Dotto

2K posts

Dotto banner
Dotto

Dotto

@dottolothy

Dar es salaam Tanzania Katılım Temmuz 2020
271 Takip Edilen253 Takipçiler
Dotto retweetledi
☆
@Literarium24·
𝘈𝘯𝘥 𝘴𝘰𝘮𝘦𝘵𝘪𝘮𝘦𝘴, 𝘢𝘨𝘢𝘪𝘯𝘴𝘵 𝘢𝘭𝘭 𝘰𝘥𝘥𝘴, 𝘢𝘨𝘢𝘪𝘯𝘴𝘵 𝘢𝘭𝘭 𝘭𝘰𝘨𝘪𝘤, 𝘸𝘦 𝘩𝘰𝘱𝘦.
☆ tweet media
English
10
444
2.2K
54K
Williard
Williard@prolific_88·
Sina la kusema kwakweli hii ni balaa
Williard tweet media
Filipino
1
2
31
1K
feelings ღ
feelings ღ@eternaltxts·
Has suicide ever crossed your mind? Be honest.
English
1.3K
399
4.3K
350K
Moza Ally
Moza Ally@MozaAlly_·
ALHAMDULILLAH Every servant has his day,ALLAH has granted me Grace to reach and enjoy my day.Patience,Endurance and Faith are important to reach this kind of day.Thank you Allah,my parents, my family, friends and relatives and especially my husband for SEEING ME and LOVING ME
Moza Ally tweet mediaMoza Ally tweet mediaMoza Ally tweet mediaMoza Ally tweet media
English
81
15
207
43.9K
Dotto
Dotto@dottolothy·
@pastajoshuatz Waambie waende samakisamaki soweto,muhudumu yoyote unae muona humo,ni Afisa utelezi pia kwa hiyo wala wasiogope na bei ni elekezi
Filipino
3
0
10
2K
PASTA JOSHUA
PASTA JOSHUA@pastajoshuatz·
Vijana wa Mbeya wametoa Malalamiko Yao Kupitia Barua Pepe,Ambayo Imepokelewa Makao Makuu , wakidai Kwamba .. Kuna machimbo mawili TU YANAYO Fahamika hapo Mbeya na Kuna pisi Mbovu mno Afu ni Nzee..Jambo Ambalo Linazorotesha Mchakato wa Ulaji na Uchakataji wa Mbususu. Aidha Vijana amelaani vikali Swala la Kupandishiwa Bei ,Bila mpangilio Wakati Madem wenyewe ni Wazee...na Wanajiona niwarembo na Wakipekee sana. Sasa Mm kama mwenye kiti wenu wa OPERESHENI OKOA BOLO...Naomba Wote mlioko mbeya Mjazane Hapa Kwenye Comments Mtoe Location zote za machimbo Bila Kusahau Viwanja Bar na Club zote zilizo Hapo Mjini🫵
PASTA JOSHUA tweet media
Indonesia
12
9
119
25.1K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 183 Mhe. Lissu: Umewahi kutishwa? Shahidi wa kificho P8: Watu walikuwa wanasema atakae enda kutoa ushahidi watasalimiana nae. Mhe. Lissu: Ni nani huyo aliyekutisha? Shahidi wa kificho P8: Siwezi kumtaja? Mhe. Lissu: Uliandika maelezo yoyote? Shahidi wa kificho P8: Sikuandika ila nilienda kwa Afande Rashid. Mhe. Lissu: Kiongozi au mwanachama yeyote wa Chadema aliyekutishia? Shahidi wa kificho P8: Hawanifahamu. Mhe. Lissu: Maelezo ya kwamba ulikamatwa na kuhojiwa kwa tuhuma zako yako wapi? Shahidi wa kificho P8: Sijui mimi Mhe.Lissu: Kesi hiyo ilifunguliwa? Shahidi wa kificho P8: Haikufunguliwa mimi walinikamata ni kijana mdogo namshukuru Mungu niko salama, Serikali ina mkono mrefu sana. Mhe. Lissu: Sina swali lingine Mhe. Jaji. Watu wanacheka sana.😂😂😂 Jaji Ndunguru: Kuna Re-Examination. Wakili wa Serikali: Hatuna Re-Examination. Majaji wanaandika kidogo hapa. Mawakili wa Serikali wanaomba hairisho mpaka kesho kwasababu hawana shahidi mwingine, leo walikuwa na mashahidi wawili tu. Jaji Ndunguru: Kesi imehairishwa mpaka kesho saa nne asubuhi upande wa Serikali muhakikishe mnakuja na mashahidi wa kutosha. Naomba repost yako.
