Crown FM

36 posts

Crown FM banner
Crown FM

Crown FM

@crownfmtz

Katılım Temmuz 2022
30 Takip Edilen877 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Crown FM
Crown FM@crownfmtz·
ZXX
1
2
26
4.3K
Crown FM retweetledi
Crown Media
Crown Media@CrownMediaTZ·
“Ukichukua Mkopo bila kumshirikisha Mumeo, huo ni Ukatili wa Kijinsia” Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu LHRC @humanrightstz Fulgence Masawe
Indonesia
0
2
19
1.5K
Crown FM retweetledi
Crown Media
Crown Media@CrownMediaTZ·
Kundi la G-55 lililokuwa linaundwa na makada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) leo, Jumatano Mei 07, 2025 limetangaza kuhama ndani ya chama hicho, na kwamba kwa sasa watatafuta jukwaa muafaka la kisiasa ambalo watalitumia kufanya Siasa. Akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam, aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Tanzania Bara Benson Kigaila amesema waambata wa kundi hilo kwa sasa wataenda kukutana, kupitia na kujadiliana na vyama mbalimbali nje ya CHADEMA ili kuona jukwaa sahihi la kufanyia siasa, ingawa ameweka wazi kuwa hawana mpango wa kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) “Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, na baada ya kushauri sana na kuona ushauri wetu unapuuzwa na badala yake tumekuwa tukibezwa na kutukanwa, baada ya kuona hawa jamaa (viongozi wa sasa wa CHADEMA) hawana nia njema na chama na kwamba watakiua hiki chama, tumeona hiki chama (CHADEMA) kisife mbele yetu tukasingiziwa kuwa na sisi tulikuwa sehemu ya mipango ya kukiuwa hiki chama, na mimi nawashauri wanachama wa CHADEMA wanaebaguliwa, wanaeumizwa na mambo yanayoendelea tusiwe sehemu yao na tusiwape sababu kwamba hiki chama kimekufa kwa sababu hawa watu wapo” -Kigaila #HapaNiNyumbani #CrownDigital
Crown Media tweet media
Indonesia
0
1
37
1.7K
Crown FM retweetledi
Crown Media
Crown Media@CrownMediaTZ·
"Mheshimiwa Naibu Spika ili kutekeleza majukumu ya Wizara katika 2025/26 naomba bunge lako tukufu liridhie na kuidhinisha bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka 2025/26 yenye jumla ya Tsh. 519,660,073,000 kati ya fedha hizo mishahara ni Tsh 33,403,813,000 matumizi mengineyo ni Tsh 28,065,472,000 matumizi ya maendele ni Tsh 458,190,778,000." Waziri Prof. Palamagamba Kabudi akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo Bungeni jijini Dodoma, leo Mei 07, 2025. #HapaNiNyumbani #CrownDigital #BungeLaBajeti2025
Crown Media tweet media
Indonesia
0
1
56
2.1K
Crown FM retweetledi
Crown Media
Crown Media@CrownMediaTZ·
“Jitihada za kuimarisha usimamizi wa rasilimali zetu zimewezesha kuongezeka kwa kasi ya ukuaji wa shughuli za uchimbaji madini kutoka asilimia 10.8 mwaka 2022 hadi asilimia 11.3 mwaka 2023. Aidha, ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali uliongezeka kutoka shilingi 623,237,296,973.40 mwaka 2021/2022, shilingi 678,042,598,813.92 mwaka 2022/2023 hadi shilingi 753,175,680,203.96 mwaka 2023/2024. Mafanikio haya ni matokeo ya mikakati madhubuti ya Serikali ikiwemo kuimarisha usimamizi wa shughuli za Sekta ya Madini, kudhibiti utoroshwaji wa madini” @AnthonyMavunde Waziri wa MADINI akiwasilisha Makadirio ya Bajeti ya Wizara 2025/2026.
Crown Media tweet media
Indonesia
0
3
26
1.3K
Crown FM retweetledi
Crown Media
Crown Media@CrownMediaTZ·
“Katika kipindi cha awamu ya sita sekta ya Madini imekuwa na mageuzi makubwa na kuchangia kiasi kikubwa katika pato la taifa ambapo limekuwa kutoka asilimia 7.3 mwaka 2021 hadi asilimia 10.1 mwaka 2024” @AnthonyMavunde Waziri wa MADINI akiwasilisha Makadirio ya Bajeti ya Wizara ya @MadiniTanzania 2025/2026.
Indonesia
0
1
4
670
Crown FM retweetledi
Crown Media
