Mahmoud Said

17.7K posts

Mahmoud Said

Mahmoud Said

@Mahmoudms01

El Economist

Katılım Ekim 2014
666 Takip Edilen543 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Mahmoud Said
Mahmoud Said@Mahmoudms01·
Msimu wa Vacay umefika, wale wa safari l, wazee wa highway & pori pori hakikisha usalama wa tairi za gari yako. Stratech Ltd tunauza matairi ya magari yote. Brands: Aplus, Wideway, Onyx, Hawkway na Windforce. Loc: Kariakoo ;Nyamwezi & Msimbazi St. Call/Whats: 0787710719
Mahmoud Said tweet mediaMahmoud Said tweet mediaMahmoud Said tweet mediaMahmoud Said tweet media
Indonesia
1
11
26
3.3K
hamza Lule
hamza Lule@hamzaalbhanj·
"Hakikisha unakunywa Kahawa" ☕️📍Nanjirinji CBD
hamza Lule tweet media
Filipino
7
7
66
2.2K
mhd
mhd@mhdhamad·
@TheChanzo Public beaches and gardens sio za kuwapa wawekezaji sema wenetu kina @Thommunkondya hawashibi miaka ya 2000 walitaka kuuza shule ya Oysterbay kwa Buzwagi kama sikosei wananchi tukaja juu usikute wanailia timing ile shule pia 😂
Indonesia
3
2
8
1.4K
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Hofu yatanda kwa wafanyabiashara wa Coco Beach: Wadai kupewa mwezi mmoja kuondoka kumpisha mwekezaji Wakizungumza na The Chanzo leo, wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo kwenye fukwe za Coco wamesema baadhi ya viongozi na watendaji wa Halmashauri ya Kinondoni waliwaita na kuwapa taarifa ya kutakiwa kuondoka ndani ya siku 30 kupisha uwekezaji. Katika malalamiko ya wafanyabiashara hao, wameeleza pia kusikitishwa na kauli za watendaji hao kwa mfanyabiashara wa kike, kauli zenye viashiria ya kutaka rushwa ya ngono. Kufuatia malalamiko haya ya wafanyabiashara wadogo, The Chanzo inaendelea na jitihada za kuwapata halmashauri ya Manispaa ya kinondoni kutoa ufafanuzi juu ya madai ya wafanyabiashara hawa.
Indonesia
44
53
210
27.7K
Mahmoud Said
Mahmoud Said@Mahmoudms01·
@EsirEid Tajiriiiiii fleet yako ya magari, ina tyres zenye ubora kipindi hichi cha mvua??. Karibu STRATECH LTD tukupe uhakika kuanzia tyre za gari ndogo mpka kubwa. Pinned post in full contacts karibu.
Filipino
0
0
0
15
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Kabla ya Salat jumuah…. Nimekua na kikao na Rafiki Yangu, Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius John Ndejembi- Ofisin Kwake… a Very Smart Person,Big Brain🤝. Kuhusu swala la Mafuta - Amesema Wamejipanga vizuri,Raia tusiwe na wasiwasi kabisaa🙌🏽
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 tweet media
Indonesia
107
72
579
27.5K
H I M🐼
H I M🐼@HeIsMtamaduni·
@JackRthythm Director: Mussa Banzi Starring:Mussa Banzi Editor: Mussa Banzi Music: Mussa Banzi
Italiano
22
5
86
14.3K
HaCunha Matata
HaCunha Matata@mis_minky·
Air Tanzania imeanza kwenda Seychelles and its visa free… tuipumzishe Dubai na South Africa Sasa.
Suomi
19
55
553
25.7K
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Je, ni sahihi kumlaumu mbunge pekee kwa jimbo au eneo kukosa maendeleo badala ya serikali? Na kama ni hivyo, je majimbo yanayoongozwa na wafanyabiashara au viongozi wa kitaifa wenye ukwasi na ushawishi mkubwa ndani ya serikali yana maendeleo zaidi?🤔
Indonesia
27
1
18
3.3K
LIQUIDATOR
LIQUIDATOR@liquidatorXz·
@anon_codex Hawa madem hakikisheni mnawaoa , msije tuachia shida mtaani sisi
Indonesia
4
0
9
1.3K
Whemïmor
Whemïmor@hy_wemmy·
Money is as important as love….no parent wants to give their daughter hands in marriage to a poor man. Don’t be deceived!
English
91
128
288
9.1K
Thomas J. Kibwana
Thomas J. Kibwana@thomasjkibwana·
