Sabitlenmiş Tweet
AllyGuardiola7
17.7K posts

AllyGuardiola7
@baraghashially
Father | ♠️ Lawyer & HRGM | Kangaroo Tail | While You Scroll, Read Geopolitics & Finance | Government Projects | Supply & Demand Never Lies ♈️
Katılım Haziran 2018
2K Takip Edilen3K Takipçiler
AllyGuardiola7 retweetledi
AllyGuardiola7 retweetledi

Game Time! 🍿
🇰🇪 Nairobi City Thunder ⚡ Dar City 🇹🇿
Watch the game live: bal.nba.com/schedule-2026

English
AllyGuardiola7 retweetledi

@Vitabu247 Jibu lipo kwenye kitabu cha UJASUSI cha @YerickoNyerereT
Indonesia

Ila waTanzania 😂😂😂
Leo Mossad ni kubwa kuliko CIA?
Au niwape vitabu wakuu
NGASSA+255@Therealngassa
Between mosad and CIA Nani mtabe zaidi ya mwenzake kwenye intelligencia na operation
Filipino

SILO ni series ya ajabu especially Season 2 Iko deep sana zaidi kwenye jinsi watu wanavyoamini system bila kuihoji.
Sasa humo ndio utajua Big brother walivyo na nguvu kwenye Jamii na Utajua Big brother sio mtu ni perception.
Exactly kama unavyoelewa geopolitics! 🫡
Apple TV News Hub@AppleTVNewsHub
#SlowHorses Seasons 6 & 7 have both wrapped filming! #Silo Seasons 3 & 4 are also done filming. Silo s3 is rumoured for July 3, while Slow Horses s6 is expected this September. The later seasons will arrive in 2027.
Filipino

@ThomzJoseph Watu wengi wenye PUA kubwa huwa wanashida sana.
Indonesia

Leo ni siku ya kipekee sana 🌟
Tunamsherehekea wakili mahiri na jasiri, Alex Mgongolwa — mtu ambaye amejenga heshima kubwa katika taaluma ya sheria kwa uadilifu, weledi, na uthubutu wa kusimamia haki bila kuyumba.
Umeandika historia kwa kazi zako kubwa, ikiwa ni pamoja na kushiriki katika kesi nzito zilizoonesha uzito wa sheria mbele ya wote, bila kujali hadhi ya mtu. Hilo ni somo kubwa kwa kizazi cha sasa na kijacho — kwamba haki ni kwa wote.
Tunakupongeza kwa moyo wako wa kupigania ukweli, ujasiri wako wa kusimama imara, na mchango wako mkubwa katika kuimarisha misingi ya haki nchini.
Heri ya siku ya kuzaliwa! 🎉
Mungu akupe afya njema, hekima zaidi, na mafanikio makubwa zaidi katika maisha yako na taaluma yako.
Endelea kung’ara na kuwa mfano bora kwa wengi 🙌

Filipino

#TajiriLaKihaya
Haha…. Kumbe ndio Mbinu😂😅🙌🏽🙌🏽
Alafu Africa wanaForce DEMOCRACY😂
Sulaiman Ahmed@ShaykhSulaiman
JUST IN: NETANYAHU SEEKS TO POSTPONE ELECTIONS IN ISRAEL DUE TO THE IRAN WAR Source: Reuters
Filipino

UKATILI HUU SIO KWELI.
Ashuru ndiyo iliyolifuta Israeli (Kaskazini) mwaka 722 KK,
Chini ya Mfalme Sargon II ilishinda Israeli ya Kaskazini na kuwapeleka watu wake utumwani.
Mkanaani 🇮🇱🇹🇿@Mkanaani_
Kwenye Kitabu cha Amosi Mungu alilifuta taifa la Ashuru kwa ukatili huu na mauwaji kwa waisraeli
Filipino
AllyGuardiola7 retweetledi

@VungaEl74 Uislam ulikuwepo Toka Adam.
Hakuamini UTATU BALI ONE GOD.
Alikuwa Mchamungu, Mwenye kuamini kumcha Mungu Mmoja na Wala hakuwa kwenye Washirikina.
Indonesia

Hivi unajua kwanini vijana wengi makazini Hatudumu?
Au ktk ya internship tunapigwa chini Sababu kuu ni hii:
Tunapenda sana “kuwa OUTSHINE” wale tunao wakuta makazini.
Nenda ukasome LAW 1 kutoka kitabu The 48 Laws of Power cha Robert Greene, “NEVER OUTSHINE THE MASTER”
#tadc
Filipino


















