Sumari 🇺🇸

4K posts

Sumari 🇺🇸

Sumari 🇺🇸

@denis_sumari

Meru ndo Home 🏔️

Katılım Aralık 2022
547 Takip Edilen567 Takipçiler
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Hivi kati ya 1. Airtel 2. Vodacom 3. Zuku 4. TTCL 5. Yas Rauter gani ina internet yenye kasi zaidi?
Indonesia
31
22
87
10.3K
Malkia Nyuki 👑
Malkia Nyuki 👑@nyuki_malkia·
These are my Top 3 Series....... What about yours??
Malkia Nyuki 👑 tweet mediaMalkia Nyuki 👑 tweet mediaMalkia Nyuki 👑 tweet media
English
6
16
54
16.9K
Sumari 🇺🇸
Sumari 🇺🇸@denis_sumari·
@TichaMandevu Pole san brother Tubu kwa mwenynz Mungu then relax hukukusudia Bali ilkua bahati mbaya
Indonesia
0
0
2
850
TICHA MANDEVU13
TICHA MANDEVU13@TichaMandevu·
Kipindi flani Kuna dogo nilikua napiga nae mitikasi Chaka bahati mbaya tulipataga ajali na piki piki mimi niliumia kidogo sana lakini dogo bahati mbaya alipoteza maisha aisee naomba niseme hii kitu inanitesa kila nikienda kumsalimia mama yake mama analia sana Najionaga mkosaji.
TICHA MANDEVU13 tweet media
Filipino
61
71
824
28.6K
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Mimi nimeamua kuchokonoa ili mlinganishe na injili zangu. Sinaga makosa kwenye ukweli.
ProsperNow. tweet mediaProsperNow. tweet media
Filipino
32
21
281
45.1K
Thekillboy
Thekillboy@ArsenalBoy8·
@Narrowbeeflying Ukifika mda wa matangazo ya moja kwa moja mjini Dodoma mechi inasitishwa kwanza
Indonesia
1
0
2
60
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
Hivi TBC wataonyesha world Cup?
Narrowbeefly tweet media
Filipino
29
20
122
3.2K
Djkid_b_____
Djkid_b_____@BlessdGrooveKid·
Mume wa Mtu kazini😅
Djkid_b_____ tweet media
Indonesia
34
23
100
15.6K
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Mpaka sasa kitu gani kimekukera zaidi?😡
The mandevu tweet media
Indonesia
130
76
980
31.3K
kibaha_finest
kibaha_finest@kibaha_finest·
hivi kijana mwenye miaka 30 and above uwe unatakiwa umiliki kitu gani cha thamani..?🤔🤔
Indonesia
29
17
121
6.3K
𝐌𝐚𝐬𝐬 𝐤𝐢𝐝
Bro to bro:🗣️ ipi ni njia rahisi ya kumtuliza mwanamke haraka akiwa na hasira?
Indonesia
29
28
95
2.7K
kibaha_finest
kibaha_finest@kibaha_finest·
Tuwachanganye kidogo joining 2026 hii vita ilikua ya motto haijawai tokea.😂😂💔
kibaha_finest tweet media
Indonesia
43
22
183
19.3K
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Oyaa lile Hitsong letu limetokaaaa!! Oya hili ni straight on trending!! Wafanye promotions za kutosha tu!! Video kwa Comments 👇
Latto 𝕏 tweet media
Filipino
7
5
207
25.5K
Ambele Young
Ambele Young@Ambele_Young·
Kuna vijana wanaukame kiasi kwamba hata lile shimo nalo wamelia nyeto tayari 😂😂🤣
Filipino
27
40
143
5.2K
Sumari 🇺🇸
Sumari 🇺🇸@denis_sumari·
@RevocatusMagum1 Unaikumbuka history ya Zidane wa Madrid?? Ndcho knacho endelea apa,, jamaa hana ktu ila ana watu
Indonesia
0
0
0
10
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Kwenye Takataka za Tajiri kuna vitu vinavyomfaa maskini...Ndivyo unaweza kusema unapoizungumzia safari ya Kocha wa Fc Bayern Munich Vincent Kompany. Vincent Kompany kabla hajawa Kocha wa Bayern hii alikuwa Kocha wa Burnley,Wakati anatangazwa kama kocha mkuu wa Burnley mwezi June, 2022 Burnley ilikua ndio imeshuka daraja kutoka ligi kuu ya Uingereza na kurudi Championship. Burnley waliamini Kompany angewarejesha ligi kuu, Na kweli msimu wa 2022-23 alifanikiwa kutwaa ubingwa wa Championship na kurejea ligi kuu ya Uingereza (EPL) kwa msimu wa 2023-24 huku msimu huo wakishinda mechi 35,sare 14 na kupoteza mechi 5 tu. Baada ya kupanda ligi kuu, Burnley walihangaika sana msimu huo na kushuka tena daraja wakishinda mechi 5 tu kwa msimu mzima chini ya Vincent Kompany. May 2024 Ndoa ya Kompany na Burnley ilifikia tamati baada ya Bayer Munich kumuona Kompany anafaa kukiongoza kikosi chao licha ya kuishusha daraja Burnley. Bayern munich licha ya ukubwa wake bado waliamini katika uwezo wa Kompany bila kujali historia ya kuishusha Burnley Kwenye maneno ya mpumbavu kuna machache yanaweza kumsaidia mwenye akili.
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
9
12
179
18.2K
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Mimi nasherekea Birthday yangu nikiwa The Mandevu Store kwa kuwangoja Wateja, wewe unaruka tweet zangu ukiwa wapi?😁
The mandevu tweet media
Indonesia
27
82
623
6.7K
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Mchana huu MABONGE yakienda kula migahawa ya mtaani. Linagiza ugali mbili na ka nusu. Mboga tano yanachanganya kwenye bakuli moja. Soda au juice ni lazima. Maji hayanunui ni yale yale ya pale kwa mama ntilie. Kama kawaida ma sauti mdomoni wakati linakula. Mnduku nje nje. Likishiba ni kulala na kujijambia kimya kimya. Hapo kati kabla ya lunch lishakula karanga za kuchemsha au miwa. Mabonge yanakera.
Indonesia
105
39
464
24.3K
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Happy Birthday To Me.👊🏾
The mandevu tweet media
English
371
288
2.7K
31.9K
MRENO⛑️
MRENO⛑️@mreno255·
Ulifanyaje hadi ukaweza kuacha PUNYETO?
Indonesia
12
7
55
1.8K
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Kwa wale wote waliotuunganisha na fursa za kutengeneza pesa 2025.👊🏾
The mandevu tweet media
Polski
11
36
531
8.4K