Saint_martao
7.4K posts















Huyu mfanyakazi wa kampuni ya Ally bus cargo nilimcheki vizuri tu kwanza nilipakia mizigo jumamosi ikakaa mpaka j4 ya wiki iliyofata naangaikia kujua mzgo kama umefika kumbe walishusha shinyanga baada ya kahama kaka hana customer care anakujibu short anakata simu na hapokei



At your age, what’s the most expensive thing you own?


@gabyconscious Watu hawaelewi confidence level watu waliyokua nayo kwenye fx miaka ya 2016, 17, 18. Tuki account at individuals level kwamba kila trader tuangalie loss zake, kuna billions zimepotea ambazo zikikusanywa nakuwekwa kwa account moja hata hii 1.7B inayowashangaza watu ni cha mtoto.






🥰❤️




Kama Unajua kabisa Hii kozi haina Mgawanyo wa Majukumu, Certificate anafanya cha Diploma , cha Diploma anafanya certificate, cha Degree Anafanya Diploma. USIJE UKAMSHAURI MTOTO WA MTU ASOME HIO KOZI, NI KOZI YA KIDWANZI, NA KUPOTEZA MUDA.












