DEAÑ🇰🇪 retweetledi

Daaah,, Jirani hivi unaona kama kuna matumaini kweli. Mpira mfumo wake inahitaji kingereza ili kupata mafanikio. Nilimsikia bwana Samatta akimwambia Manula "Niwekee msalaba, niko bure humu mbele,, panuwa mchezo" nikashanga kwani Jirani ameenda kucheza mpira au kueneza ushoga!!
Samia Suluhu@SuluhuSamia
Mchezo mzuri usiku wa leo vijana wetu Taifa Stars japo bahati haikuwa upande wetu. Tunaendelea kuwatakia kila la kheri na Taifa liko nyuma yenu katika mechi zenu zinazofuata.
Indonesia



























