eastzoo

256 posts

eastzoo banner
eastzoo

eastzoo

@colmeeli

Katılım Ekim 2025
577 Takip Edilen69 Takipçiler
eastzoo retweetledi
Basketball Africa League
Back-to-back wins ✅✅ Dar City 🇹🇿 edge Nairobi City Thunder 🇰🇪 and stay undefeated.
Basketball Africa League tweet media
English
38
237
1.1K
23.2K
Basketball Africa League
History starts now. 💥🔥 Dar City 🇹🇿 bring Tanzania to the BAL stage for the first time.
Basketball Africa League tweet media
English
8
97
651
14.4K
eastzoo
eastzoo@colmeeli·
@ManlikeSymo @KenyanSays Fid Q once said that “Police wana-support gangster rap ili wahalifu waongezeke. Wabana pua kuimba mapenzi-je, itafanya UKIMWI usepe? Media zinapromote beef wakidai zinakuza mziki. Wadau wana wasanii wabovu; nyie wakali mtatoka vipi?” Akamalizia kwa kusema, “Hizi ni propaganda.”
Indonesia
0
0
0
76
.
.@ManlikeSymo·
@KenyanSays Zero showbizz knowledge. He missed the opportunity to hype himself and spark a controversy. There's a reason most West African artists have better brands than these guys. You have to put yourself first irregardless of who it offends.
English
10
1
2
2.1K
The Kenyan Vigilante
The Kenyan Vigilante@KenyanSays·
" Hio ni mentality ya Umaskini"-Kenyan Pop Musician Bien decided to school Tanzanian Radio Presenters!
Indonesia
58
423
2.3K
114.6K
Shahidi Wa Siri (MBBS)
Shahidi Wa Siri (MBBS)@Shahidi_Wa_Siri·
@giboretz Huyoamevaa mkanda mweusi anaonekana mapepe sana ...tuna mpa sku chache kuwa primigravida
Indonesia
1
0
0
223
eastzoo retweetledi
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
@Massawe_44 Mara ya mwisho kutongoza sikumbuki Kumbe ndio kupo hivi 😂🤣😆
Filipino
5
1
24
2.5K
PASTA JOSHUA
PASTA JOSHUA@pastajoshuatz·
Kwanza kabisa, hakuna Mkristo mwenye akili anayesema Yesu alikuwa Mzungu. Hilo ni suala la sanaa za Ulaya, sio mafundisho ya Biblia. Yesu alikuwa Myahudi wa Mashariki ya Kati — hilo halipingwi. Lakini sasa kwenye hoja zako 👇 1. Kusujudu Ndiyo, Yesu Kristo alisujudu. Lakini kusujudu haimaanishi Uislam. Manabii wengi walifanya hivyo hata kabla ya Uislam kuwepo — akiwemo Ibrahim. So hiyo si “Islamic signature”, ni ibada ya kawaida ya unyenyekevu. 2. Kunawa / Usafi Kunawa si wudhu ya Kiislam tu. Hiyo ilikuwa sehemu ya Sheria ya Kiyahudi (Torah) ambayo Yesu aliishi ndani yake. 3. Sinagogi vs Kanisa Umesema hakwenda kanisani — sawa. Lakini unasahau kitu kikubwa: Kanisa lilianza BAADA ya Yesu. Na msingi wake uliwekwa na wanafunzi wake kama Petro Mtume baada ya tukio la Pentekoste. So unataka afanye kitu ambacho hakikuwa bado kimeanzishwa? Haina mantiki. 4. Unyenyekevu katika ibada Hapa hakuna ubishi — lakini hilo halifanyi Ukristo uwe Uislam. Yesu alikemea unafiki, sio aina ya ibada yenyewe. 5. “Hakukuwa na nyimbo” Hii si sahihi. Yesu na wanafunzi wake waliimba nyimbo (Mathayo 26:30). 6. Mungu ni mmoja Hapa ndio watu wengi wanachanganya. Ndiyo, Mungu ni mmoja — lakini Ukristo unaelewa huo umoja tofauti (Utatu). Na Yesu mwenyewe alijitofautisha na manabii wa kawaida kwa mambo kama: •Kusamehe dhambi (Marko 2:5-7) •Kujita “Mimi ni” (Yohana 8:58) — kauli inayohusishwa na Mungu Hapa ndipo Ukristo unatofautiana na Uislam, si kwenye kusujudu au kunawa. Unajaribu kumfanya Yesu aonekane kama Muislam kwa kuchukua matendo ya kawaida ya manabii na kuyaita ya Kiislam, huku ukipuuza mafundisho yake ya msingi kabisa.
mhd@mhdhamad

