Barnchiko

144 posts

Barnchiko

Barnchiko

@barnchiko

Usimfanyie mtu ubaya,ikiwa yeye ajakufanyia wewe ubaya.Tukae humo

Katılım Mayıs 2020
122 Takip Edilen6 Takipçiler
kupira
kupira@KupiraJr·
@chapo255 @GGalawika Me nilikuwa namfuata demu Chanika nikaishia Kinyamwezi Nikasema sipandi Punda kihasi hiki No. Nikageuka mamae. 😂
Indonesia
2
0
3
608
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Wazee Chanika mbali kinoma, sijui kwanini mnaisemaga Kigamboni. Ule ni mkoa mwingine kabisa😂
Eesti
49
44
710
22.7K
Billy
Billy@BillyTronix1·
Leo kwakweli hakuna wa kumlaumu on to the next game 🙌
Tanzania 🇹🇿 Filipino
19
21
196
10.1K
Trica Online Store
Trica Online Store@TriciaAbou·
Nothing to worry, sisi ndio mabingwa imeshaandikwaa na ipo hivyo 🫵🏻 See you next Gunners 🙏🏻
Trica Online Store tweet media
Filipino
61
25
194
6.6K
Barnchiko
Barnchiko@barnchiko·
@BillyTronix1 Yani wale wakati wanaingia nikasema safi,ila bora wangebaki wale wa mwanzo
Indonesia
0
0
0
71
Billy
Billy@BillyTronix1·
After Trossard kuingia na matumaini yakafa kabisa
Indonesia
11
3
54
2.2K
Trica Online Store
Trica Online Store@TriciaAbou·
Tusubiri Kudra za Mwenyezi Mungu, Very poor Arsenal 🥹 Kwanini mnatufanyia hivii wazee
Indonesia
20
8
101
1.7K
Barnchiko
Barnchiko@barnchiko·
@angelbellerin02 Sasa na hayo mawe yakikupolomokea,si marehemu atakufa na kwenye picha!.
Indonesia
1
0
4
864
angel bellerin02
angel bellerin02@angelbellerin02·
Sina picha nzuri itakayowekwa kwenye msiba but hii sio mbaya msije sema marehemu anapenda filter kbbk 😂😂😂🫵
angel bellerin02 tweet media
Indonesia
122
58
580
24.5K
Barnchiko
Barnchiko@barnchiko·
@angelbellerin02 Sasa jichanganye uote unakunya,walahi utayakuta kitandani,shetani anapenda sana kutuhaibisha
Indonesia
0
0
1
62
angel bellerin02
angel bellerin02@angelbellerin02·
Kuna movie nilicheck Jana kabla sijalala inahusiana na mambo ya madini ya dhahabu , si nikaota usiku eti nimeshika kipande cha dhahabu nimekificha na sijashikwa 😂😂🫵nimeumia sana , juzi Tu niliota nime cash out mkeka 700k nimeamka hamna kitu ... Dah
Eesti
10
4
63
2.9K
kavol agent
kavol agent@ErnestKavol4·
Vita imeanza. Ndege tatu za kivita za Marekani zimeharibiwa usiku wa kuamkia leo.
kavol agent tweet media
Indonesia
4
4
78
1.8K
angel bellerin02
angel bellerin02@angelbellerin02·
Siri Ya kumaliza kunguni kwako ni kuchoma kila kitu ,kunyoa kipara na kuhama uchi ✔️✔️😁
Indonesia
67
40
412
20.8K
angel bellerin02
angel bellerin02@angelbellerin02·
@unique_asmer Nikwambie sasa hivi hidude ndo vipo ndani ya kum ya mwanamke na ndo vinawapa Raha Kaka zetu 😁🥲🤣
Indonesia
5
0
20
3.1K
asmer de unique
asmer de unique@unique_asmer·
Kijana, usiweke ulimi wako hapa
asmer de unique tweet media
Indonesia
56
6
147
31.3K
Man Like Sule™
Man Like Sule™@Maichagange·
Chagua mchezaji mmoja Usingependa awe na majereha ili umfaidi kumuangalia akicheza Boli. 🇪🇸 Thiago Alcantara 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿Daniel Sturridge 🏴󠁧󠁢󠁷󠁬󠁳󠁿Gareth Bale 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Jack Wilshere 🇩🇪 Marco Reus 🇫🇷 Ousmane Dembélé 🇳🇱 Arjen Robben 🇧🇪 Eden Hazard 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Andy Carroll 🇪🇸 Miguel Pérez Cuesta (Michu)
Man Like Sule™ tweet media
Suomi
120
16
214
11.4K
angel bellerin02
angel bellerin02@angelbellerin02·
Tukibeba EPL 😂mtahama humu
Indonesia
35
49
349
8.3K
Azam TV
Azam TV@azamtvtz·
@barnchiko Pole kwa changamoto uliyoipata mdau wetu, tafadhali tuandikie namba yako ya smartcard. Pia tunakushauri unapofanya malipo ya kifurushi chako hakikisha umewasha kisimbuzi chako ili kupata chaneli kwa haraka.
Indonesia
1
0
0
78
Azam TV
Azam TV@azamtvtz·
Tamthilia mpya ndani ya #AzamTWO 🔥 Kuipata AzamTWO, LIPIA; MIKUMI / Azam PURE - 19,000/= NGORONGORO / Azam PLUS - 28,000/= SERENGETI / Azam PLAY - 35,000/= Kifurushi cha SAADAN / Azam LITE - 12,000/= hakina chaneli hiyo. #AzamTVBurudaniKwaWote
Azam TV tweet media
Indonesia
2
1
18
21K