kupira
9.1K posts

kupira retweetledi

Klabu ya Zamalek SC ya Misri imetwaa ubingwa wa Ligi kuu ya soka Nchini humo kwa mara ya 15 kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Ceramica Cleopatra na kumaliza kileleni mwa msimamo wa Ligi hiyo wakiwa na alama 56.
Mabingwa mara 45 wa Ligi hiyo, Al Ahly wamemaliza nafasi ya tatu wakifikisha alama 53, nafasi inayowalazimu kushiriki Kombe la Shirikisho msimu ujao.
Mabingwa wapya Zamalek na Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), Pyramids wamefuzu kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao.
FT: Zamalek 1-0 Ceramica Cleopatra
FT: Pyramids 2-1 Smouha
FT: Al Masry 0-2 Al Ahly
MSIMAMO 🔝 4️⃣
1. Zamalek — pointi 56
2. Pyramids — pointi 54
3. Al Ahly — pointi 53
4. Cleopatra — pointi 44
#KitengeSports

Filipino

@barnchiko @chapo255 @GGalawika Utelezi unafuatwa mbali kama Ajira za Tamisemi HAPANA siwezi Aisee. 😂
Indonesia

@Sativa255 Marehemu Tindwa aliekuwa mfanyakazi wao alipigwa chuma akiwa home na hakuna alinyanyua mdomo.
Indonesia
kupira retweetledi

Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa nitakuwa Uyole Jumapili hii pamoja na Viongozi wengine wa ngazi mbalimbali za chama…Ni mkutano wa hadhara na Wananchi wote wa Mbeya Mjini njooni tuendelee tulipoishia…✌🏾✌🏾
#LiMwenyekiti #NyasaMpya #FREELISSU

Indonesia

@millardayo Huyu Fala anaacha kuongelea tope la kitunda anatoa pongezi ambazo hazina maana
Suomi

Mbunge wa Jimbo la Kivule Jijini Dar es salaam, Ojambi Massaburi amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumteua Katibu Mkuu wa Chama cha Upinzani cha NCCR Mageuzi, Everlyne Munisi kuwa Mbunge na Naibu Waziri wa Ajira, Kazi na Mahusiano akisema hiyo ni hatua kubwa inayodhihirisha kuwa Rais Samia ni Mwanadiplomasia nguli.
Massaburi amesema hayo Bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia hoja kwenye hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2026/2027 iliyowasilishwa na Waziri wa Maji, Jumaa Aweso.
“Nampongeza Dkt. Samia Suluhu Hassan Mwanadiplomasia nguli, mara ya mwisho niliposema Dkt. Samia ni Mwanadiplomasia nguli wapo Watu walibeza kauli ile kwenye Vyombo vya Habari lakini leo ameuthibitishia umma na Dunia, Tanzania na Bara la Afrika kwa kumteua aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Upinzani (NCCR) kuwa tu sio Mbunge bali Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Mahusiano”
“Dkt. Samia ni Kiongozi anayeamini kwenye Siasa za kujenga, hoja mbadala na ni Kiongozi aliyevuka mipaka ya kisiasa Tanzania, Dkt. Samia sisi Wananchi wa Kivule wakati anaingia madarakani, kwa takwimu za mwaka 2018 Jimbo la Kivule lilikuwa na maji 0% leo Dkt. Samia amejenga tenki kubwa la maji la lita milioni 9”
#MillardAyoUPDATES
Indonesia
kupira retweetledi

Kuhusu kifo cha JAMES aliekatwa KICHWA-jeshi la polisi limesema wanafanya UCHUNGUZI.
Ni wakumbushe ni hili hili jeshi la polisi linafanya UCHUNGUZI mpaka leo kifo cha mzee KIBAO (miezi 16/17 sasa)
Ni hawa hawa Jeshi la polisi wanafanya uchunguzi mpaka leo KUTEKWA kwa mdude (Mwaka sasa).
Ni hawa hawa Jeshi la polisi wanafanya uchunguzi kutekwa kwa POLE POLE (miezi 6 sasa).
Countdown ya JAMES TEMBA inaanza leo pia, tutawakumbusha.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Indonesia
kupira retweetledi
kupira retweetledi

Mpaka familia inazunguka vituo vya polisi kumtafuta mpendwa wao bila mafanikio inamaanisha huo sio UKAMATAJI NI UTEKAJI.
#FreeNinja

Indonesia

‼️CONFIRMED‼️
Kuna mtu yupo Mahakamani kanijulisha kwamba amemuona Mhe. Lissu Mahakamani asubuhi hii.
Najiuliza kwanini Serikali haram imeamua kumpeleka Mhe. Lissu Mahakamani kimya kimya bila kuwajulisha Mawakili wake wala Chama?
Cc. Mhe. @HecheJohn @jjmnyika @rugemeleza

Indonesia

@millardayo Ukiona mtu ameiba pesa nyngi kiasi hicho halafu anekamatwa juu hakuiba hiyo pesa au ametapeliwa na yeye Bongo hakuna Police wa kukukamata na 40M alafu mshindwe kumalizana hizo ni drama za Jeshi la Police.
Filipino

Mwanamke mmoja Mjane Mkazi wa Wilaya ya Kaliua Mkoani Tabora, Fatma Nassoro, ametapeliwa zaidi ya Shilingi milioni 40 na Watu wanaodaiwa kujifanya watoa huduma ya ‘lipa namba’, fedha ambazo ni sehemu ya mirathi aliyoachiwa na marehemu Mume wake.
Tukio hilo limetokea baada ya Watuhumiwa hao kufika katika eneo la biashara la Mwanamke huyo wakidai kumsaidia kuunganisha huduma ya malipo ya kielektroniki, ndipo walipofanikiwa kupata namba yake ya siri na hatimaye kuhamisha fedha hizo kutoka kwenye akaunti yake.
Aidha, Jeshi la Polisi Mkoani Tabora limethibitisha kuwakamata Watu watano kuhusiana na tukio hilo, ambapo Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo, SACP Richard Abwao, amesema Watuhumiwa hao wamekamatwa Babati Mkoani Manyara walipokuwa wakijaribu kutoroka baada ya kufanya uhalifu huo.
Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha ameliagiza Jeshi la Polisi kuhakikisha Watuhumiwa hao wanarejesha fedha hizo haraka iwezekanavyo kwa Mwanamke waliyemtapeli fedha zake za mirathi na sheria ichukuliwe kwa dhidi yao ili iwe fundisho kwa wenye tabia kama hiyo. #MillardAyoUPDATES
Indonesia
kupira retweetledi


















