Boniface Chengula
13.1K posts

Boniface Chengula
@bonichengula
Popular in iPhone & Samsung product Reseller on Twitter | ☎️0752-992667 | 📍Mwenge ITV | Backup Account @bohny_chengula






Guy's guy's guy's!!!! Ukikutana na wanamke ambaye hawezi kutii amri zako bali anataka we ndiye ukae kwenye masharti yake kisa ni mzuri hiyo ni 🚩🚩🚩 Kimbia mpaka miguu ichomoke maana huko mbele utakuwa mtumwa wake. Utaigharamia hiyo shape yake kwa gharama ya mateso na machozi

Baada ya Nduli Idd Amin Mama kuzima Internet na umeme October 29 haya ndo mateso ambayo @tanpol waliwapa Watanganyika baada ya mateso haya wakaenda kuwapiga risasi. Inasikitisha sana kuona maskini wenzetu waliobebeshwa silaha, wakiuwa maskini wenzao ili kulinda maslai ya familia ya Nduli Idd Amin Mama pamoja na washirika wake. Vikosi vya Nduli Idd Amin Mama vilikuwa vinaujasiri wa kufanya haya yote kwasababu waliamini kwamba kwasababu wamezima Internet na umeme basi ingebaki kuwa siri hawakujua kwamba tunaishi kwenye Dunia ya Sayansi na Teknolojia. Halafu leo wanataka Maridhiano sasa tunawezaje kufanya maridhiano na mtu Katili wa Kiwango hiki.? #TanzaniaIsBleeding #SamiaMustGo

Been struggling kuvaa skin jeans hivi entirely 😭😭 ila hazinipendezi 😂 naumia sana


Dear 1991, 1992, 1993, 1994, 1995, 1996, 1997, 1998, 1999. It's time for a second baby