Crown Media@CrownMediaTZ·
Wizara ya Madini imeliomba Bunge kuridhia na kupitisha makadirio ya bajeti ya Shilingi Bilioni 224,984,150,000.00 kwa ajili ya matumizi ya Wizara na Taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026; Kwa mchanganuo ufuatao huku shilingi bilioni 124,604,788,000.00 sawa na asilimia 55.38 ya bajeti yote ni kwa ajili ya miradi ya maendeleo na shilingi bilioni 100,379,362,000.00 sawa na asilimia 44.62 ya bajeti yote ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 24,268,585,000.00 ni kwa ajili ya mishahara ya watumishi (PE) na shilingi bilioni 76,110,777,000.00 kwa ajili ya matumizi mengineyo (OC) ya Wizara na Taasisi zilizo chini yake.
Crown Media tweet media
Indonesia
0
1
17
1.2K
Crown FM retweetledi
Crown Media
Crown Media@CrownMediaTZ·
“Hakuna inayomtambua Mgombea Binafsi”- Wakili Lwijiso Ndelwa akifafanua kuhusu Kanuni na Sheria za Uchaguzi Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 Katika Mdahalo wa #CafeTalk na Waandishi wa Habari. #HapaNiNyumbani #CrownDigital
Indonesia
0
3
81
2.9K
Crown FM retweetledi
Crown Media
Crown Media@CrownMediaTZ·
Timu ya Crown Media ikiongozwa na Naibu Mkurugenzi Mkuu @Salym wakiwa Bungeni leo wakifuatilia kwa makini kipindi cha Maswali na Majibu. @semgongolwa @Anoth_paul
Crown Media tweet mediaCrown Media tweet mediaCrown Media tweet media
Indonesia
2
6
198
5K
Crown FM retweetledi
Crown Media
Crown Media@CrownMediaTZ·
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo @ACTwazalendo Ndugu Dorothy Semu amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo leo tarehe 22 Aprili 2025. Ndugu Dorothy amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uchaguzi wa Chama cha ACT-Wazalendo Ndugu Shaweji Mketo katika Ofisi za Makao Makuu ya ACT Wazalendo zilizopo Dar es salaam. Akizungumza baada ya kukabidhiwa fomu hiyo Ndugu Dorothy Semu amesema kuwa; "Nimechukua fomu hii kama ishara ya utayari wangu wa kumkabili Rais Samia Suluhu Hassan na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa sababu wameshindwa kuendesha nchi na kuwakomboa Watanzania kiuchumi, kisiasa na kijamii" "Nimechukua fomu kama ishara ya utayari wangu wa kuongoza mapambano ya kulinda thamani ya kura na misingi ya demokrasia nchini"
Crown Media tweet mediaCrown Media tweet mediaCrown Media tweet mediaCrown Media tweet media
Indonesia
5
23
65
2.9K
Crown FM retweetledi
Crown Media
Crown Media@CrownMediaTZ·
HUJAMBO? Malkia @Imaniluvanga anakupitisha katika machache kati ya yale mengi yatakayosikika leo mubashara ndani ya #Kasri la @Salym Sikiliza KASRI kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 12:00 Jioni hadi saa 3:00 Usiku, unaweza kutufuatilia kupitia 92.1 Mhz, Radio Box & Tune In CROWN FM, Youtube CROWN MEDIA na kwenye kisimbuzi cha Azam ni chaneli namba 67.
Indonesia
1
3
27
997
Crown FM retweetledi
Crown Media
Crown Media@CrownMediaTZ·
Akijibu hoja ya wabunge kuhusu serikali kufanya tathimini ya kubaini ubora na ukubwa wa tatizo la upungufu wa matundu ya vyoo katika shule zote za msingi na sekondari, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema Serikali inatambua umuhimu wa kulinda afya za walimu na wanafunzi, hivyo itaendelea kukabiliana na changamoto hiyo kwa lengo la kulinda utu na afya za wanafunzi. Amesema Sensa ya Elimumusingi ya mwaka 2024 inaonesha mahitaji ya matundu ya vyoo katika shule za msingi ni 429,599 wakati yaliyopo ni matundu 240,320, hivyo kuwa na upungufu kuwa ni matundu 189,279, hivyo kufanya wastani wa uwiano kwa wavulana ni 1:47 badala ya 1:25 unaohitajika na kwa wasichana kuwa ni 1:43 badala ya 1:20. Kwa upande wa sekondari, mahitaji ni matundu 135,870 wakati yaliyopo ni matundu 84,608 na