
@AnthonChaz Kufeli mtihani huwa kuna sababu nyingi kama vile kuugua kwa muda,kuwa na msongo wa mawazo wa muda mrefu au kushindwa ku-concentrate vizuri na masomo...unaweza kuwa na thinking capacity kubwa na bado ukafeli ikiwa utapitia moja kati ya changamoto nilizozitaja.
Filipino