Wakristo pia acheni kusema Yesu alikuwa mzungu au kushikilia picha za kizungu kama uhalisia wake Biblia haijaeleza hivyo. Yesu alikuwa Myahudi wa Mashariki ya Kati, si Mzungu. Na kuhusu mjadala wa ibada na mwenendo wake: Alisujudu alipokuwa akiomba “Akaanguka kifudifudi, akaomba…’ (Mathayo 26:39) Alizingatia usafi kabla ya ibada (mfano wa kunawa) ‘Yeye aliyeoshwa hana budi kunawa miguu…’ (Yohana 13:8–10) Hakuingia “kanisani” kama tunavyojua leo, bali alihubiri kwenye masinagogi ‘Akaingia katika sinagogi siku ya Sabato…’ (Luka 4:16) Alisisitiza ibada ya unyenyekevu na si makelele au maonesho ‘Mnapoomba, msiwe kama wanafiki…’ (Mathayo 6:5-6) Alikataza kupayuka-paya katika ibada ‘Mnapoomba msipayuke-paya kama watu wa mataifa…’ (Mathayo 6:7) Hakukuwa na mfumo wa nyimbo za ibada kama wa leo alifundisha zaidi maombi ya unyenyekevu na mafundisho ‘Basi ninyi salini hivi…’ (Mathayo 6:9) Alifundisha Mungu ni mmoja ‘Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja’ (Marko 12:29)

Filipino
59
68
185
17.9K
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Je, ni sahihi kumlaumu mbunge pekee kwa jimbo au eneo kukosa maendeleo badala ya serikali? Na kama ni hivyo, je majimbo yanayoongozwa na wafanyabiashara au viongozi wa kitaifa wenye ukwasi na ushawishi mkubwa ndani ya serikali yana maendeleo zaidi?🤔
Indonesia
27
1
18
3.3K
HAPPNES MLAY
HAPPNES MLAY@Happinesmlay·
Kuna vitu vya kipumbavu vinafanywa/kuzungumzwa na wanawake jamii haiwezi kuviona kuwa ni vya kipumbavu until vifanywe na mwanaume
Suomi
6
7
34
1.5K
PeeTAH
PeeTAH@Pierre88751351·
@pastajoshuatz Pia ungemuuliza hivi, Waganga wa kienyeji/wafanya shirki, Husujudu,huvaa kanzu,huvua viatu wanapofanya tambiko,huchinja makafara,nk mbona hamuambatanishi kama ushirikina ni uislamu?
Indonesia
6
0
14
851
Viral2Me
Viral2Me@Viral2Me·
@The__Vyrus Bro, if it's really just for yourself and not to attract women… why post it publicly where women can see it? Most guys who do it purely for themselves don’t announce it online. Keep it honest.... 🙃🙂
English
8
1
7
14.6K
Mighty Mohammed
Mighty Mohammed@The__Vyrus·
Why do women think everything is about them? Having a penis enlargement to feel good about myself not to attract women 💅😌
English
558
5.9K
37.2K
1M
Amina Fakihi
Amina Fakihi@minnahfakihi·
@FamWorld2025 hiii ni trend wameanzisha wanaija vitu wanawake hua tunaongea maada ziko tofauti tofauti zinachekesha na kuhuzunisha
हिन्दी
1
0
0
481
eastzoo retweetledi
Shola 👑
Shola 👑@itsSh0la·
You’re not broke, you’re just dating the wrong woman. Know this Kings!
English
418
9.4K
44.3K
376.5K
Malcolm 🏆
Malcolm 🏆@mlinganya·
Laiti mngejua Jews wanavyouchukia ukristo na wakristo wenyewe hata msingejishabihisha nao
Indonesia
62
23
163
12.1K
MARTIN MARTIAL
MARTIN MARTIAL@iammartial97·
@mlinganya Wale watu wabaya sana,hitler angewamaliza tu..ukristo sio dini ya mungu.
Indonesia
2
0
1
123
eastzoo
eastzoo@colmeeli·
@kishoka_ Wanalazimisha tuwachukie wanaotuchukia na amri kuu ni mapendo kwetu na ndivyo tulivyoamrishwa.
हिन्दी
1
0
4
178