Sabitlenmiş Tweet
PEPE
5.4K posts

PEPE
@pepeeee0
Arsenal on Top🔥🔥 Am a real Gooner Fan🤞 Gooner for life🔥🔥🔥💪💪💪🤛🤛
Tanzania Katılım Ocak 2014
3.2K Takip Edilen1.6K Takipçiler


@massino89 @ReganTesla_ Kaka sasa si usitubinafsie kaka huo wote tutoke aisee
Suomi

@ReganTesla_ Tulianza na mtaji kama huo mwaka 2022 sikutajii faida ila kwasasa tuna ofisi nne ambazo gharama ya kodi ya pango kwa hizo ofisi 4 kwa mwaka ni 40M. Sasa hapo utapiga mwenyewe faida yake ili kuweza ku afford kulipa kodi hiyo kwa mwaka
Filipino

@pepeeee0 @Primeandeka Imeishia hapo!😂
Unachukua kukua mwanaume mmoja mchafu uchafue basin nne ama one of the four clean men muogee kwa basin moja?
Suomi

@Primeandeka wanaume wanne wasafi hawaezi chafua maji basin moja,lakini mmoja mchafu anaeza chafua maji basin nne...😂😂
Suomi

@SanvickRumas @FalesBoni64699 @Sativa255 makodi mlima faida ulezi, mda wowote unapigwa pin unakimbia nchi mali inataifishwa na huna cha kuwafanya🫵🤣
Filipino

Usije kujichanganya kununua Bank za BONGO. Wekeza KENYA au RWANDA hela yako itakuwa salama.
Hawa wengine VIBAKA utajuta ukileta UZALENDO kwenye hela.
Benjamin Fernandes 🇹🇿@Benji_Fernandes
i want to buy a bank in East Africa.
Indonesia

@Zackajr @silvanmoi @abissay_stephen Ile uweke penati mapenzi ila si uhalisia wa kufuata kanuni au sheria favour pia zipo watupishe bana
Indonesia

@Zackajr @silvanmoi @abissay_stephen Timu ni mbovu tumefika pale kwa papatu papatu, hatuna elite players wakutupa output wanazotarajia ndio mana wanaundiwa hamasa kwa noti ili waokote ila napo bado. Tunahitaji safisha au kujenga kuanzia kwenye shina sio kuujengea mti sapoti ilihali shina limeoza mti utanyauka tu
Indonesia

@Zackajr @silvanmoi @abissay_stephen Mtu anasema tunajua na Uganda katokosa penati dakika ya 89 sasa hua sielewagi tunajua nini🤣🤣🤣
Indonesia

@silvanmoi @abissay_stephen Ulipofikia labda ndoton njia uliofikia hapo yenyew sio uwezo wako wenye uwezo wamemalz nafasi ya kwanza na pili kwenye kundi alaf unajipa Imani
Indonesia

@pepeeee0 @Roma_Mkatoliki Wee pimbi mfata mkumbo ndiomana malaya kakuponza ukala njugu
Indonesia

Inapotokea rasilimali za nchi zinanufaisha kikundi cha watu wachache walioko madarakani, na kuwaacha wengi wasinufaike nazo na wakaishi kwa dhiki hadi kufikia kukosa basic needs, tena ikafikia hatua ya kuuliwa au kufungwa wanapoonyesha kuziongelea!!
Akitokea mtu wa nje na kuanza kupambana na kikundi hiki, basi watu wale automatically watamuunga mkono na kumfurahia mtu huyu wa nje!!
Hata kama rasilimali hizo zitamnufaisha mtu huyo wa nje!!
Technically inajengeka mindset ya
#PoteleaPwete
Kuliko kilicho chetu wafaidi watu wachache tu,na bado wanatuua
BORA TUKOSE WOTE!!
Indonesia














