automationwizard

558 posts

automationwizard

automationwizard

@automation670

Katılım Şubat 2026
23 Takip Edilen17 Takipçiler
Sehrish 🧢
Sehrish 🧢@SqSehrish·
This IQ Test exposes pretenders Don't be one, solve it 😭
Sehrish 🧢 tweet media
English
501
65
122
13.9K
automationwizard
automationwizard@automation670·
@MrDepalitto9 ungekua shabiki wa mpira unae fatilia mpira usinge shangaa lkn ukiwa shabiki wa mechi ya simba na yanga to msimu mzima ndo lazima uje na hoja kama izi
Indonesia
0
0
0
77
Real Nigger
Real Nigger@MrDepalitto9·
Simba hovyo wanashindwa kushikilia bomba mbili zote watu wanarudisha hii team dah bas ubingwa atuchukui kmmk mmi binasfi Yanga namuona anabeba ubingwa.
Filipino
8
4
59
1.5K
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
Haijawahi kutokea kwenye historia ya Ligi Kuu Bara Mchezaji kama Clatous Chota Chama, The Greatest ever.
Farhan Kihamu Jr tweet media
Indonesia
55
77
1.3K
20.9K
🕸🦂Nagu Jr.🕸🦂
🕸🦂Nagu Jr.🕸🦂@LalykillerJr·
@SimbaSCTanzania Kiufundi unashangaa inakuwaje Maema yupo uwanjani huoni kitu, unafanya sub ya Mpenzu anayekupa uhai mbele Maema bado yupo uwanjani, unafanya sub ya Loemba na Maema bado yupo uwanjani alafu unataka kutafuta mchawi hapo wakati game ameiua kifo cha mende kabisa .
Indonesia
7
0
19
2.2K
Mtoto wa Mungu🤲🏽
Mtoto wa Mungu🤲🏽@Conspiracist_1·
Haya madude yamekusaidia nini mpaka sasa hivi ewe mkali wa Electronics form 6 nzima 😂🤝
Mtoto wa Mungu🤲🏽 tweet media
Indonesia
7
3
22
3K
Friya
Friya@Friyaneb·
Math lovers prove your brainpower
Friya tweet media
English
1.5K
79
293
41.2K
👑Beno10
👑Beno10@Beno10_MFC·
Only the smartest nearly got the value of C. It requires top level IQ Can you solve?
👑Beno10 tweet media
English
25.9K
331
3.5K
2.2M
automationwizard
automationwizard@automation670·
@Yekaweto @shaffihdauda1 Itakua mechi ya juzi ndo ya kwanza kuangalia tangu uzaliwe.....nikupe task ndogo to boss kacheki gemu ya robo fainali world cup 2010 ghana na Uruguay nazan utaelewa kama n akili ndogo au wew na changomoto
Indonesia
0
0
0
4
Yeka
Yeka@Yekaweto·
@shaffihdauda1 Wachezaji WA kibongo akili ndogo Sana kwenye maamumzi Yaan DK za mwisho inafanya faulu ya kukusudia kabisa Hyo ni akili ndogo Sana ya maamumzi
Indonesia
1
0
0
72
Shaffih  Dauda
Shaffih Dauda@shaffihdauda1·
Calm down Edmund John, najua DM yako itakuwa bize sana leo wapo watakao kutia moyo lakini wapo pia watakaokusema as if haujawahi kufanya jema Kukosea kupo na leo umekosea wewe, huu sio mwisho wa career yako stay strong Ujumbe wangu kwa Wananchi, wachezaji wengi wazuri wamewahi kupotea baada ya kukosea na waliopaswa kuwapa moyo kugeuka na kuwasimanga, Edmund yupo Yanga lakini Taifa linamuhitaji mpeni moyo badala ya kumpoteza
Shaffih  Dauda tweet media
Indonesia
50
11
363
15K
automationwizard
automationwizard@automation670·
@MkulimaKante ishu sio kua engneer tu au daktar to ishu n kua unafanya kazi wapi....iyo ndo ina matter boss kweli wote mnaweza mkawa ma engineer lkn wapi unameajiriwa ndo ina determine fedha mkuu. Kuna sehemu una ajiliwa ata biashara uwazi mshahara to biashara tosha....
Indonesia
1
0
5
1.1K
Kante
Kante@MkulimaKante·
