mkereketwa

2.7K posts

mkereketwa banner
mkereketwa

mkereketwa

@babylezzyu

Humanity,activist,lawyer,human right

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Eylül 2013
413 Takip Edilen270 Takipçiler
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imeahirisha kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mange Kimambi hadi Januri 28, 2026. Wakili wa Jamhuri, Clemence Kato ameieleza mahakama kuwa upelelezi wa shauri hilo haujakamilika.
Swahili Times tweet media
Indonesia
58
11
432
36.8K
mkereketwa
mkereketwa@babylezzyu·
@IAMartin_ Kuhusu Afya mnajisumbua .uganda na udictator wote wanapokea misaada.
Indonesia
0
0
0
590
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
MSIJE KUSEMA HATUKUSEMA. Tanzania ni kati ya nchi 30 zenye maambukizi makubwa ya ugonjwa wa kifua kikuu zinazochangia 87% ya wagonjwa duniani, ikiwa na makadirio ya kiwango cha maambukizi ya 195 kwa kila watu 100,000 Ripoti mpya ya shirika la Afya Duniani (World Health Organization – WHO) mwaka 2025 inasema Duniani kulikuwa na wagonjwa wapya wa kifua kikuu milioni 10.7 na kati ya hao wagonjwa milioni 1.2 walifariki. 2021 Tanzania ilikua na wagonjwa wapya wa kifua kikuu 133,000 sawa na wagonjwa 222 kwa kila watu 100,000 na kiwango kikubwa cha maambukizi ya VVU cha 16.4% miongoni mwa watu wenye kifua kikuu. Watu 70 hufariki kila siku kwa Kifua Kikuu na watu 25,800 hufariki kila mwaka Tanzania kwa kifua kikuu. Watu 10.5 milioni wanaambukizwa Kifua Kikuu kila mwaka Duniani na kati ya hao 1.6 milioni hufariki. Watu wenye vimelea vya TB wako kwenye hatari ya kuugua TB kwa 10% katika maisha yao. Watu wenye upungufu wa kinga mwilini, utapiamlo, kisukari, wanaovuta sigara wako katika hatari ya kuugua. Maambukizi ya (VVU) Virusi vya UKIMWI yamesababisha ongezeko kubwa la wagonjwa wa Kifua Kikuu (tuberculosis - TB) Duniani hususani katika ukanda wa kusini mwa jangwa la Sahara ikiwemo Tanzania. 50% ya wagonjwa wa Kifua Kikuu (tuberculosis) wana maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU) Duniani. Takwimu za WHO za mwaka 2018 zinaonyesha wagonjwa 40,000 wa TB walikuwa na maambukizi ya VVU. Chanjo ya Bacillus Calmette–Guérin (BCG) ni chanjo inayotumika dhidi ya maambukizi ya kifua kikuu. BCG ilitumika mara ya kwanza mwaka 1921. Chanjo ipo katika Orodha ya Dawa Muhimu ya Shirika La Afya Duniani, Isoniazid ni kati ya dawa inayosaidia matibabu ya Tuberculosis ikiwa pamoja na dawa nyingine kama Rifampin, pyrazinamide na ethambutol. Hutumika kwenye daraja la kwanza la matibabu ya kifua kikuu. Hizi dawa na chanjo zinatoka kwa mabeberu. Mabeberu hawa ambao naona inatembea hashtag ya “WHO ARE YOU?”. Dawa na chanjo hizi hazitengenezwi na PERAMIHO. Chanjo na dawa hizi zote ni msaada. Kifua Kikuu (tuberculosis) ni ugonjwa hatari unaosababishwa na ‘mycobacterium tuberculosis’. TB huathiri mapafu, pia inaweza kudhuru sehemu nyingine za mwili kama vile mifupa, figo, au ubongo. 2018 kiasi cha $63.941 Milioni zilihitajika ili kukabiliana na Kifua Kikuu Tanzania. 41.6% ya fedha zinazohitajika zilipatika. 