bei□□□.com

3.2K posts

bei□□□.com banner
bei□□□.com

bei□□□.com

@beipoa01

Digital assets brokerage. Explore the best rates with us! $BTC $USDT $USDC 

Earth Katılım Ağustos 2024
470 Takip Edilen179 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
bei□□□.com
bei□□□.com@beipoa01·
I AM ABOUT TO WALK INTO THE MOST ABUNDANT BALANCED WEALTHY AND SUCCESSFUL PERIOD OF MY LIFE. I NATURALLY ATTRACT GOOD FORTUNE, AND I AM WEALTHY IN MORE WAYS THAN ONE. I GIVE MYSELF PERMISSION TO PROSPER, AND I HAVE THE POWER TO BUILD THE LIFE THAT I DESIRE.
English
0
0
2
3.7K
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Tuliambiwa tunayo akiba ya MAFUTA MIEZI MITATU, sasa ile akiba ya kazi gani kama haisaidii taifa kipindi hiki tunachoyahitaji? Hili linchi limeozeana kila kona—usikute hiyo akiba ya mafuta ya kukidhi miezi mitatu waliyosema nayo HAIPO zilikuwa ni “SHOWBIZZ”.
Filipino
8
35
238
3.4K
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Mafuta yapo hadi ya July. Je, nini kilichosababisha leo mafuta yapande bei? Au storage?
Fortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
65
76
536
18.5K
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Ili twende sawa Jamhuri ipunguze matumizi yasiyo ya lazima ya viongozi kama per diem zisizo na maana na safari za kikuda lengo ni kumpunguzia Mtanzania wa chini gharama za tozo na kodi zinazogharamia mambo yasiyo na tija kwa Taifa hususani kipind hiki ambacho mafuta yamepanda bei
Indonesia
5
4
37
448
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Ila si naliona mahali wanasema tumevuta Wese la Aliko Dangote?
Italiano
28
10
167
6.8K
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Haiwezekani EWURA wakitangaza bei mpya usiku asubuhi kila kituo kimeshabadilisha bei wakati matank yana mafuta ya bei ya zamani. Huu ni uporaji na unanyang'anyi wa waziwazi
Indonesia
45
64
468
15.1K
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Serikali sikivu baada ya kupanda kwa gharama za mafuta ambazo zitapelekea kupanda kwa gharama za maisha,natumai watafuta kodi na tozo zisizo na ulazima sana ili kumlinda mtanzania na mfumuko wa bei
Indonesia
13
14
79
1.2K
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
@beipoa01 Kama unalinda mtaji kwa kupandisha bei ya old stock mbona bei ikishuka hampunguzi bei hapo hapo kumlinda mtumiaji? Yaani bei ikipanda mnatumia bei ya kesho ikishuka mnatumia bei ya jana. Huu kama sio Unyonyaji na uhuni ni nn?
Indonesia
1
0
0
66
Patigo
Patigo@kingnweze·
@beipoa01 @George_Ambangil @rollymsouth 😂😂😂😂 motiveshno spika wamebuma ...watu hawajalipa.viingilio. "Goodmorning future Millionaire" hapo unakuta ni mchana 😂😂😂😂
Indonesia
1
0
1
7
George Ambangile
George Ambangile@George_Ambangil·
Bado tuna shida mahala sisi VIJANA . Inaonekana bado ngumu kukubali ule msemo 1: " Hii KEKI ni kubwa sana kila mtu atakata kipande chake na bado itabaki " 2: " Kwani kuna shida wote tukishinda / Kufanikiwa " ? Upatikanaji wa hizi hela unafanya watu kuchukiana/ kuharibiana
Indonesia
170
359
1.9K
57.7K
MfinaWiiiseeee
MfinaWiiiseeee@mfinanga_rm·
Kuna jamaa anafuga mbwa sasa kapita kwenye mgahawa anakusanya mabaki ya vyakula, mtu kamuuliza sasa kati ya wewe na mbwa nani mbwa 😂😂😂😂😂
Filipino
19
23
311
11.4K
Madenge
Madenge@rollymsouth·
Toka 29 tuko kwenye vita kali sana ya kisiasa iliyojaa hisia nyingi na uchungu(hadi kukoseana heshima). Tunapoibadili vita hii na kuwa vita ya uchumi binafsi baina yetu vijana tunapoteza direction zaidi na wanufaika ni wachache na wanafurahia(huyu atabet,huyu atafanya hiki but lengo ni hela hakuna ajira tuheshimiane but tuwe kwenye mstari mmoja-kuikomboa nchi),sio kila ukweli lazima usemwe mwingine unauacha watu waje washuhudie wenyewe(binafsi nimejifunza hilo), tupishane mawazo but tusipoteze direction... Kijiti kwenu Gen Z💪
Indonesia
200
96
924
83.2K