Idadi ya madaktari wanaokimbilia biashara nje kabisa na kada zao naona kama inaongezeke kimtindo. Sikuwahi kufikiria kuwa yule ubepari pc ni daktari hadi pale siku naona anaenda kufuata leseni yake sijui nikategemea ataenda kutibu. Sasa hivi nashangaa mwamba yupo zake Dubai anafanya biashara. Hii kumaanisha nini au ndio mambo ya hobby💔
Indonesia
15
7
97
9.1K
Kante
Kante@MkulimaKante·
Swali la kizushi pamoja na kuwa bilionea kijana Afrika kupenda kushare picha zake mara kwa mara. Kwanini huwa hapendi kumuweka mke wake hadharani maana najua hakuna mtu wa kumuiba mke wa tajiri maana pesa ipo. Nataka nijifunze kitu ili siku nikitajirika nipite njia zake huenda kuna jambo la muhimu sana hapa🙏
Kante tweet media
Indonesia
21
11
42
4.4K
automationwizard
automationwizard@automation670·
@Conspiracist_1 Ungekua Mtaalam wa plc , sequencial, na combinational circuit designer ungeelewa umuhimu wake mkuu....
Indonesia
0
0
0
47
The Kyejo
The Kyejo@OfficialKyejo·
@automation670 @IAmHaule Kabisaa kweli mpka utimuliwe ni zile familia za chini saana kipato duni hapo ndipo mtu anatimuliwa ila familia nyingine saafi tuuuu
Indonesia
1
0
1
6
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Kwa mtoto wa kiume hauhitaji Umri sahihi , unahitaji utayari tu basi unaondoka . 😅
IAmHaule tweet media
Indonesia
9
7
33
1.8K
automationwizard
automationwizard@automation670·
@IAmHaule Ipo ivo blood ndo mana haya mambo ya kutimuliwa home yapo kwenye izi familia zetu za hari ya kawaida ila kwa familia zinazojiweza kivipato uji kusikia uswahili uu
Indonesia
0
0
0
13
Jenny
Jenny@Jennnyyyyyy·
What is the weight of Wolf? 🤔 Difficulty - Hardest 😉
Jenny tweet media
English
23K
360
7.1K
2.4M
Mdibafu
Mdibafu@canivo_·
Bloangu Gharib Mzinga tumeshakuelewa kwamba Ismail Toure na Pacome walicheza pamoja Asec mimosa aisee hii sasa too much 🙌💔
Filipino
34
22
521
25.2K
automationwizard
automationwizard@automation670·
@Sulphuric_aci17 Watu walioweka mifumo ya soka walijua haya yote ndo mana kuna one final say kocha ukimpa kila shabiki nafasi mwengine ata kwambia ilipaswa diara acheze tisa...n kama draft ukiwa nje kete za kula teuzi unaziona vizur san changomoto inakuja wew ukiwa ndan
Indonesia
0
0
0
9
Conc.H2SO4
Conc.H2SO4@Sulphuric_aci17·
Kuna wakati unaona kabisa ni kama jamaa hajui anafanye nini na awatumiaje wachezaji alionao kwenye timu yake,why Dube na Depu pamoja kwenye game kama ya jana?Siku zote nawaambia Depu ni abiria kwenye timu akicheza mjue logically mpo 10 uwanjani NB:Tunahitaji kocha katili sasa
Conc.H2SO4 tweet media
Indonesia
22
2
93
2.3K
automationwizard
automationwizard@automation670·
@Sulphuric_aci17 @Mounster___ Nasijui kama kuna goli kwenye mpira linatokea bila mistake fulani either marking au foul...au Mtaalam wew unapenda timu ziwe zina maliza sare siku zote ya bila bila
Indonesia
0
0
1
7
Conc.H2SO4
Conc.H2SO4@Sulphuric_aci17·
@Mounster___ Mimi sichukii mtu wewe, ila tunazungumza football as professional footballer hakupaswa kufanya alichofanya ameicost time na maishaengine yanaendelea
Indonesia
3
0
0
386
Conc.H2SO4
Conc.H2SO4@Sulphuric_aci17·
Kitu ambacho mashabiki na viongozi wa Makolo mnatakiwa kijifunza kwa Yanga ni kuheshimu football,huyu dogo angekua mchezaj wenu na alichokifanya jana dk za mwisho mmemshutumu ANAHUJUMU timu yenu ANATUMIKA kitu ambacho huwezi kukisikia kwa shabiki wa Yanga,makosa ni sehumu ya game
Conc.H2SO4 tweet media
Indonesia
28
3
125
4.8K