3% fedha za ndani na 39% fedha za nje kutoka kwa wahisani. WHO Global TB Report 2019. Mwaka 2019 Tanzania ilipokea mgao wa Sh1.33 trilioni kutoka Global Fund, Sh828.19 bilioni zilielekezwa kushughulikia UKIMWI, Sh407.15 bilioni MALARIA na Sh97.67 bilioni KIFUA KIKUU mwaka 2020/2022. January 31, 2024 Tanzania na Global Fund zilisaini hati za mikataba ya msaada yenye thamani ya $606.9 Milioni (sawa na zaidi ya TZS 1.4 trilioni) kwa ajili ya kupambana na maradhi ya UKIMWI, Kifua Kikuu, Malaria)   Kufikia Januari 2024 Tanzania imepokea misaada ya Global Fund kwa vipindi vinne ambavyo ni Julai 2012 – Desemba 2014, Julai 2015 – Desemba 2017, Januari 2018 – Desemba 2022 na Januari 2021 -Desemba 2023. Msaada wa Global Fund kuanzia Januari 2024 - Desemba 2026 itatekeleza miradi ya Sekta ya Umma na Binafsi, Wizara ya Fedha ni Mpokeaji Mkuu wa Sekta ya Umma , (MDH) ni Mpokeaji Mkuu kwa Sekta Binafsi Msaada wa Global Fund 2024 hadi 2026. Unalenga kuboresha mifumo ya maabara, mitungi ya Oksijeni, mazingira ya watumishi wa afya, kuimarisha mnyororo wa thamani na kuboresha mifumo ya Afya. Wakati tunapiga kifua, tunatakia kurejea ubaoni na kujiuliza maswali hayo ya msingi. Je, tunazo dawa za kufubaza makali ya virusi vya UKIMWI? Je, tunazo dawa na kupambana na maambukizi ya Kifua Kikuu? Kama tupo vizuri, tusonge mbele. Vinginevyo, wagonjwa WATAKUFA. Maradhi ya kifua kikuu (tuberculosis) na UKIMWI kwa pamoja siyo vita ya mchezo. Nawatakia mapambano mema katika eneo hilo. Au revoir.
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
24
131
760
43.4K
Salim Alkhasas
Salim Alkhasas@salim_alkhasas·
Polisi Tanzani walikuwa na audacity ya kusema tumekamata Askari wa Marekani… guess nani hajasema neno hata moja? Marekani… hata kukanusha wameshindwa
Indonesia
55
14
87
61.5K
Mwana Mfalme
Mwana Mfalme@mwenemtapa·
@TanzaniaLeaks Unaumwa wewe unajua mamlaka ya kumhoji muliro yapo Kwa IGP au Mamlaka yake ya Nidhamu
Filipino
5
1
8
10.1K
Tanzania Leaks
Tanzania Leaks@TanzaniaLeaks·
BREAKING: wakina Mafwele, Muliro, Awadh waliwekwa chini ya Ulinzi na JWTZ kwa mahojiano wiki iliyopita. Na hii ilitokana na mauaji ya uchaguzi mkuu waliyoyafanya. Awadh ameua zaidi ya watu 300 kwa mkono wake. #D9 kinawaka.
Tanzania Leaks tweet mediaTanzania Leaks tweet media
Indonesia
113
168
918
78K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameibua madai kuwa wamebaini uwepo wa wachochezi na wanaharakati wanaolipwa ili kuvuruga amani ya nchi, akidai kwamba baadhi ya vijana wanaoishi nje ya Tanzania wamepokea dola milioni mbili (sawa na shilingi bilioni 4.5) kwa ajili ya kuchochea vurugu. Ametoa kauli hiyo akiwa katika ziara yake mkoani Arusha, leo Novemba 30, 2025 ambapo amesema uchochezi mwingi unatoka kwa watu waliopo nje ya nchi na kwamba malengo yao yamejikita kwenye rasilimali za taifa. Ameeleza kuwa juhudi za kujaribu kuwavuruga Watanzania zinatokana na rasilimali zinazogunduliwa nchini, ikiwemo uranium ambayo Tanzania sasa inakadiriwa kuwa na tani 890,000 za ujazo, na hivyo kuwa nchi ya tisa duniani na ya kwanza Afrika. “Wanalenga tupigane ili wachukue rasilimali. Tumeshuhudia hili likiharibu mataifa mengi ya Afrika,” amesema. Amani ikitoweka, hata karoti na nyanya za Ngarenanyuki haziwezi kuuzwa,” ameonya. Ametoa wito kwa Watanzania kukataa kurudishwa katika vurugu, akisisitiza kuwa amani ndiyo msingi wa kupambana na umaskini na kukuza ajira nchini.
Indonesia
211
15
153
