wa kisukuma watasoma FONTU
Polski
0
0
0
5
fantasy 🤍🧚
fantasy 🤍🧚@Fefe_doll·
Kati ya hizi logo tatu ipi ni kali ?nasoma maoni yenu
fantasy 🤍🧚 tweet media
Indonesia
115
75
161
10.6K
magodoro_msafi
magodoro_msafi@magodoro_msafi·
Piga picha kitu ulichoshika muda huu
magodoro_msafi tweet media
Eesti
18
9
46
2.4K
publicase
publicase@publicase·
@mnazi36 @chapo255 Mimi shuhuda wa hili bi'mkubwa alikuwa na 24M, kapata kiwanja kajenga nyumba ya vyumba vinne na sebule na chenji ikabaki kala na wajukuu wake, ila haina tailiz, syringing board, aluminium na umeme
Indonesia
1
0
0
79
Mnazi😤
Mnazi😤@mnazi36·
@chapo255 Milion 20 unatoa nyumba kali tu acha uzembe wa kuto kufanya research na kutaka kuanza na vikubwa
Filipino
5
0
5
935
Bad robot
Bad robot@BadRobot07_·
@godbless_lema @godbless_lema najua hatuwalipi mishahara...mtasema tusiwapangie, alright.. But this is not Chadema we deserve... We need genuine people in Chadema na sio hizi rejects zinazokuja kwa maslahi....mateso yote mliopitia tutaona yalikuwa Maigizo tu kama mtaji associate na hawa watu.
Indonesia
5
1
26
3.8K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Sawa bhana 😄 Dhambi zako zote zimekuwa cleared. Sasa Ijumaa 22/5 fika Releni utoe ushuhuda live 😅. Na usiwe na wasi wasi… huku hakuna nyama za matambiko 😂
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
141
144
1.7K
130.3K
publicase
publicase@publicase·
@mwendamwalimu_ @INFLUENCERjr Alooo mi mpaka najuta nilijisemea siwezi date na mtu wa kazini ona sasa mtu nae msimamia nimeruka nae kisa official
Indonesia
1
0
1
49
msauz
msauz@mwendamwalimu_·
@INFLUENCERjr Tukasema jeans sio vazi la heshma maofisini na mataasisi, haya, zimekuja hizo suruali zinaitwa "official" alooo 🙌🏾Madem ni wanazitumia kimkakati sana...bora hata hizo jeans sasa doh!
Indonesia
4
0
6
491