B
7.8K posts

B
@bboy_ogast
no lie when love finds you!!!
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ocak 2016
1.9K Takip Edilen1.5K Takipçiler

@official_kauzu Ni rahisi hasa watu weingi wanaowafata wakamaria wa mitandaoni.. jamaa akichukua ma influencer wa mtandaoni wakawa wanatoa code ya vunjabei.. watu wataenda tu
Indonesia

@I_am_stee @Wizdomtz Na yakiwaga matela mawili jinsi wanapiga reverse mpka chuma unakatika kama namba saba alafu bado wanaiweka vzur 🙌🏼
Filipino

@Wizdomtz Kama namba 4 inamaanisha semi trailer, hao wako vizuri sana. Hawa jamaa wana subira, uvumilivu na moyo wa kujituma.
Fikiria,
1. wanasafir masaa mengi.
2. Kuovertakiwa na kila gari
3. Kubembeleza semi mpaka ipate kasi sio mchezo.
4. Wanachukua tahadhari muda wote
Nk
Indonesia

@MarekaMalili Jana natoka mecco kwenda nyasaka punda anataka 4K yule mwehu alidhani naokota hela....nime print taratibu milimani chap tu.
Nikanunua mua kujipongeza
Indonesia

@JosephMsusi @chapo255 @Adventure_36 Wakat mavoko anaenda WCB mondi alikua kashatoboa bila Clouds na WCB ilikua tayar ni lebo kubwa
Filipino

@chapo255 @Adventure_36 Vita ya clouds na wcb ilikua serious mond angelegeza angebaki story lkn sidhani kama mavoko ilikua ni vita yake na sidhani kama alikua anaamini wcb ingetoboa bila clouds,Eatv na TVE ko ilikua ni self defence kwa mavoko
Indonesia

@Fundipicha @canivo_ Anakwambia skin tight yake ndefu ya kipekee ni bishoo sana uyu bajabir 😂😂😂 kmmk
Indonesia

@canivo_ Mtangazaji anataja mpaka mchezaji kuhusu kuvaa skin tight 😁
Suomi

@canivo_ Ni vile hata ma commentary wa kizungu wanasemaga iii lkn lugha ndo inafanya tusiboekee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Eesti

@mafolebaraka Wew unaona kazi ni kutumia nguvu tu?? Wakat wenzako wanatumia akili
Filipino

@TheNdullyz @TichaMandevu Yaan mtu kaunda vyumba na umeme kibao ila anachukua hela ndogo.. afu wew uko ofisn na kompyuta yako unachukua mchongo mkubwa kuliko mwenye mali
Filipino

@TichaMandevu Bongo kodi nyingi kuliko hata waliotengeneza gari lenyewe! Ndo maana tunanunua magari used miaka mingi huko tunayaita mapya
Indonesia

@KURYABOY_TZ @TichaMandevu Sas gari mpya ndo ushuru wake haugusiki ndomana watu tunakomaa na used
Filipino

@The_mesha24 Ila bar Mnaenda kunywa au sio? Muda huo huo mnaoenda bar na sis tunatumia kuangalia mpira
Indonesia

Siku NILIPOACHA kufatilia
1. Mambo ya Simba na Yanga
2. Mambo ya celebrity na udaku
3. Game za UEFA za usiku sana
ndipo nilipoanza kuona tofauti.
-Focus yangu iliongezeka.
-Nikawa makini na vipaumbele vyangu.
Vitu vingine si vibaya…Lakini havina umuhimu.
Kama haviongezi thamani kwenye maisha yako basi vinaondoa mwelekeo wako.
#ElimuBure
Indonesia