upungufu ni matundu 51,262, hivyo kufanya wastani wa uwiano uliopo kwa wavulana ni 1:36 badala ya 1:25 na wasichana ni 1:35 badala ya 1:20. Aidha, Mchengerwa amesema mkakati wa Serikali ni kufanya tathmini ya ubora wa ujenzi wa matundu ya vyoo na kuendelea kutenga fedha kila mwaka kwa ajili ya ujenzi wa matundu ya vyoo kwa shule za msingi na sekondari na kuhakikisha kuwa kwa sasa kila darasa linalojengwa kunakuwa na ujenzi wa angalau matundu mawili ya vyoo. “Katika mwaka 2025/26, Serikali imepanga kujenga matundu 28,580 ya vyoo yatakayogharimu shilingi bilioni 66.57 katika shule za msingi na sekondari.” Mchengerwa ameongeza kuwa: choo cha staha ni haki ya mwanafunzi; ni chozi lisiloonekana, lakini lenye kuumiza.” “Tuwashe mwenge wa heshima shuleni-tuzime giza la aibu ya vyoo visivyofaa...Serikali haijalala katika hili, lengo ni kuhakikisha shule zetu zinakuwa mahali salama pa fundishia na kujifunzia,” amesema. #CrownMedia #HapaNiNyumbani
Crown Media tweet media
Indonesia
29
2
155
33.2K
Crown FM retweetledi
Crown Media
Crown Media@CrownMediaTZ·
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametoa maelekezo mahususi kwa wakuu wa mikoa na wa wilaya akiwataka kutokuwa watazamaji wa migogoro na walinzi wa misingi ya haki na amani. Mchengerwa ameyasema hayo wakati akihitimisha hoja ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI na taasisi zake, Tume ya Utumishi wa Walimu, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa mwaka 2024/25. “Ninapenda pia kutumia nafasi hii kutoa maelekezo mahsusi kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya, wajikite kikamilifu katika kulinda amani, mshikamano wa kitaifa na ufanisi wa utendaji wa serikali katika maeneo yao.” “Hamtakiwi kuwa watazamaji wa migogoro bali wazima moto wa chokochoko, na walinzi wa misingi ya haki, maendeleo na umoja wa kitaifa. Utulivu wa nchi unaanza pale ambapo viongozi wa chini wanatimiza wajibu wao bila kusubiri maagizo kutoka juu.” amesema Mchengerwa Amewataka kuwasha mwenge wa ulinzi wa jamii na kuzima cheche za migogoro midogo inayoweza kuwa moto mkubwa wa Taifa. #CrownMedia #HapaNiNyumbani
Crown Media tweet media
Indonesia
2
1
93
3.3K
Crown FM retweetledi
Crown Media
Crown Media@CrownMediaTZ·
HUJAMBO? KASRI LIKO HEWANI TAYARI….. 🔥🔥 Malkia @Imaniluvanga akiwa na @Nassibmkomwa_ wanakupitisha katika machache kati ya yale mengi yatakayosikika leo mubashara ndani ya #KASRILAKIKEKE Sikiliza KASRI kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 12:00 Jioni hadi saa 3:00 Usiku, unaweza kutufuatilia kupitia 92.1 Mhz, Radio Box & Tune In CROWN FM, Youtube CROWN MEDIA na kwenye kisimbuzi cha Azam ni chaneli namba 67. 🎥 @jessejeezus
Indonesia
0
2
28
934
Crown FM retweetledi
Crown Media
Crown Media@CrownMediaTZ·
Fuatilia Mahojiano kati ya @macdemelo Mkurugenzi wa Jamii Africa @JamiiForums na @Salym kuangalia mwelekeo wa Tasnia ya Habari nchini Tanzania hasa wakati huu ambao kila Mtu ana uwezo wa kutengeneza Maudhui mtandaoni pamoja na uhuru wa habari nchini Tanzania.
Crown Media tweet mediaCrown Media tweet mediaCrown Media tweet media
Indonesia
0
6
86
4.5K
Crown FM retweetledi
Crown Media
Crown Media@CrownMediaTZ·
@JamiiForums Tumeona kuna uhitaji wa kutafikia Mataifa mengine” @macdemelo Mkurugenzi wa Jamii Afrika
Indonesia
0
4
120
6.6K
Crown FM retweetledi
Salim Kikeke
Salim Kikeke@Salym·
#TBT ya NGUVU! Kutoka kushoto: Hayati Hafsa Mossi- Mtangazaji wa BBC,MB-AM 🇧🇮kabla ya kuuawa 2016. Anayefuata ni JOJ 🇹🇿- Mtangazaji wa BBC na baadaye Msemaji IOC- hapo Kati ni DMD @crownfmtz na @crowntvtz na Mtangaza nia ya Ubunge (Jimbo La MV) na mwisho kabisa ni Tido Mhando
Salim Kikeke tweet media
Indonesia
8
7
110
13.8K