DARK_MASTER
3.2K posts

DARK_MASTER
@dbcooper6199
ʙᴇ ɢᴏᴏᴅ ᴛᴏ ᴛʜᴇ ᴘᴇᴏᴘʟᴇ ᴏɴ ʏᴏᴜʀ ᴡᴀʏ ᴜᴘ ᴛʜᴇ ʟᴀᴅᴅᴇʀ 'ᴄᴀᴜꜱᴇ ʏᴏᴜ'ʟʟ ɴᴇᴇᴅ ᴛʜᴇᴍ ᴏɴ ʏᴏᴜʀ ᴡᴀʏ ᴅᴏᴡɴ


Habari iliyopo ni kwamba Kwa Sasa Aziz Ki na Hamisa mobeto wame tengana l, chanzo kikubwa ni usaliti wa Azizi Ki wa kujirudia mara Kwa mara, amekuwa akitoka kimapenzi na wadada wengi wa kitanzania ambao wengine huwa wana Mfuata mpaka huko Libya anapo cheza kwenye klabu yake ya Sasa ya Itihad. Hamisa amekuwa akivumilia yote hayo toka mwanzo huku akipata ushahidi wa picha, lakini imefikia hatua ameona watengane kwanza Kila mmoja aendelee na majukumu yake kwanza. Hamisa alikuwa na nia ya kujenga familia na Aziz Ki lakini ilipo fikia amejiona hana bahati na mahusiano kabisa.


JIWE GIZANI (SGR)🙋🏻♂️ (under 0.5 First 5 Minutes) 100+🔥 ODDS Kickoff 👉21:30 EAT Sportybet👉5XP3SZ (Hapa ndo utajua Dakika 5 ni Nyingi😂)


JIWE GIZANI (SGR)🙋🏻♂️ (under 0.5 First 5 Minutes) 100+🔥 ODDS Kickoff 👉21:30 EAT Sportybet👉5XP3SZ (Hapa ndo utajua Dakika 5 ni Nyingi😂)












