Dson..on the track

32.3K posts

Dson..on the track banner
Dson..on the track

Dson..on the track

@dsonthegm

Science & Nature | DSON on the track |Natural researcher | Human analyst | Natural author | ...NATURE IS MY GREATEST LESSON BOOK... make me walk the walk..

Dar es Salaam, Tanzania~Dodoma Katılım Temmuz 2016
1.6K Takip Edilen975 Takipçiler
Dson..on the track
Dson..on the track@dsonthegm·
@EduTalkTz Hiyo siyo case ya Mungu, watu kuuana au kutoana uhai ni case ya wanadamu straight Mungu ndiye mpaji wa uhai kuwepo kwetu au kutokuwepo kwetu hakumuongezei Mungu chochote
Filipino
1
0
0
3
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Mpaka leo bado sielewi kwa nini Mungu anakubali binadamu mmoja amuue binadamu mwingine kwa sababu ya masimulizi yake. Ni kama vile Mungu anafurahishwa na vurugu zetu kila kukicha; anafurahi tukipasuana vichwa na kusambaza maiti. Kama anajali, kwa nini alituweka kwenye makundi tofauti tofauti na kututengenezea mitafaruko? Kulikuwa kuna sababu gani ya kutugawanya Waislam (na makundi kibao ya uislam) na Wakristo (na makundi kibao ya Wakristo) ikiwa wote wanamhubiri yeye yeye?? Kwa nini hataki kutuona tukiwa wamoja???
Indonesia
7
3
17
792
✒️
✒️@Literariium·
You develop more emotional intelligence by reading classic novels rather than self-help books.
English
125
1.4K
9.6K
192.5K
mimilicious🌹🍒
mimilicious🌹🍒@amina_hafidh·
Shida Vijana wenzangu mnatuona sisi tunapambania maslahi ya chama bila kujua sisi tunapambania maslahi ya Taifa🇹🇿 Kama una akili timamu speech ya Heche imejaa UBINAFSI NA UROHO WA MADARAKA Lakini kesho nitakuwa na space ya kuwaelewesha ni kwa namna gani wanaharakati ni wabinafsi
Indonesia
135
21
82
81.2K
Dson..on the track retweetledi
Son of God(Huios)
Son of God(Huios)@EliabuDanford·
As much as I love prayers, but honestly speaking there are things prayers can't do. Locate a class. Just read. Study. Knowledge is not directly a function of prayers.
English
3
26
164
3.6K
Suphian Juma Nkuwi
Suphian Juma Nkuwi@SuphianJuma·
ONYO‼️ Disemba 09, 2025 mkiendelea kuhadaiwa na akina Mange, Maria, wapinzani kuandamana KUPORA,KUHARIBU mali,kuua Polisi kisa wafadhili wenu ughaibuni wanawabariki kama Oktoba 29 licha ya KUSAMEHEWA; MTAGEUKA WAFU “maradufu” AMANI YA TANZANA LAZIMA ILINDWE KWA GHARAMA “yeyote”
Suphian Juma Nkuwi tweet media
Indonesia
27
4
24
5.1K
Dson..on the track retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Endelea kusubiri Main Stream Media za Tanzania kuripoti ukweli. Jipe Moyo
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
37
249
2.5K
40.2K
DiwaniHQ
DiwaniHQ@chamalozo·
"Tundu Lissu ni kibaraka wa Mabeberu". Huyu beberu gani fala kiasi hiki kufanya kazi na mtu hana mamlaka yoyote, muda wote anashinda rumande na mahakamani, halafu awaache wanaofanya maamuzi, mnawajua Mabeberu kweli nyie?
Indonesia
18
31
160
8.9K
Dson..on the track
Dson..on the track@dsonthegm·
@SuphianJuma Aliyesema magwajima tuyakatae Kisha kanisa kuzingirwa ni nani Yako Acha upumbavu ukitaka kuwa mwongo uwe na kumb
Filipino
0
0
0
92
Suphian Juma Nkuwi
Suphian Juma Nkuwi@SuphianJuma·
Tunaposema Rais Dkt @SuluhuSamia hana baya na mtu, amejaa utu bali watu wabaya hupenda kumchokoza na yupo tayari KURIDHIANA kwa manufaa ya umoja wa kitaifa, TUELEWANE. Askofu Gwajima ni kweli alitumia kanisa lake kuhamasisha uhaini, sasa amesamehewa. TUACHE KUMCHOKONOA RAIS‼️
