Christian Bwaya

45.7K posts

Christian Bwaya banner
Christian Bwaya

Christian Bwaya

@bwaya

U S H U N U Z I

Dar es Salaam Katılım Mayıs 2009
981 Takip Edilen13.8K Takipçiler
Christian Bwaya
Christian Bwaya@bwaya·
@assengajrr Kumekucha motivational speakers. Saa nyingine ni muhimu kutafiti kwanza kabla ya kutoa maelekezo ya jumla.
Indonesia
1
0
1
15
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
Wekeza Mtandaoni. Tia nguvu zako na usikate tamaa. Nashangaa kuona kila mtu anasema nunua ardhi😁 mshawai ona Elon Musk ana Heka 200 za mashamba. Mtu akisema ameingiza Milion 100 YouTube mnaleta mdomo ila Mkurugenzi wa Facebook akiwa Tajiri namba 2 duniani ni sawa.
Indonesia
12
11
155
13.5K
Son of God
Son of God@EliabuDanford·
Hata mniite Pro-Israel, no problem, Taifa linatengenezwa, linatengeza silaha kubwa kubwa, unakuta lina mtaala mashuleni jinsi ya kuchukia na kuua Wayahudi[wote]. Zingine zina katiba inasema lengo ni kuuwa Wayahudi wote. Then baada ya hapo speech kwa speech hatutaki Dunia yenye wakristo mnasema nisiseme naonekana mdini?? No, I don't want to please anybody na simuogopi mtu yeyote, eti kila kitu kiwekwe kwenye siasa mbona wao hawaweki kwenye siasa tu kila siku. Wakifa ni martyrdom, yaani wamemfia mungu wao[wanapigana kwa ajili ya mungu wao]. Wakipiga in our god we shall prevail then mnasema ni siasa?? Nope.
Filipino
46
11
110
10.9K
Christian Bwaya
Christian Bwaya@bwaya·
@k_mjege Ushahidi mwingine wa namna dini inavyotumika kudhibiti maoni ya waumini. Mtu anashangilia tu kwa vile wasio na ‘nasaba’ na dini yake wanauawa.
Filipino
0
0
0
53
Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿
Yaani huu mgogoro wa Iran na Israel ukichunguza kuna kambi kuu mbili kama uhasimu wa Simba na Yanga. Yaani watu wanachukua upande bila kujali haki imeegemea upande gani—wanakuwa fans 😁
Indonesia
7
6
68
4.6K
Christian Bwaya
Christian Bwaya@bwaya·
Unaanza kuwa binadamu hatari unapoanza kufurahia matatizo ya mtu mwingine kwa vile matatizo yake hayakugusi. Unakuwa binadamu mnyama unapoweza kushangilia kifo cha binadamu mwenzako kwa vile tu hakuamini unachoamini, alikukosea, alikuumiza au basi unaamini hakuwa na maadili. Hakuna kinachotosha kuhalalisha kitendo cha kufurahia mabaya yanayompata binadamu mwenzio labda uwe mgonjwa wa afya ya akili. Huwezi kusema unapinga watu kutesa wenzao halafu dakika mbili baadae na wewe mwenyewe unafurahia mwenzio akiteseka. Ukitazama tabia zetu kwa watu wasioamini tunayoyaamini, watu wenye mitazamo tofauti na yetu, unapata hisia m huenda wengi wetu ni waovu ‘wazuri’ ni vile tu hatuna nyenzo za kuwatesa wenzetu na hata ikibidi kuwatoa uhai.
Indonesia
5
12
29
1.1K
Christian Bwaya
Christian Bwaya@bwaya·
@Udadisi Kuchakata ni sehemu ya kuwaza. Unachakata kukuza wazo lizae wazo bora zaidi. Unachaka kuzalisha fikra. Nadhani ndio kile @MabalaMakengeza huita fikra tunduizi.
Indonesia
1
0
0
24
UDADISI
UDADISI@Udadisi·
@bwaya Hahaa ukichakata unapata nini - mchakato? Ukichakata mambo unapata nini - mambo yaliyochakatwa?
हिन्दी
1
0
0
28
Christian Bwaya retweetledi
UDADISI
UDADISI@Udadisi·
#ZAO: Ukiwaza unapata wazo. Ukiota unapata ndoto. Ukifikira unapata fikra. Ukitafakari unapata tafakuri. Ukivumbua unapata uvumbuzi. Ukibuni unapata(kazi ya)ubunifu. Ukiumba unapata umbo. Uki-“imagine” unapata ‘image/imagination’*. *Kwa #Kiswahili,#imagination ni nini?
2
5
6
377
Christian Bwaya
Christian Bwaya@bwaya·
@EliabuDanford Kwa nini unasikia ufahari kuona waarabu wanauawa? Nini kinakufanya uone viongozi wa Irani kuuawa ni sawa?
Indonesia
0
0
1
149
Son of God
Son of God@EliabuDanford·
Naomba kuuliza, kwanini unaunga mkono Wayahudi wote wauawe?? Wamefanya nini ambacho wanastahili kuuliwa wote??
हिन्दी
29
3
70
5.7K
Christian Bwaya retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
@bwaya @k_mjege Umesema kitu sahihi sana, hakuna mtu anahitabu kusimamiwa kwenye kitu ambacho tija yake inagusa maisha yake na wapendwa wake
Indonesia
0
2
1
255
Christian Bwaya
Christian Bwaya@bwaya·
@MarekaMalili @k_mjege Mimi naamini watu wengi wako vizuri (na ndio maana kazi zao wanazipambania) sema hatujaweza kuwapa sababu ya kutufanyia tunachotaka watufanyie.
Christian Bwaya tweet media
Indonesia
1
0
0
30
Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿
Yaani “Mswahili” ukimpa Mradi ausimamie; inabidi tena utumie nguvu kubwa kumsimamia. Halafu Wakenya wakichukua baadhi ya kazi zetu tunalialia mambo ya uzalendo 😁😁
Indonesia
4
6
72
3.7K
Christian Bwaya retweetledi
Jumanne Mtambalike
Jumanne Mtambalike@Afruturist·
I was reading "Intellectuals at the Hill" by Prof. Issa G. Shivji aisee hatari. You can read this book all day. Three interesting facts; 1. UDSM Campus, popularly and fondly called "the Hill" was at the core of intellectual debates and pure knowledge. 2. Overtime people's ideologies and perspectives about things change but the foundation of who they are don't. 3. Vijana tuna mengi ya kujifunza kwa wazee wetu. They have seen it all. They deeply understood the difference between professional feedback, radical criticism and intellectual insult...
Jumanne Mtambalike tweet mediaJumanne Mtambalike tweet mediaJumanne Mtambalike tweet media
English
5
8
32
2.6K
NYANI MZEE
NYANI MZEE@jwise017·
@bwaya Unataka bebez zije diemu? Maana wanaweza kudhani ni kweli 😂
हिन्दी
1
0
0
16
NYANI MZEE
NYANI MZEE@jwise017·
“Naahidi kuwa makini mpaka siku nafukiwa chini, Na Mungu aliye hai bado yu pamoja na mimi” #MatomboStyle ⭐️ #EidMubarak 21032026
NYANI MZEE tweet media
Filipino
8
15
38
1.9K