Indonesia
42
429
1.2K
53.2K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 173 Mhe. Lissu anaendelea kumfanyia cross examination Shahidi wa kificho P6. Mhe. Lissu: Pameandikwa tarehe 06/04 kutakuwa na ziara ya Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Songea, umeona vizuri hapo. Shahidi wa kificho P6: Naweza kurudia pia wilaya ya songea anaisoma. 😂 Shahidi ni kama Futuhi kwakweli. Mhe. Lissu: Twende Tarehe 10/04 umesema hivi ukiwa umekusanyika uwanja wa shule ya Msingi Matalawe na kuwataja viongozi ghafla gari ya polisi ilifika na kuwatawanya. Waeleze majaji kama hayo maneno gari la polisi lilifika na mkatawanywa. Shahidi wa kificho P6: Hayapo hayo. Mhe. Lissu: kuhusu kwenda ofisi za Chama Mfaranyaki mlikoenda na viongozi wakataka kuzungumza na waandishi wa Habari kuwa polisi walifika na kuwapiga mabomu? Shahidi wa kificho P6: Kutupiga mabomu hayapo kwenye maelezo. Mhe. Lissu: Je wapi kuna maneno kuwa polisi waliwatawanya ofisi za Chama. Shahidi wa kificho P6: Hayapo kwenye maelezo yangu. Mhe. Lissu: Sasa ngoja nikuulize mengine baada ya kumaliza kukutembeza kwenye maelezo yako. Mhe. Lissu: Kwa ufahamu wako Kiongozi wa Chama kama mimi kuitisha mkutano na kusema bila mabadiliko hakuna uchaguzi ni kosa la jinai? Shahidi wa kificho P6: Sifahamu mimi. Mhe. Lissu: Kusema tutazuia uchaguzi nalo ni kosa la jinai? Shahidi wa kificho P6: Sifahamu pia. Mhe. Lissu: unafahamu hakuna sheria yoyote nchi hii inayokataza kuzuia uchaguzi? Shahidi wa kificho P6: Huko kwenye sheria mimi sifahamu. Mhe. Lissu: Polisi hawakukwambia kuwa sio kosa? Hao waliokuwa wanakufundisha kuja kusema hapa. Shahidi wa kificho P6: amenyamaza Mhe. Lissu: Ulisema mikutano ya Songea ilizuiwa kufanya mikutano na kupigwa mabomu. Je hiyo ni sawa na ni haki ya kisheria kwa Chama? Shahidi wa kificho P6: Sifahamu. Mhe. Lissu: unafahamu polisi wa Tanzania hawana mamlaka ya kukataza mikutano? Shahidi wa kificho P6: Sifahamu. Mhe. Lissu: Unajua Mikutano hiyo ilitolewa taarifa siku mbili nyuma? Shahidi wa kificho P6: Sifahamu. Mhe. Lissu: Kwani wewe si ndio umesema ulikuwa umehamasika na Chadema? Shahidi wa kificho P6: Ndio hivyo sasa sifahamu. Mhe. Lissu: Ulivaa tshirt imeandikwa No Reforms, No Election ni kosa? Shahidi wa kificho P6: sifahamu. Mhe. Lissu: Ulikamatwa Tar. 20/04/2025 mkiwa katika eneo la DS Kitimoto mkakamatwa kwa tuhuma za kufanya maandamano yasiyo ha hiari ni kweli? Shahidi wa kificho P6: kweli Mhe. Lissu: maelezo ya hayo mahojiano yako wapi? Shahidi wa kificho P6: sifahamu. Mhe. Lissu: Hizo tuhuma ziliishia wapi za kutaka kufanya maandamano na kuhojiwa? Shahidi wa kificho P6: ndio tulipelekwa Mahakamani ila kaka angu alikuwa ananiwakilisha. Mhe. Lissu: Kwahiyo Kaka yako alishtakiwa badala yako? Shahidi wa kificho P6: ndio yeye alikuwa anaisimamia Mhe. Lissu: Sasa waeleze majaji ilikuwaje ukabadilika kuwa mtuhumiwa wa kupanga njama za kufanya maandamano na leo ukawa shahidi? Shahidi wa kificho P6: Hata mimi sijui nini kilitokea. Mhe. Lissu: Polisi walikwambia ukiwa shahidi kwenye kesi hii watakufutia mashitaka yako si ndio? Shahidi wa kificho P6: Hapana Mheshimiwa we acha tu. Mhe. Lissu: Wewe ni Mwanachama wa Chadema? Shahidi wa kificho P6: Ndio. Mhe. Lissu: Umeingia lini? Niambie tarehe na mwezi. Katuga amesema hilo swali akijibu ataweza kujulikana maana kwenye mfumo wanajulikana watu waliosajiliwa ni akina nani siku fulani. Majaji wamejadili kama dakika tano. Tunasubiri watasema nini? Part 174 itaendelea kwenye post inayofuata, Naomba repost yako.