139.4K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Miezi 6 iliyopita tulizungumza hivi kwenye comment na Mwalimu Joel Kitiga katibu wa Chadema Jimbo la Mafinga…. Leo maafa ya mauaji yametokea kweli tena makubwa, waliolipwa na Wzungu wameanza kutajana huko mitandaoni. Vijana tulinde taifa letu, bila taifa salama hakuna vyama vya siasa wala hakuna harakati…. Tulinde nchi yetu.
Yericko Nyerere tweet media
Indonesia
38
9
24
7.6K
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Kufuatia taarifa kwa umma iliyotolewa na Polisi 07/11/25 na kutaja orodha ya watu 10 ambao linawasaka ili kuwakamata, Boniface Jacob, @ExMayorUbungo leo 08/11/25 aliamua kwenda kuitikia wito huo wa polisi. Akiwa njiani kuelekea kujisalimisha, amekamatwa maeneo ya Goba, Ubungo.
Martin Maranja Masese tweet media
Indonesia
78
378
2.7K
72.2K
chazz
chazz@chazz85465200·
@HildaNewton21 Hua ajali za mabus mengine wanafanyeje??
Indonesia
2
0
2
1.2K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Nilikuwa najiuliza why Jeshi la Polisi wapo kimya kuhusu ajali ya Bus la Sama Luxury Coach ambayo imesababisha tukampoteza ndugu yetu Mwingira. Nambiwa hiyo kampun inamilikiwa na Mchungaji Mwamposa na ameingia ubia na mwanafamilia wa Idd Amin Mama ndo maana Polisi wanakigugumizi
Hilda Newton tweet media
Filipino
14
54
404
21K
mkereketwa
mkereketwa@babylezzyu·
@HecheJohn @SuluhuSamia Hivi heche unajielewa kweli ??umelipwa sh ngap kukizika Chadema??naona unabwabwaja tu mitandaoni Huna cha kufanya mxiuu
Indonesia
0
0
0
3
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Impunity is not immunity. Haki itatendeka tu, Rais @SuluhuSamia unatumia vyombo vyote vya dola dhidi ya chama chetu na kiongozi wetu. Kwasababu ya uoga wa kushindana, kwasababu mheharibu uchumi wa nchi yetu, kwasababu serikali yako haina majibu kuhusu usalama wa watu, vijana wanatekwa wanauwawa na kupotezwa. Wewe Rais na serikali yako hamna majibu kuhusu ajira kwa vijana wala hamna mpango na uwezo wa kuleta ajira. Serikali yako inaongoza kwa ufisadi na rushwa za kutisha. Mnaogopa hayo inabidi Mtumie mbinu ovu kumnyanyasa Lissu Kitu muhimu cha kukumbuka ni kwamba hakuna kinga ya kutenda uovu.“impunity is not immunity “ Watanzania hawatakubali na bado tunasisitiza #NoReformsNoElections tutaenda hatua zaidi kuhakikisha madai yetu yanasikilizwa na yanafanyiwa kazi.
Indonesia
65
347
1.3K
38.4K
mkereketwa
mkereketwa@babylezzyu·
@HildaNewton21 Sasa wakae sehemu wanayodharaulika na kutukanwa kwa kipi jema mlichonacho??
Indonesia
1
0
1
289
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Kauli mbiu ya ukipigwa kwenye Uchaguzi wa ndani ya chama “Hakuna kuhama chama” ilikuwa mahususi kwa ajili ya Mhe. Lissu na sisi tuliokuwa tunamsapoti maana wenzetu walikuwa na uhakika wa kushinda kwa asilimia mia sasa walisahau kwamba binadamu tunapanga na Mungu nae huwa anapanga yake. Leo waliokuwa wanasema “HAKUNA KUHAMA CHAMA” asilimia kubwa ndo hao wanahama CHAMA.
Filipino
50
118
764
24.5K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Jana wakati nasafiri kutoka Dodoma kuja Dar nilipanda treni halafu Behewa ambalo nilipanda nilimuona Mhe. Mbowe alikuwa na Mwigulu Nchemba.
Indonesia
176
171
1.9K
52.4K
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Freeman, Mwalimu & Mafwele hawawezi kuwa mashahidi wa siri. Hata Samia mwenyewe. Wote wanatakiwa kutoa ushahidi hadharani kila mtu ajue Lissu alifanyaje uhaini. Lissu hatafungwa kwa shuhuda za watu waoga, waovu, washenzi. Tunajua hamkuwa tayari kwa siasa za umma. Tuvumiliane.
