Fadhil Majiha

42 posts

Fadhil Majiha banner
Fadhil Majiha

Fadhil Majiha

@demoriento

Anti anything wrong to anybody, Just dedicated to be a Vigilant weighting the reality from fiction and serving my society. P'se support my movement

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Eylül 2022
70 Takip Edilen29 Takipçiler
Fadhil Majiha
Fadhil Majiha@demoriento·
@tanpol , Bodi ya michezo na sanaa Tanzania na idara mbalimbalj zinazohusika na hili, hivi hizi Silaha ambazo huonekana kama Toys huwa zinaingizwaje mjini humu??? Wakati onyo limeelekeza kabisa, halafu hakuna tahadhari zozote za zaidi.. Kuna shida sehemu.
Fadhil Majiha tweet mediaFadhil Majiha tweet media
Indonesia
0
0
0
9
Fadhil Majiha
Fadhil Majiha@demoriento·
@MwanaHabariNews Juma huchomoi hapa. Maana 95% za comments zinatuthibitishia wewe kweli una tabia za kike.
Filipino
0
0
0
26
MwanaHabari
MwanaHabari@MwanaHabariNews·
"Baba yangu alinikataa tangu nikiwa mtoto mdogo na hata baada ya mama yangu kufariki nilimfuata kutaka anitambue kama mwanae lakini bado aliendelea kunikataa, kwasasa sina muda naye najihesabia kama sina baba duniani " Juma Lokole.
MwanaHabari tweet media
Indonesia
254
23
1.3K
114.7K
Fadhil Majiha
Fadhil Majiha@demoriento·
@mtaafuni @mshambuliaji Hivi ushawahi kujiuliza kwamba askari huwa wanapigana na kutukana??? Mbona hatuoni wakiletwa mahakama za kiraia?? Tuache mihemko.
Indonesia
1
0
0
271
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ ),MT 89487 CPL Hamis Ramadhan (36)amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Jijini akikabiliwa na shitaka ya kukataa amri halali. Tukio hilo lilitokea Februari 7, 2023 eneo la Mlimani City barabara ya Survey.
Maulid Kitenge tweet media
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
89
24
1.1K
104K
Geobentheking
Geobentheking@geobentheking·
@demoriento @mshambuliaji Na wewe upo tweeter huku kufanya nini sasa mbona nikama kumevamiwa, huko sifa ni utirio kichwani uwemo, fanya uhamie Facebook maana umekimbia kimbia kule JKT hukuelewa chochote unakuja kutuchosha huku..!!
Indonesia
1
0
3
416
paroko wa mtae
paroko wa mtae@Raphaeltimilah1·
@mshambuliaji Vijana wengi hupotea kwa kukosa maarifa umepatwa kaz vzr tu wenzako mtaan tunaitaman hyo nafasi sas kisa ww n mzee wa magwanda bas mbaka sheria za nchii unataka uvunje ngoja ufukuzwe kazi uje mtaan utuone
Suomi
2
0
10
3.9K
Cyancute ⭐
Cyancute ⭐@Cyancute·
Haya watoto wamesha lala thread's 👇😋
Cyancute ⭐ tweet media
Filipino
217
216
5.6K
612.8K
MARIOO
MARIOO@tz_marioo·
Special day to me🙏🏾 TheKidYouKnow👇🏾
MARIOO tweet media
English
16
15
989
24.5K
HAPPNES MLAY
HAPPNES MLAY@Happinesmlay·
Men mnaweza date mtu anavaa hivi kwa public?
HAPPNES MLAY tweet media
Indonesia
106
8
220
19.3K
Fadhil Majiha
Fadhil Majiha@demoriento·
@usembassytz "Location frequented by US citizen and other Westerners" Sasa misikiti inaingiaje kwenye mashambulizi na hizo migahawa/hoteli?? Misikitini tutakwenda kuabudu Mungu na wakituuwa itakuwa bora zaidi.
Indonesia
0
0
0
130