Indonesia
42
423
1.2K
52.1K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 162 Anaendelea Mhe. Lissu na maswali ya Dodoso Mhe. Lissu: Una leseni ya biashara? Shahidi wa Kificho; Leseni ya Biashara sina ila ninayo naiandaaa. Mhe. Lissu: Una kitambulisho cha NIda? Shahidi wa kificho; Sina ila napambana nikipate. Mhe. Lissu: una kitu chochote cha kukutambulisha ni mfanyabiashara zaidi ya maneno yako? Shahidi wa kificho: Kile ninachotembeza ndio ushahidi wangu. Mhe. Lissu : Umekileta hapa? Shahidi wa kificho; Sijaleta. Mhe. Lissu: Watajuaje we ni mfanyabiashara. Shahidi wa kificho: Waniamini tu. Lissu: unakaa ubungo kibangu? Shahidi: ndio. Umeleta mkataba wa pango? Au umesema unakaa nyumba gani? Shahidi: sijaleta ila labda niende nao Ubungo Kibangu wakapaone. Mhe. Lissu: Unadhani majaji hawana kazi hadi waende kibangu? Shahidi wa kificho : Sijui wao. Mhe. Lissu: Unakumbuka ulitoa maelezo kule Polisi? Shahidi wa kificho; Ndio nakumbuka. Mhe. Lissu: Waheshimiwa naomba apewe maelezo yake huyu P5 ayaone. Wanamtafutia. Wameyapata. Wamempa huko kwenye kiboksi chake. Shahidi wa kificho: Haya ndio maelezo yangu niliyoandika Central Polisi. Mhe. Lissu: yana sahihi yako Shahidi wa kificho: Ndio yana sahihi yangu. Mhe. Lissu: Mh. Nataka nimsomee shahidi maelezo yake anamsomea hapa maelezo yake yote. Anasema anajishughulisha na kuuza maeneo mbalimbali posta na kuosha magari. Niliona video ya Tundu Lissu ambae ni Mwenyekiti wa Chadema aliyesema mwaka huu hakutakuwa na uchaguzi na nitakinukisha. Baada ya kumaliza mizunguko yangu nilirudi Ubungo Riversid na nilipita kijiwe cha kahawa yupo rafiki akaonesha video ndefu sana tofauti na ile niliyoiona mimi. Wengine walimuunga mkono Lissu wengine walipinga. Baada ya kuona video nikaona nchi inaenda kuingia kwenye vurugu na itatuathiri sisi tunaotafuta riziki mitaani. Nikamtafuta ndugu yangu ambae ni Polisi kuhusu maneno ya Tundu Lissu na akanijibu tumeyasikia na tumeyaona. Nikapigiwa simu na Polisi na kwenda Central kutoa ushahidi. Mhe. Lissu anasema sasa nataka kukuhoji kuhusu. 1. Mambo ya Aina ya simu yako sijaona kwenye maelezo yako. 2. Namfahamu Lissu kutokana na vyombo vya habari. Hayapo kwenye maelezo. 3. Maskani kijiwe cha kahawa hayapo kwenye maelezo. 4. Mtu uliyempigia simu anafanyakazi Tabata Relini. Hayapo pia 5. Ulipata hofu hayo pia kwenye maelezo yako kulikuwa na hofu. 6. Ulipofika Central ulimpigia simu huyo askari hayapo kwenye maelezo. 