Lutulutu
21.1K posts


@JoyceHuru Sasa kama wahusika wa futari ni wachache wapike wamuuzie nani
हिन्दी

@wizz_kin7 @fintanjr_ Kuwa mzuri siyo shida kwa nini asibaguliwe doku, kylian, saka, olise, lamine, musiala wote weusi and Good on ball
Filipino

@fintanjr_ Tofauti ni kwamba He is too good kweny ball ,ile kuwakela inawafanya wamkunjie😂🙌
Filipino

@DullahTheking2 Ukiwa upinde kama akina tyler the creator, ukiwa democratics na unachukia slogan za Trump, ukiwa mzungu, ukiwa unafanya pop music, ukijifanya black people activist kama kdot, ukiwa chini ya rocnation, hizo sifa zinaongeza nafasi ya kushinda hizo tuzo. Uko na too much obsession
Filipino

Mimi kama marehemu ulikuwa mjinga mjinga lazima nikuseme kwa mabaya hata mimi siku nikifa kama nilikuwa msenge semeni tu marehemu alikuwa msenge.
sultan@chapanombombwi
Tumuombee apumzike kwa amani; marehemu hasemewi mabaya.
Indonesia

@mangekimambi Jizo linaumia wasanii kukosa soko ila watanzania waliokufa lilikaa kimya
Suomi

Watanzania achaneni na Majizzo na wapuuzi wengine. Kwa hali ya sasa sio Majizzo tu hata Kusaga wiki ijayo atawaombea msamaha wasanii. Kwa sababu hizi
1. Radio & Tv zinakufa pia sio wasanii pekee
2. Serikali batili inahitaji Watanzania mrudi kuwa busy na wasanii ili wao waendelee na unyonyaji na uuaji.
3. Wasanii ndio tegemezi la CCM katika kuhamasisha Jamii, so wananchi mkiwapuuzia na kuwapotezea wasanii na serikali batili imepoteza nguvu juu ya wananchi.
4. Wanataka nchi irudi kwenye hali ya zamani, yani wananchi mko busy na wasanii na sio seriajli.
Indonesia

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ametoa wito kwa Wavuvi katika Kata ya Kivukoni Jijini Dar es salaam, kuendelea kulinda amani ya Nchi na kutokubali kushawishiwa kuvuruga hali hiyo ya utulivu iliyopo Nchini.
Akizungumza na Wavuvi hao leo wakati akiendelea na kampeni za kumuombea kura Mgombea Urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Makonda amesema wavuvi wana nafasi kubwa katika kuendeleza na kudumisha amani.
#MillardAyoUPDATES

Filipino
























