Cp
18K posts

Cp retweetledi

A SMALL LOVE STORY
Libya ya Gaddafi ilikuwa imempatia mwananchi wa kawaida kila kitu, nyumba nzuri, maji safi, umeme wa uhakika, elimu top-notch, etc. Wananchi wa Libya, wakati huo, walikosa kitu kimoja tu: kumsema vibaya Gaddafi au kuyakosoa matendo yake mema.
On the outside, everything looked so dazzling (WOW, Oh my God, wonderful), kumbe inside watu hawana pa kupumulia. Ukipumua tu: fyu, fyu, fyu.
Adui wa Libya alipotokea, Walibya wakamwona ni rafiki. Wakasahau majumba, umeme, maji, na maroads mkeka. The rest you know: Hawajawahi ku-recover, hata leo; maskini.
Anyway, nadhani, waanzilishi wa mifumo ya kidemokrasia yenye kutoa uhuru mpana wa maoni, kuna kitu walikiwaza:
Moyo wa mwanadamu haukuumbwa kujiletea unyenyekevu. Moyo wa mwanadamu unapenda kusifiwa. Wakaona uwepo utaratibu unaoitwa demokrasia unaomlazimisha mwanadamu mwenye mamlaka, nguvu na fedha awe mnyenyekevu. Akubaliane, wakati mwingine, na mawazo ya wale anaotamani wasingezaliwa.
Demokrasia siyo utakatifu, ni njia tu inayolazimisha unyenyekevu, hata kama ni kwa kuvunga tu.
And we all deserve that: unyenyekevu kutoka kwa wale wenye nguvu kutuzidi.
Na - it reciprocates, mwenye nguvu akiwa mnyenyekevu, hata kama ni kwa kuvunga tu, huvuna subordinates wengi wanaomheshimu. Lakini ni lazima kuwe na kifaa (tool) kinachomlazimisha mwenye nguvu kuwa mnyenyekevu - demokrasia. Demokrasia ina ujinga wake, mwingi tu, wakati mwingine huruhusu hata vurugu, kama hiyo vurugu ita-achieve a greater good for the society.
Ni kama husband anayejua kupenda; unyenyekevu wa wife kwake huwa ni automatic. Hatumii nguvu hata.
END OF THE STORY.
Indonesia
Cp retweetledi

Wakipunguza anasa na misafara ya kijinga, labda trililioni 55 zinaweza kupatikana. Wakiondoa vyeo visivyo na maana e.g., ondoa RC, DC, Katibu Mkuu kila Wizara, badala yake wakurugenzi ndani ya Wizara husika waform Secretariat ya Wizara maybe. Overall, maviongozi ya nchi ombaomba yanaishi kwa anasa kuliko viongozi wa nchi zinazoleta misaada.
Indonesia
Cp retweetledi

Matukio Baada ya Uchaguzi 2025: Namna Majirani Nane Walivyouwawa Kinyerezi Dar es Salaam
Mpaka sasa kunguru na nzi wamezuka eneo ambapo majirani nane wa mtaa wa Kanga-Kariakoo, Kinyerezi, jijini hapa, walipouwawa. Kabla ya mvua kunyesha Novemba 4, 2025, harufu ya kifo ilikua ndiyo alama ya eneo hilo. Mvua iliweza kusafisha baadhi ya mabaki ya viungo vya binadamu yaliyokuwa yamebaki, ikiwemo damu nzito.
Tukio hili lilitokea usiku wa kuamkia Novemba 3, 2025, majira ya saa tisa. Majirani hao waliuwawa zamu kwa zamu kwa kupigwa risasi. Hii ni baada ya kuambiwa wajilaze nyuso zao zikiangalia ardhi, na kuamrishwa kusali sala ya mwisho.
Majirani hao ambao nyumba zao zimefuatana katika mstari mmoja, walikuwa ni afisa polisi mstaafu, walimu wawili, dereva, wauza duka wawili, afisa wa benki na mfanyabiashara ndogondogo.
“Hapa kulikua hakufai kabla ya hii mvua kunyesha, wao walikuja wakamwagia mchanga, lakini kulikua hakufai, mvua imesafisha safisha, kidogo,” moja ya majirani alitueleza hali baada ya mauaji hayo.
Tukio hili lilianza baada ya duka la jumla lililopo katika mtaa huo kusikika kuwa limevamiwa na vibaka. Polisi mstaafu aliwaongoza majirani wenzake kwenda kuimarisha ulinzi katika eneo hilo, ambapo pia aliamua kupiga simu na kuita polisi.
Polisi wenye silaha walivyofika kwenye eneo hilo waliwaamrisha wote kulala chini. Licha ya kujitetea, hoja zao hazikuweza kufua dafu. Waligawanywa makundi mawili, wakitenganishwa na barabara ambayo imegawanya makazi yao, upande wa kulia na kushoto, wengine wakawekwa karibu na duka hilo la jumla, na wengine wakawekwa upande wa pili, pembeni ya nguzo ya umeme.
Soma Zaidi>>>thechanzo.com/2025/11/09/mat…

Indonesia
Cp retweetledi
Cp retweetledi

Bati imara kutoka brand ALAF LIMITED
#Covermax still roofing sheets colour.
•Gauge 30 grade number one Tanzania
•Rangi: Charcoal grey/ kijivu 🎨
•Upana- 87cm
•Tzsh 513,000/= 16 pc's bundle
Press your order+255757751991 Whatsapp 🗨️

English
Cp retweetledi

Tanzania's first EVER gold at the #WorldAthleticsChamps! 🇹🇿
Alphonce Simbu edged out Amanal Petros of Germany in a photo finish, to secure the win. What a race!
#RoadToLA28

English
Cp retweetledi
Cp retweetledi
Cp retweetledi

Ingawa kwa kuchelewa, lakini angalau Gwajima amejitoa kwenye kundi la 'waovu'.
Yes, kukalia kimya uovu ni uovu.
Hapa Gwajma amewatia aibu Rais @SuluhuSamia na wateule wake ambao kwa sbb wanazojua, wamekalia kimya matukio ya utekaji na mauaji.
Indonesia
Cp retweetledi

Pope Leo XIV holds a special audience for ecumenical and interreligious delegations who took part in the Solemn Mass for the Inauguration of his Petrine Ministry.
In his address, the Holy Father highlighted Pope Francis’ emphasis on universal fraternity.
Pope Francis “promoted both the ecumenical path and inter-religious dialogue,” Pope Leo said, “above all by cultivating interpersonal relations, in such a way that, without taking anything away from ecclesial bonds, the human trait of encounter was always valued. May God help us to treasure his witness!”




English
Cp retweetledi

Team ya Kwanza Africa kuwa na Bus kama la Madrid ni @SimbaSCTanzania .
Simba huwa inaanza halafu wengine wanafuata nyayo.
Simba inakufungulieni Dunia, mnayo mengi ya kujifunza kutoka Simba SC 🦁
Ubaya Ubwela.

Tanzania 🇹🇿 Filipino
Cp retweetledi
Cp retweetledi

Kapatikana na namba zake hizo, kama unataka kutuma pls tuma tu bila kuwa na second thoughts. Asanteni🤝
𝑴𝒂𝒌𝒂𝒗𝒆𝒍𝒊 @Makaveli_255
Huyu jamaa tunampataje?
Filipino










