luchymend

3.7K posts

luchymend banner
luchymend

luchymend

@deluchy3

Arsenal ndo furaha yetu,proud Muslim,Simba na yanga nimewaachia nyie

Katılım Haziran 2022
207 Takip Edilen161 Takipçiler
luchymend
luchymend@deluchy3·
@INFLUENCERjr sio mpaka mwanaharakat ndo azingue kwan watoto wa kina wasira hua wanakosea wapi mbona mnawapika?
Indonesia
0
0
1
42
knockout
knockout@Rabison09·
Mboga za 2007 zishaanza kuchanua huko.🔥🔥🔥
knockout tweet media
Polski
40
28
226
16.5K
luchymend
luchymend@deluchy3·
@lin4330 @Mwinshehe07 mtoto akifiwa na baba ake kisa baba n mwenyekit wa ccm akilia anaambiwa tutolee usenge 😂 kisa la baba anahukumiwa mtoto ila wengine wanakingiwa kifua😂😂
Filipino
0
0
0
11
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Taivina hajawahi kujitangaza kama mwanaharakati hata chama chake cha siasa. tunachojua sisi jamaa amekuwa akisimama na watu kutetea haki na kusaidia wahitaji Unachofanya nikama kumuangushia jumba bovu ila watu wanamjua humu taivina ni mtu wa namna ni ngumu kumuangusha
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿@EsirEid

#TajiriLaKihaya WANAHARAKATI UCHWARA…. Walituaminisha kwamba Tuachane na Wana CCM na Products zao… Hadi kutulazimisha Tuwa BLOCK Wana ccm mtandaoni… kuachana na Ushabiki wa mpira wa SIMBA/YANGA…. Ila Kuanzia leo kuendelea hao hao ndio Watakuwa wanaPromote VUNJABEI BETTING! Ikumbukwe VunjaBei ni CCM lia lia… amechanga hela kibao tu kwenye kampeni na hata juzi tu alikua anawania UBUNGE kabla ya kukatwa 😅 NJAA na MSIMAMO havikai meza moja 😂🙌🏽

Indonesia
57
64
349
20.8K
M N Y A S A M V U V I. PHD
Wakati huo ligi za SAUDIA, DUBAI, EAU,IRAQ,IRAN zote izi ligi zao zipo kwenye Betting.. Africa huyu alie tuletea dini kuna sehem kidogo alikosea
M N Y A S A M V U V I. PHD tweet media
Filipino
21
14
263
17K
EL SUKAYO 🇹🇿
EL SUKAYO 🇹🇿@Elsukay0·
Hii style kwanini vinyozi wengi hawaiwezi nimetembelea saloon zaidi ya 6 kila kinyozi anaboronga tu
EL SUKAYO 🇹🇿 tweet media
Indonesia
61
14
217
19.6K
luchymend
luchymend@deluchy3·
@MangiwaKwanza1 angeimba hata na motra kmmk kwan hapa Kua na kina motra kina Rosa ree😂😂😂
Filipino
0
0
0
271
Mangi wa Kichaga
Mangi wa Kichaga@MangiwaKwanza1·
Mtu kaimba nyimbo ya kuisifia kamali sio hata kupush agenda za ki chawa, ila humu ndani kama una haters wengi wewe jiandae kupikwa tu😁
Indonesia
29
25
187
6.2K
luchymend
luchymend@deluchy3·
@EsirEid vipi nafasi ya taivina angealikwa labda mwana ccm wa humu unahisi sativa angeruka nae vipi leo?😂
Filipino
1
0
2
200
luchymend
luchymend@deluchy3·
@EsirEid Watu wanatetea ujinga mara sio mwanaharakat mbona mtoto wa mwana ccm au mzazi akifa watu wanashangilia humu ...au mtoto anafiwa baba ake na anaenda chekwa apikwe tu
Indonesia
0
1
2
76
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya WANAHARAKATI UCHWARA…. Walituaminisha kwamba Tuachane na Wana CCM na Products zao… Hadi kutulazimisha Tuwa BLOCK Wana ccm mtandaoni… kuachana na Ushabiki wa mpira wa SIMBA/YANGA…. Ila Kuanzia leo kuendelea hao hao ndio Watakuwa wanaPromote VUNJABEI BETTING! Ikumbukwe VunjaBei ni CCM lia lia… amechanga hela kibao tu kwenye kampeni na hata juzi tu alikua anawania UBUNGE kabla ya kukatwa 😅 NJAA na MSIMAMO havikai meza moja 😂🙌🏽
Indonesia
149
113
813
73.6K
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Mshindi wa Tuzo ya Grammy “Tayla” anasema kipindi anajitafuta aliwahi kumtumia Meseji (DM) instagram Msanii Mwenzake Nasty C” akimuomba kolabo Nasty alimjibu ampatie kiasi cha Dola $300K ambayo ni sawa na Shilingi Milioni 750 za kitanzania Tayla akamjibu yeye bado hajafikia ukubwa huo kaka wakina Rihanna au Nick Minaj kumpa hiyo hela Tayla anasema baada ya kumjibu vile Nasty alim Block Tayla Instagram Mpaka leo.
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Filipino
21
3
152
26.4K
Barbosa
Barbosa@gratian_barbosa·
Hivi nyie mnawezaje kujua majina ya hawa wachezaji ambao wengi hawamalizagi misimu miwili kwenye timu moja hapa bongo?
Indonesia
1
6
64
1.3K
Kapuya
Kapuya@fifi_brian·
Sema kipindi kama hiki pastor hakupaswa kuumia kabisa, hiki ndio kipindi ukimpiga mtu kimoja unafunga duka hata kama ni saa nne asubuhi.
Filipino
6
3
55
3.2K