Pumzika kwa amani, Mheshimiwa William Vangimembe Lukuvi — Mbunge wa Isimani na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Sera, Bunge, Uratibu na Watu Wenye Ulemavu). Mheshimiwa Lukuvi alihudumu kwa uadilifu na kujitolea kwa muda wa takriban miaka 30 tangu mwaka 1995, akiwa miongoni mwa wabunge waliodumu kwa muda mrefu zaidi katika historia ya Bunge la Tanzania. Rekodi yake inazidiwa na Marehemu Chrisant Majiyatanga Mzindakaya pekee, aliyelitumikia taifa kupitia Bunge kwa kipindi cha miaka 43.
Thomas J. Kibwana tweet media
Indonesia
34
21
102
10K
hamza Lule
hamza Lule@hamzaalbhanj·
Ile umeona nisikae kizembe control zinapotea Unasogea kwa Mzozo kutwanga one time Ndo siku siku hyo Azam Tv nao wanakuja maozezin Kuwaaminisha Kina Almas Kasongo kuwa Magunia sio dimba lako Itakuchukua Karne nzima🤣🤣🤣
Indonesia
2
0
12
682
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Tanzania (PDPC) imesema ni kosa kisheria kwa mtu au taasisi kutumia kamera za usalama (CCTV) pasipo kusajiliwa kisheria na tume hiyo. PDPC imefafanua kuwa watumiaji wanapaswa kuweka tangazo au taarifa kwamba eneo husika limefungwa kamera za CCTV ili watu wajue, na pia mmiliki kuepuka kushtakiwa kwa kuingilia faragha na kudhalilisha utu wa mtu.
Swahili Times tweet media
Indonesia
239
50
613
143.7K
hamza Lule
hamza Lule@hamzaalbhanj·
Yule Mwana pale Moro katisha sana Chaka kali sana lile Nahisi now anajilaumu kuanza na cabin Moja Kapokea Booking mpaka kachoka😃😃
Filipino
7
8
236
23.8K
Myunani
Myunani@MaxTz255_·
Wacha Nitoe Ushauri Wa Moja Kwa Moja Kwa Wizara Ya Ufugaji na Ile Wizara Ya Vijana , Ni kweli Tuna Import maziwa Mengi sana lakini sababu Kubwa Ni Kwamba Tuna Idadi Kubwa Ya Ng'ombe Takribani Ng'ombe Million 31 ambao Asilimia 99% ni Ng'ombe wa kienyeji (Ambao wanatoa Maziwa Kidogo sana ) Serikali Ingesaidia Kitu kimoja kwenye Hizi Budget ya Mabilioni Yaliyotengwa Kwaajili ya Vijana yangepelekwa Kufungua Miradi Mikubwa Kulisha na kununua Mifugo kwa Kutenga Maeneo yaliyopo Mikoa Ifuatayo ambayo Mimi nimeona Kwa Tafiti zangu Tabora , Shinyanga , Simiyu, Rukwa , Katavi, Morogoro, Lindi na Mtwara Haya Maeneo Nimezunguka Mengi yana Maji Ya Kutosha Lakini Ardhi yake Kubwa sio Hifadhi za Taifa , Fanyeni Kitu Kimoja Nendeni Mkanunue Ndama Million 6 Majike na Million 3 madume specie ya Jersey cattle na Brown Swiss cattle, Hawa wanazalisha zaidi ya Lita 17 za maziwa na Ni wavumilivu wa Hali Ya Hewa na Joto kwa Nchi kama yetu , Mtauliza Mtagawa Vipi? , ipo ivi mnaweza Kutumia Njia ipi kwanza nendeni Kwenye Hii Mikoa Niliyoitaja Apo Kagaweni Maeneo kwa Vijana Walio Tayari alafu Kila Eneo Wapewe Ma Afsa Mifugo kutoka Sua Pale kila Kijana Apewe Ng'ombe wawili wa Kike na Mmoja Wa Dume, Then Ndama 5 wa Mwanzo Ni mali ya Serikali Maziwa Ni Mali Ya Mfugaji ndani ya Miaka 4 , Baada Ya Miaka 4 tutakuwa na Ng'ombe zaidi ya Million 15+ ambao Tutawagawa Tena Kwa system hii , Hii, ajira zitakuwa Nyingi sana , Kutakuwa na Viwanda vya kusindika Maziwa , Viwanda Vya Kuchakata Vyakula , Viwanda Vya Mbolea inayotokana na Mifugo ,Achana na Hawa Chotara watakaozaliwa sasa,, @ViwandaBiashara @UvuviNa @ikulumawasliano
Myunani tweet media
Filipino
47
44
249
24.5K
Mahmoud Said
Mahmoud Said@Mahmoudms01·
@Makaveli_255 Kuna viwanja vya ndege kadhaa Shy town, Msalato nk. Sasa tusio na vitiki tunaishia hapo
Filipino
1
0
1
466
𝑴𝒂𝒌𝒂𝒗𝒆𝒍𝒊 
Kwasasa awamu ya sita ina mradi gani mkubwa inafanya? Maana kimya kimekua kikali, wazee wa vitiki uwanja ni wenu.
Indonesia
31
22
446
29.7K
CONGRATULATION!
CONGRATULATION!@Ponge_Bromine·
Dhahabu kuipata ni either Mungu aamue au umshirikishe janja man shety 🤣 Karibuni Msasa Gold Geita.
Indonesia
29
29
397
34.3K