Suphian Juma Nkuwi tweet media
Indonesia
56
5
26
5.1K
Dson..on the track retweetledi
Richard Mabala
Richard Mabala@MabalaMakengeza·
Whoever sows injustice reaps calamity and the rod they yield in fury will be broken. Proverbs 22:8
English
4
46
202
8.7K
Dson..on the track retweetledi
Mwemezi Rwiza, PhD
Mwemezi Rwiza, PhD@SwahiliBible·
Kwenye caucus yao: "Hatuna anayetusikiliza kwa sasa. Nani anaweza kusikilizwa akiongea kama vile ni mwenzetu?" Moja likanyoosha mkono: "Nafikiri tunamwitaji askofu."
Indonesia
5
19
165
5.2K
Dson..on the track retweetledi
Mwemezi Rwiza, PhD
Mwemezi Rwiza, PhD@SwahiliBible·
"Nendeni mkajionyeshe kwamba nyie ni wachapakazi. Toeni maonyo makali. Fanyeni ziara za kushtukiza. Iteni press conferences, ruhusuni maswali ya kichokozi. Lazimisha huduma za umma ziendelee. Fukuzeni watendaji wazembe. Tupate credibility. Haya nendeni sasa."
Indonesia
41
107
568
22.1K
Dson..on the track retweetledi
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
T shirt za CCM mtaani hakuna. Pikipiki wameweka stika na covers. Baskeli hazionekani. Yani hata wanachama hawana raha currently.
Indonesia
35
128
1.3K
23.8K
Dson..on the track retweetledi
Hormuz™️
Hormuz™️@bajabiri·
"Nendeni mkajifanye mna uchungu sana na sikilizeni kero za hawa masikini....jifanyeni hizo kero zinawakwaza sana....simamisheni kazi baadhi ya watumishi kuonesha uwajibikaji"
Hormuz™️ tweet media
Indonesia
32
98
701
20.2K
Dson..on the track retweetledi
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Ukuaji wa kweli kwenye maisha mara nyingi unatokana na kuvuka nyakati ngumu zaidi. Usikate tamaa kwa maana Maumivu huwa ni ya muda tu ila mafanikio yaliyojengwa vizuri huwa ni ya daima. Leo ninakuombea uvuke nyakati zako ngumu ukiwa Imara na Ujenge kesho yako iliyo bora zaidi.
Indonesia
5
50
365
9.7K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Misukosuko ya kisiasa huathiri uchumi kupitia njia za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja. Kwanza, kutotabirika kwa mazingira ya kisiasa hupunguza “confidence premium” ambayo wawekezaji hupima kabla ya kuweka mtaji. Kupungua kwa imani hii husababisha kupungua kwa uwekezaji wa muda mrefu (long-term capital formation), kukua kwa gharama za kukopa, na kusonga kwa mitaji kuelekea masoko salama zaidi. Pili, sekta zinazotegemea uthabiti kama utalii, biashara ya huduma, na masoko ya fedha huathirika kwa haraka kupitia cancellations, kupungua kwa mtiririko wa fedha za kigeni, na kupungua kwa shughuli za kiuchumi. Kadri uthabiti unavyodidimia, ndivyo ufanisi wa soko na uzalishaji unavyopungua. Uchumi hauwezi kustawi pale taasisi zinapotoa ishara zisizotabirika, kwa kuwa uchumi wa kisasa unategemea taarifa, utawala wa sheria, na utulivu wa sera. Tokeni kwenye DENIAL . Uchumi na Utalii umeanza Ku Bleed na wala hauitaji PAD. Yohana 8:32 “ tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru”
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
11
124
797
26.6K
Dson..on the track retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Mwanamke mwenye akili anakuaga mzuri mara 9 ❤️
Filipino
19
41
451
27.4K
Dson..on the track retweetledi
Son of God(Huios)
Son of God(Huios)@EliabuDanford·
You can learn to think properly. You can improve your thinking processes. You can upgrade you thinking level. All are worked on. There's no miracle to that. Prayers won't do it.
English
1
11
75
2K