Eng.Shaban.

6K posts

Eng.Shaban. banner
Eng.Shaban.

Eng.Shaban.

@badru_abdallah

Full time Husband||Muslim||Islamic teacher||ELECTRICAL TECHNICIAN||متعلق با لله

Mwanza, Tanzania Katılım Eylül 2019
4.9K Takip Edilen2.4K Takipçiler
~BINGWA⚡
~BINGWA⚡@BingwaIK·
Hii TABIA inaongezeka kwa kasi hapa MJINI unaenda KUNYOA unatoka umefanya MAPENZI
~BINGWA⚡ tweet media
Indonesia
52
37
335
31.1K
#BRINGBACKDANIELCHONCHORIO
#BRINGBACKDANIELCHONCHORIO@manaal_ms·
kama Allah amekupeni mitihani, ipokeeni kama ibada na endeleeni kuamini maneno yake. Amesema: “Fa inna ma‘al ‘usri yusra, inna ma‘al ‘usri yusra” -hakika pamoja na dhiki kuna faraja. Allah anasema katika Suratul Baqarah, aya ya 286: “Laa yukallifullahu nafsan illa wus‘ahaa.” Allah hamkalifishi mtu ila kwa kadiri ya uwezo wake. Basi kila unachopitia kina uzito unaolingana na nguvu uliyopewa. Endelea kuwa na subra na tawakkul, kwa sababu baada ya kila dhiki, faraja iko karibu sana. Until then, nitasimama imara juu ya yale anayosema Allah katika Kitabu chake.
#BRINGBACKDANIELCHONCHORIO tweet media
Indonesia
13
20
156
5.7K
Billy
Billy@BillyTronix1·
Silver Crest or Kenwood?
Billy tweet mediaBilly tweet media
English
34
38
295
36.1K
Kaji 🎬
Kaji 🎬@kaji_sijo·
Licha ya kwamba Mto Nile asili yake ni Tanzania ziwa Victoria lakini wamiliki wa Mto huo ni Misri. Mto Nile ni zaidi ya mto tu kwa Misri ni roho na uhai wa taifa hilo la kaskazini mwa Afrika. Wao wana amini bila kufanya kafara zao basi mto huo usinge kuwepo hadi leo. Kwa zaidi ya miaka milioni 30 mtu Nile upo tofauti na mito mingi ambayo hutokea na kupotea. Historia, utamaduni, na hata maisha ya kisasa ya Wamisri yamefungamana kwa dhati na mto huu mrefu na wenye maajabu. Karibu kwenye simulizi ya kusisimua ya Mto Nile.
Kaji 🎬 tweet media
Indonesia
44
60
325
47.6K
RASHIDI ADINANI
RASHIDI ADINANI@Rasheed_Atm·
@Rahim_Meghji Naam ndio Elimu sahihi ama hiyo ya kuita Mashia waumini hiyo hata masufi wenzio kina mziwanda watakukataa!!!
Filipino
1
0
1
488
RASHIDI ADINANI
RASHIDI ADINANI@Rasheed_Atm·
@Rahim_Meghji soma Elimu hiyo toka kwa wenye Elimu.
RASHIDI ADINANI@Rasheed_Atm

✨💫✨MSIMAMO WA #MASALAFI JUU YA VITA KATI YA ISRAEL NA IRANI.. Amesema Imamu Al-āwzaīy rahimahullāh : “إذا التقى الفاجر بالفاجر، فاقتتلا، فأهلك الله أحدهما، فالحمد لله، وإذا أهلكهما جميعًا، فالحمد لله كثيرًا.” ((Pindi Muovu na Muovu wanapo kutana wakapigana kisha mmoja wao

Indonesia
1
0
0
74
Eng.Shaban.
Eng.Shaban.@badru_abdallah·
إذا رأيت الناس يفرقون بينك وبينهم في الشدائد والمحن، فاعلم أن الله يريد أن يتولى أمرك كاملاً. Ukiona watu wanakutenga wakat wa dhiki na shida bas tambua Allah anataka kulisimakia jamno lako kikamilifu.
Eng.Shaban. tweet media
0
0
3
49
Eng.Shaban.
Eng.Shaban.@badru_abdallah·
FANYA KHERI ILI UIKUTE KATK MIIZANI_YAKO
Indonesia
0
0
0
20
Eng.Shaban.
Eng.Shaban.@badru_abdallah·
ليس العاقل الذي #يعرف الخير والشر، إنما العاقل الذي إذا رأى الخير اتبعه وإذا رأى الشر اجتنبه إفعل #الخير كي تجده في ميزانك . Mwenye akili si yule anae jua KHERI na SHARI Hakika mwenye akili ni yule aonapo kheri huifuata na atakapo iona shari huepukana nayo
Eng.Shaban. tweet media
1
0
0
44
Msouth small trader Herb’s
Msouth small trader Herb’s@msouthherbs·
Mahujaji wa Kiislamu wamekusanyika na kufanya ibada katika Mlima Arafat mapema leo wakati wa kilele cha Hija ya kila mwaka, Sisi ambao hatujaenda huko tunaungana nao kwa kufunga Swaum. Allah Atukubalie funga zetu za leo. Aamiyn
Msouth small trader Herb’s tweet media
Indonesia
6
13
79
1.3K
Eng.Shaban. retweetledi
Salahu
Salahu@salahudeen33·
The Important of father
English
105
1.6K
6.5K
50.8K
Eng.Shaban. retweetledi
القرآن الکریم
القرآن الکریم@Al_Quran_011·
reposts, it will help you❤️🎧🕊️
English
23
921
5.1K
30K
Movie Plug🎬
Movie Plug🎬@MoviePlugHQ·
This scene speaks volumes with no words 🧠🎬
English
14
8
15
4K
Eng.Shaban.
Eng.Shaban.@badru_abdallah·
@Brother_0101 hii inaitwa chinese .........nmeisahau ila jo hatar aiseh naomba jina kamil
Filipino
0
0
0
19
Rahuuuum
Rahuuuum@RahmaMwita·
TAARIFA📌 Makamu Mwenyekiti Bara @ACTwazalendo ndugu @MchinjitaIR amekamatwa na jeshi la polisi maeneo ya Kimara. Bado haifahamiki kapelekwa kituo gani na kakamatwa kwa kosa gani. Jeshi la Polisi liseme amepelekwa kituo gani.
Rahuuuum tweet media
Filipino
139
15
231
111.1K
Eng.Shaban.
Eng.Shaban.@badru_abdallah·
@clickHabari unapamban vip wakat Muamuz ni wa mtesi wako muhesabu ni wa mtesi wako Mtangazaji ni wa mtesi wako ANAYEFUATA MAELEKEZO
Indonesia
0
0
0
12
clickHabari
clickHabari@clickHabari·
Makamu Mwenyekiti Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Devotha Minja akizungumza kwenye hafla ya kupokea wanachama wapya wa chama hicho katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Indonesia
1
0
0
136
Mushi
Mushi@mrmushico·
🌚 Charcoal grey 🌚 Gauge 30 Tsh 13,000/= mita moja Gauge 28 Tsh 15,000/= mita moja Wateja na hii rangi, bora akose kula lakini usimwambie hii rangi hadi kesho itakuwa hakuna yani atalipa chap. 🚚Nunua bati usafiri ni bure popote ulipo Tanzania. @BuildMaterials_ #mabati
Mushi tweet media
Indonesia
3
40
45
4K