Dullah Planet

892 posts

Dullah Planet banner
Dullah Planet

Dullah Planet

@dullah_planet

A media personality & MC @mcambua East African | From Dar es salaam, Tanzania

Katılım Mayıs 2013
138 Takip Edilen8.8K Takipçiler
Dullah Planet retweetledi
Crown Media
Crown Media@CrownMediaTZ·
Kwa baraka zote kutoka kwa Rais wa @CrownMediaTZ amemkabidhi taji la ushindi wa kujiunga kwenye Familia ya kifamle. Bingwa kabisa, uzoefu wa kutosha, kiswahili safi, aliyeibeba Bongo Fleva mabegani kwa miaka 15 @dullah_planet planet kwa pamoja tumkaribishe FUNDI NYUMBANI.
Indonesia
29
75
638
22.8K
Malulujr
Malulujr@Nyandamalulu·
UNAMKUMBUKA ROHO 7?YUKO WAP KWA SASA?JE UNAMKUMBUKA REEK FARIDA? Hawa Walikuwa wasanii wa muzik enzi hizo,Now ni mke na mume wa ndoa kabisa, Roho 7 mzee wa Nakupenda Hip-hop na Reek Farida wa upendo wa mama,honey na pesa, ni ngoma zao kali sana hizo, Uzi 👇
Malulujr tweet media
Indonesia
96
137
1K
170.2K
Dullah Planet
Dullah Planet@dullah_planet·
KAMA KULIKUWA NA UMUHIMU WA KUWA NA MC WATATU BASI WANGEPANGWA VIZURI ILI KILA MTU AFANYE KAZI YAKE KWA UHURU NA UFANISI…. HONGERA WANANCHI🔥
Filipino
3
0
13
0
Dullah Planet
Dullah Planet@dullah_planet·
Wengine wanavua hadi nguo mradi apate ka clip watu wanampigia makelele, apost IG ajifurahishe. But not anything to improve perfomance" - Director Hanscana. Wewe ni kipi huwa kinakuboa kwenye shows za wasanii wetu wa Bongofleva?
Indonesia
0
0
6
0
Dullah Planet
Dullah Planet@dullah_planet·
Kwa mujibu wa Insta story ya Hanscana ameandika; "Kuna tofauti kubwa kati ya show nzuri na shangwe. Wengi mna-show mbaya mmmmmno kila anayepanda analilia shangwe anasahau performance yani atafanya vyovyote apate shangwe.
Indonesia
1
0
5
0
Dullah Planet
Dullah Planet@dullah_planet·
Director nguli wa Video za muziki wa Bongofleva nchini, Hanscana amewachana wasanii wa muziki huo wanaowaza kupata shangwe jukwani na sio kufanya show nzuri na kuongeza kuwa kuna utofauti mkubwa kati ya shangwe na performance nzuri.
Dullah Planet tweet media
Polski
1
0
21
0
Dullah Planet
Dullah Planet@dullah_planet·
6. Sierra Leone, alama 50 7. Botswana, alama 48 8. Gambia, alama 45 9. Ghana, alama 40 10. Mauritius, alama 28
Indonesia
0
1
4
0
Dullah Planet
Dullah Planet@dullah_planet·
Kipimo cha Amani Duniani, Global Peace Index (GPI) kimetaja nchi 10 zenye amani zaidi mwaka 2022, Kusini mwa Jangwa la Sahara. Nchi hizo ni; 1. Senegal, alama 70 2. Namibia, alama 68 3. Malawi, alama 65 4. Guinea ya Ikweta, alama 59 5. Zambia, alama 56
Dullah Planet tweet media
Filipino
1
0
7
0
Michael Baruti
Michael Baruti@MichaelBaruti·
Abdallah Khamis Ambua… my maaan…..
Indonesia
14
2
193
0