Edwin Odemba

1.5K posts

Edwin Odemba banner
Edwin Odemba

Edwin Odemba

@chiefodemba

MTANGAZAJI WA TAIFA. Host MEDANI ZA SIASA, Udsm Alumnus, LUO ICON, CEO. CHIEF ODEMBA ENTERPRISES LTD.

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Eylül 2017
281 Takip Edilen45.5K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Edwin Odemba
Edwin Odemba@chiefodemba·
HAPPY BIRTHDAY TO ME, 14 OCTOBER. 🙏. @chiefodemba
Edwin Odemba tweet media
English
559
635
5.8K
230.2K
Edwin Odemba
Edwin Odemba@chiefodemba·
Faris Buruhani akizoom VAR yake, kuhusu kauli yake ya “Tukiwapoteza Polisi Msiwatafute”
Indonesia
101
295
1.2K
103.2K
Edwin Odemba
Edwin Odemba@chiefodemba·
@Sativa255 Kaka ilikuwa sehemu ya mahojiano yangu na bashiru, sasa imeshapita, but mahojiano hayo yote yako youtube.
Filipino
25
11
202
31.1K
𝗣𝗶𝗹𝗹𝗮𝘁𝗼
@chiefodemba @Sativa255 @gabyconscious Una hekima mno kaka Odemba, tupandishie hiyo clip sisi ndio tumekuweka hapo ulipo na kukufanya ujulikane. Ni sisi ndio tunaokusikiliza na kukuongelea mitaani nasio hao watawala. Tupandishie hiyo clip haraka kaka tuna matumizi nayo.
Filipino
2
0
36
6.8K
Edwin Odemba
Edwin Odemba@chiefodemba·
@gabyconscious Ndio kaka nimeifuta, ilikuwa na errow naipandisha tena, pole sana kaka.
Filipino
4
0
16
4.1K
Edwin Odemba
Edwin Odemba@chiefodemba·
Kwa nini wimbo wa amani unaimbwa kwa sauti kubwa kuliko wimbo wa haki..? Na je bila haki amani itadumu …?
Filipino
109
152
822
39.9K
Edwin Odemba
Edwin Odemba@chiefodemba·
Naungana na watanzania wote wenye upendo wa dhati na nchi yao, kutoa pole kwa familia, ndugu, na marafiki wa wote waliopoteza maisha au kujeruhiwa katika maandamano yaliyofanyika siku ya uchaguzi October 29. Ni huzuni kubwa kuona damu ya Watanzania ikimwagika katika kipindi ambacho tunapaswa kutumia sauti na busara kujenga demokrasia yetu. Maisha ya kila mtanzania ni yenye thamani, na kila tone la damu lililomwagika litukumbushe kuwa haki, amani, umoja na mazungumzo ya kijamii ni msingi wa taifa letu. Kwa heshima tunaomba mamlaka husika kuchukua hatua za haki na za kibinadamu kuhakikisha ukweli unajulikana, wahusika wanawajibishwa na haki inatendeka bila upendeleo. Kwa familia zilizoathirika, tuko nanyi katika maombi, huruma na matumaini. Mungu awafariji, na taifa letu lijifunze kuthamini uhai na utu zaidi ya tofauti zetu za kisiasa. Taifa lenye amani ni taifa linalokubali ukweli, hata pale ukweli huo unauma. MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE.
Edwin Odemba tweet media
Indonesia
37
303
1.5K
32.3K
Edwin Odemba
Edwin Odemba@chiefodemba·
BABA umevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo umeumaliza, Imani umeilinda Lala Salama JAKOM. AGWAMBO leo umelala katika makazi yako ya milele, hatuta kuona tena katika Dunia hii, Nenda salama Shujaa, umenitendea mema mengi, vizuri havidumu, FAREWELL TINGA, OSIEPA😭😭
Edwin Odemba tweet mediaEdwin Odemba tweet mediaEdwin Odemba tweet mediaEdwin Odemba tweet media
Indonesia
11
82
714
17.1K
Edwin Odemba
Edwin Odemba@chiefodemba·
“Chadema wawe makini sana na Polepole, alikuwa wapi wakati mikutano ya hadhara ilipozuiliwa.? Mbona hakusema chochote.?” evance Kamenge
Indonesia
50
19
168
9.8K
Edwin Odemba
Edwin Odemba@chiefodemba·
"CCM haimiliki vyama vya Upinzani, Polepole aache upuuzi na asiendelee kuleta upuuzi, asikichafue Chama Cha Mapinduzi" Fadhili Maganya - M/KITI WA WAZAZI, CCM TAIFA.
Indonesia
17
9
150
10K
Edwin Odemba
Edwin Odemba@chiefodemba·
“Chadema hatujutii kumbadilisha Jenerali Mbowe, Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, chama Kinasonga mbele, maamuzi ya wengi uheshimiwe” Adv. Matata - MJUMBE WA KAMATI KUU CHADEMA.
Indonesia
9
107
606
12.6K
Edwin Odemba
Edwin Odemba@chiefodemba·
“Mimi Siamini katika Ukomo wa Uongozi kwenye nafasi yoyote ile, hata iwe kwenye nafasi ya Urais” BENSON KIGAILA #tbt
Indonesia
32
29
230
10.1K
Edwin Odemba
Edwin Odemba@chiefodemba·
“Hakuna anayeweza kukiua Chadema, hakuna chama cha upinzani zaidi ya Chadema ununu usinune, upende usipende, vingine vyote ni Vyama vya kwenye Flash” YERICKO NYERERE - ENZI ZAKE AKIWA CHADEMA
Indonesia
100
173
801
40.2K
Edwin Odemba
Edwin Odemba@chiefodemba·
BURIANI JOB NDUGAI Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia leo August 06,2025 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu Hospitalini baada ya kuugua ghafla.
Edwin Odemba tweet media
Filipino
27
19
298
11.1K
Edwin Odemba
Edwin Odemba@chiefodemba·
Kesheni mkiomba , kwa maana hamjui siku wala saa.🙏🙏
Edwin Odemba tweet media
Indonesia
33
72
818
18.5K
Edwin Odemba
Edwin Odemba@chiefodemba·
Mkubwa tumengoja sana sasa, jitokeze bando linakata. 🙏🙏
Edwin Odemba tweet media
Filipino
64
105
1.4K
38.6K
Edwin Odemba
Edwin Odemba@chiefodemba·
MCHINJITA AKIZOOM VAR ……! “Wazo lolote la kutoshiriki Uchaguzi ni wazo ambalo halijafanyiwa utafiti, tunawashauri wenzetu wafanye utafiti, sisi tumefanya tafiti tumeona kuacha kushiriki uchaguzi ni hatari kuliko kushiriki” Mchinjita Makamu M/kiti ACT WAZALENDO.
Indonesia
44
52
374
15.6K