Tony

18.4K posts

Tony banner
Tony

Tony

@clitonmichael

Hustler

Katılım Aralık 2022
263 Takip Edilen1.1K Takipçiler
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Naona Ardhi kwa sasa imechagua kumeza vijana 🙌🏼
31
47
530
18.8K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Story za Mpira Upo Story za Madem Upo Story za Serikali Upo Story za Vita Upo Story za Maadili Upo Story za Katiba Mpya Upo Story za Uchumi Upo Story za Afya Upo Story za Elimu Upo Story za Dini Story za Hovyo Upo. Wewe ni nani..?
Slovenščina
161
103
514
20.4K
MTANZANIA 🇹🇿
MTANZANIA 🇹🇿@GilbertPaul095·
Nimeitwa Sehemu kuwafanyia INTERVIEW wasomi wa BONGO, ENGLISH ni changamoto kwa WASOMI wetu. Mhitimu wa CHUO anashindwa hata kujieleza kwa Dk 1 tu🥹🥹🥹🥹🥹🥹
Indonesia
192
98
1.1K
63.4K
Tony
Tony@clitonmichael·
Mwombe sana Mungu, mali, madaraka, mamlaka na cheo visichukue nafasi ya utu wako.
Indonesia
0
2
2
52
Tony retweetledi
Christian Bwaya
Christian Bwaya@bwaya·
Ukielewa kuwa watu hawawajibiki kwako kama ulivyoamini muda mrefu utaheshimu haki ya mtu kutokupokea simu yako bila kukupa maelezo yoyote. Hutouliza, “Kwa nini hupokei simu yangu?” wala hutopiga simu 20 zisizopokelewa mfululizo.
Indonesia
0
33
91
3K
Tony retweetledi
Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊@McinikaWaLamar·
Vijana wengi wanapitia kipindi vigumu cha msongo wa mawazo na mahangaiko ya nafsi kwa siri, na chanzo si mapenzi. Bali Wanatamani tu kupata ushindi katika maisha waweze kujinasua katika mnyororo wa Umaskini. Mwenyezi MUNGU akufanyie wepesi na kuponya kila jeraha lililo ndani yako
Indonesia
12
42
221
2.7K
Tony retweetledi
Christian Bwaya
Christian Bwaya@bwaya·
Unapomtuhumu mtu kwa vitu usivyo na uhakika navyo, mara nyingi, unakuwa unafunua kile kinachoishi ndani yako ingawa unaogopa kukiri wazi wazi. Huhitaji ushahidi wa hisia zinazoanzia ndani yako.
Indonesia
0
17
44
986
Tony retweetledi
Tony
Tony@clitonmichael·
“It does not, therefore, depend on human desire or effort, but on God’s mercy.” Romans 9:16 NIV ~ “Kwa hiyo haitegemei kutaka kwa mwanadamu au jitihada, bali hutegemea huruma ya Mungu.” Warumi 9:16 NENO
Indonesia
0
1
0
21
Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿
Unadaiwa halafu anayekudai naye anadaiwa na mtu mwingine. Hapokei simu za anayemdai; na wewe Hupokei simu zake.
Filipino
1
4
45
1.9K
Tony retweetledi
Zoom Afrika
Zoom Afrika@zoomafrika1·
See talents 🙌🏿🥰
English
124
542
3.6K
239.7K
Tony retweetledi
BeLINDA
BeLINDA@belindaPINDA01·
Nidhamu ni kukumbuka ni nani ulisema unataka kuwa.
Indonesia
4
10
64
1.5K
Tony retweetledi
Zoom Afrika
Zoom Afrika@zoomafrika1·
Meet the Hakaona people of southern Angola, closely related to the Himba, with whom they share language and customs. 🥰
English
46
159
3.5K
934.4K
Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊@McinikaWaLamar·
Mfuko wa Cement umefika Tsh 18,000 kwa maisha haya tutajenga kweli? 🤔
Filipino
156
45
561
48.5K
Tony retweetledi
Dominicksalamba
Dominicksalamba@Dominicksalamb1·
Unapata bahati ya kucheza na Yanga isiyo na Mzize,Yao,Pacome huku Job ameumia lakini mwisho ushindi wako ni Sare, Huku ukiwa na vipigo 6 mfululizo,Hapa kwa kichina tunasema kazi ni ngumu kupata alama 3 kwa Yanga.
Dominicksalamba tweet media
Filipino
123
33
622
28.3K
Thomas J. Kibwana
Thomas J. Kibwana@thomasjkibwana·
Huyu mtu kama siku akiamua kuandika kitabu nitakua miongoni mwa watu wa kwanza kukinunua na kukisoma. As enigmatic a figure as we have ever had in Tanzania.
Thomas J. Kibwana tweet media
Indonesia
46
10
79
21.6K
Tony retweetledi
Christian Bwaya
Christian Bwaya@bwaya·
Pamoja utamu wake, mapenzi yana nguvu kubwa ya kukufanya umwamini sana mtu mwingine mwenye matarajio makubwa na wewe kiasi cha kutamani kukukaribia sana achungulie kujua kilichomo ndani yako. Shida inaanzia pale anapokukaribia akupende, mtu huyu ambaye na wewe unakuwa unamhitaji, anakuwa kama anatifua tifua pale pale yalikojificha ‘mashetani’ —makovu ya malezi mabaya—ambayo hata wazazi wako na watu wengine wasiokukaribia sana hawakuwahi kupagusa. Si wengi wetu tunaweza kuvumilia aibu hii ya kuujua upande wetu wa pili tusioupenda na pengine tunakwepa kuufahamu. Ukipata bahati ya kumpata mpenzi anayejua kutifua tifua makovu kwa staha, akakusaidia kuubaini upande wako mwingine ambao hakuna mtu mwingine anaujua, ukameza kiburi chako, ukatulia usitoroke wakati ‘mashetani’ yanatibuliwa, mapenzi yanaweza kuwa nyenzo ya uhakika zaidi kukusaidia kujitambua vizuri zaidi na kujifunza mengi usiyoyajua kuhusu wewe.
Indonesia
0
12
37
1.9K
Tony
Tony@clitonmichael·
@YoungAfricansSC Kocha ni takataka! Huyu kocha ni mbovu tactically... Tazama subs zake! Utadhani ni Kobis ndiye anamshauri. Very sad... Kutoka droo ni bahati tu ila tulikuwa tumezidiwa maeneo mengi sana. Tumshukru Refa vinginevyo stories zingekuwa tofauti.
Indonesia
0
0
11
489
SportsArenaTz
SportsArenaTz@SportsarenatzTz·
🚨 Sajili 5 za moto kutoka kwa Eng. Hersi Said: 🇲🇱 Djigui Diarra 🇨🇩 Fiston Mayele 🇺🇬 Khalid Aucho 🇨🇮 Aziz Ki 🇹🇿 Dickson Job Kwa maoni yako, sajili bora zaidi ni ipi? 👀
SportsArenaTz tweet media
Indonesia
57
26
626
20.2K