
@gabyconscious 😂😂😂😂boda wasenge sanaa na siku hzi naona zinawafanya mbaya sana ad nmeacha kupanda kabisaa
Indonesia
Dr.Benjamin Barnabas Mwakipiti, MD
398 posts

@benny_mwaky
Medical Doctor🩺 ||Founder of @TheMarathon pharmacies||⚕️ Passion for healthcare & impact||❤️🔥 Man United faithful ||🎓 CUHAS Alumnus


Kijana ambae bado hajabahatika kupata mtoto, siku ukibahatika kuna mabadiliko makubwa yatatokea kwako. Hasa katika upande wa ufanyaji maamuzi na namna unavyoyachukulia mambo Hauwahitaji washauri wa maisha mzee, leta kiumbe duniani ambacho kinakutegemea kihalali kwa kila kitu UTANYOOKA bila kunyooshwa 😅






#VisitMbeya Mbeya


@gabyconscious @YusuphMbilinyi8 Kaka saiz naona soko limeingiliwa kila mtu mtandaoni mganga na mshauri wa lishe 😃

