
Picha za CEO wa The African Princes Music Label, Nandy kwenye usiku wa #20YaKing.
Nandy ameshiriki kwenye safari ya miaka 20 ya Alikiba na wamefanikiwa kutengeneza nyimbo mbili kubwa katika kiwanda cha muziki wa Bongo Fleva.
#HapaNiNyumbani #HappyCrownMediaYear



HT