7. kwamba ulipigwa na njaa kwelikweli siku 6 ulizokaa Mh. Tundu Lissu anaendelea kusoma amesoma maeneo zaidi ya 14 anayotaka kumkanusha shahidi ameyasema Mahakamani lakini kwenye maelezo yake ya Polisi hakuna. Mhe. Lissu: Je ungependa maelezo yako haya yawe sehemu ya ushahidi hapa Mahakamani. Shahidi wa kificho: Sijakuelewa hapo. Mhe. Lissu: Je ungependa maelezo yako yawe ushahidi Mahakamani? Shahidi wa kificho: Ndio. Majaji wanateta pale juu. Mawakili wa Serikali wanaulizwa mnasemaje? Anajibu Renatus Mkude. Sisi hatuna Objection yanaweza kupokelewa tu. Majaji wanaandika pale. Basi maelezo ya P5 yatakuwa ni Kielelezo D3 yaani kielelezo No. 03 cha upande wa Mshitakiwa. Kwa kifupi Mh. Lissu ameshakuwa na vielelezo vitatu upande wake kabla hajaanza kujitetea upande wake. 😂 Hadi muda huu Jamhuri hawana kielelezo hata kimoja kilichopokelewa na Mahakama maana vyote vilikataliwa. Mhe. Lissu: Waheshimiwa naomba apatiwe maelezo yake. Shahidi wa kificho: anapatiwa maelezo yake. Mhe. Lissu: Sasa tueleze ulisema unapatia bidhaa zako ilala boma sokoni sasa angalia maelezo yako na useme hayo maelezo kama yapo? Shahidi wa kificho: yapo. Mhe. Lissu: Hebu nionyeshe. Shahidi wa kificho: Amekaa kimya huko anapatafuta. Mhe. Lissu: Waonyeshe Majaji mimi siruhusiwi kukuona. Shahidi wa kificho: yuko kimya huko. Mhe. Lissu: hayo maneno yapo au hayapo Kaka, natumaini we ni mwanaume. Part 163 itaendelea kwenye post inayofuata, Naomba repost yako.
Filipino
59
459
1.2K
50.5K
Dotto
Dotto@dottolothy·
@angelbellerin02 Au wewe ndio yule wa kufanan nae,mbona vitu vingi ni kama tunafanana
Indonesia
0
0
1
176
angel bellerin02
angel bellerin02@angelbellerin02·
Miezi kibao now , say no to puli 🥴 ...mlale salama jmn
Filipino
9
3
54
4K
Williard
Williard@prolific_88·
Timu gani imekatisha ndoto zako za kuwa kijana mwenye ushawishi zaidi barank afrika?
Williard tweet media
Filipino
22
21
165
4.9K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Kabla hajanuka yeye wewe ndiye utakuwa wa kwanza kunuka na kuliwa na funza. Mwenyezi Mungu athibitishe neno hili na watu wote semeni AMEN.
Godbless E.J. Lema tweet media
Filipino
1.3K
626
4K
169.9K
It's Hunaiya 💋❤️
It's Hunaiya 💋❤️@Hunaiya153989·
Mtu anakunyonya hadi unajiuliza ni mapenzi au ana njaa 🤣💔
Indonesia
97
89
1.1K
53.8K
angel bellerin02
angel bellerin02@angelbellerin02·
Bila kukitupa hakulaliki hapa 🥴
Indonesia
10
6
100
9.3K
Real Nigger
Real Nigger@MrDepalitto9·
Kwa mbinde sana, Tugawane mtaji drop number
Real Nigger tweet media
Indonesia
19
1
43
3.9K
CHURA WA MILEMBE MKALI PAPPARAZI
Ila mfalme ni Malaya wa Kimya kimya kumbe alimdinya mke wa chupa limeamka na ya mdarasini, kipindi wanashuti ile ngoma yao KULA LAKINI USINIMALIZIE 😅
Filipino
38
27
567
52.9K
PASTA JOSHUA
PASTA JOSHUA@pastajoshuatz·
Kuna Wale Mademu Hawachoki Kudinyana Yaani Ukilala Kidogo Anakuamsha Anakwambia Mimi Sijaja Kulala Kwako hata kwetu kuna vitanda😂
PASTA JOSHUA tweet media
Indonesia
54
14
514
40.6K