Indonesia
48
379
1.8K
30.7K
mkereketwa
mkereketwa@babylezzyu·
@HecheJohn Makamu unafeli unabwabwaja tu huku x itasaidia nn
Indonesia
0
1
3
139
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Mwaka huu ni lazima tutarudisha usafi kwenye mfumo wetu wa uchaguzi. Bila kusafisha huu mfumo, Nchi yetu itateswa na hawa wahuni kwa mda mrefu sana . Wanaiba hela za umma, wanazitumia kununua umma ambao umefanywa masikini na wao. Hawana aibu, uongozi unageuka kuwa. Baba, mama, watoto, shangazi, mjomba… mjadala utageuka family affairs.
Indonesia
62
338
1.6K
37.6K
Dedan Wangwe🇹🇿
Dedan Wangwe🇹🇿@DedanWangwe·
Surely mnatarajia CCM imtoe Mhe. Samia Suluhu, ili imlete nani kutoka miongoni mwao mnayedhani ni mwema zaidi? Please educate me😀
81
57
848
75.7K
mkereketwa
mkereketwa@babylezzyu·
@HecheJohn Sikutegemea hili jmn nlijua sahv nchi itakuwa busy na no reform kwa vitendo
Filipino
0
0
0
31
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Hivi ndivyo jiji la Mwanza lilipaswa liwe. Na hii ndio Mwanza inavyoweza kuwa chini ya uongozi wenye maono. Ndoto yetu ni kubadilisha Hii Nchi iwe mahali pazuri kuishi na destination bora ya utalii. #NorefomsNoelection
John Heche tweet media
Indonesia
157
394
2.4K
64K
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Chama chetu kimeonya na kutaka tume ya uchaguzi, rais Samia na serikali yake walete utulivu kwenye Nchi. Kwa kuhakikisha wanafanya mabadiliko ili kuwepo uchaguzi huru, haki na jumuishi. Rais Samia na serikali yake wanapuuza wito huu wa chama pekee chenye nguvu na watu. Wanataka kuendesha uchafuzi mwingine kwa kutumia vibaraka wao kujaribu kusanitize uchafu wao. Kitendo cha tume kutangaza idadi ya uongo ya wapiga kura, kwamba Watanzania zaidi ya nusu wamejiandikisha, inathibisha maandalizi ya wizi na uporaji. Inawezekana kwa tume hii wakasema Samia amepigiwa kura zote millioni 37 za uongo walizotaja. Sisi hatutakubali, tutatoa muelekeo mpya, tutaomba Watanzania mtuunge mkono. #NoReformsNoElection
Indonesia
113
339
1.5K
45.5K
mkereketwa
mkereketwa@babylezzyu·
@BobWangwe Nyie mkipiga nao picha sio shida ila wengine wanaonekana wasaliti ujinga tu mnakurupukia siasa
Indonesia
1
0
4
84
Bob Chacha Wangwe
Bob Chacha Wangwe@BobWangwe·
CHADEMA tusingekuwa makini, tungejitengenezea Momose wetu. Au Lyatonga wetu.Kama sio Haruna wetu! Jan 21, sio tu itakumbukwa kama siku ya kukataa siasa za kitapeli, bali pia itakumbukwa kama siku chama kiliweka rejea sahihi kwa kukataa mtu kujimilikisha chama! CHAUMMA Here We Go!
Bob Chacha Wangwe tweet media
Indonesia
34
112
509
12.3K
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Huyu kijana mdogo ametekwa na kupotezwa Soka alijua na akasema na bado serikali ya Rais @SuluhuSamia ikapuuza na leo Soka hayupo. Sio kweli kwamba tutanyamaza kwasababu ya kutekwa na kupotezwa, kelele itazidi kuwa kubwa. Iko siku wote mnaofanya haya mtasema mbele ya Watanzania kwanini mlifanya uovu huu kwa binadamu wenzetu.
DEUSDEDITH SOKA@DEUSDEDITHSOKA

Ukweli ambao nitauweka wazi mbele ya Mungu & marafiki zangu wa harakati, viongozi wenzangu, Ndugu, jamaa & marafiki pamoja na watu wote Dunia Nzima, kwa taarifa nilizopata Kuna mpango wa kunidhuru & Kunipoteza kabisa Duniani. Wamekwisha kuanza hatua ya kwanza ambayo ni 👇

Filipino
58
419
1.4K
61.6K