kermit the frog
94 posts


@nssftz Hela zetu hamtaki kutupa.. Tunapatake hizo nyumba??
Indonesia
kermit the frog retweetledi

Kula Vocha hiyo ujimwage na vifurushi vya OFA YAKO sikukuu hii ya Eid.
Kama hujapata bofya RETWEET kisha saa sita mchana uwe karibu na page yetu maana tunadondosha nyingine.
Piga *149*99# kupata OFA YAKO.
#MkonoWaEid

Indonesia

@nssftz Naomba mnissidie nipate malipo yangu..mnanizungusha huu mwaka 3 sielewi shida nini
Indonesia

@airtel_tanzania jana nimetaka kifurushi cha sms kwa kutumia airtel money naambiwa sina muamala..wakati juzi nimejiunga intrnet kwa airtelmoney..na msg kuwa muamala upo ipo msg..kma mna marekebisho muwe mnatujuza..au hamthamini wateja wenu...
Indonesia

@airtel_tanzania huduma ya airtelmoney kueka na kutoa pesa..nimesajili kwa no za nida na alama za vidole zote zinafanyika..lakini TIMIZA haikubali.shida nini?
Indonesia

@airtel_tanzania Habari zenu za asubuhi..naomba niwaulize..hivi kwa nn mtandao wenu unazidi kusumbua?juzi airtelmoney imesumbua..jana kujiunga kwa kutumia airtelmoney pia..muda huu mtandao ni mmmmmmmmmbovu..yaani huu mtandao umekuwa kama kichefuchefu cha mwenye mimba..haueleweki...basi tu...!!
Indonesia

@airtel_tanzania habari...hivi jana nyakati za jioni mpaka usiku mtandao wenu ulikuwa unasumbua?
Indonesia

Airtel Supa 4G sasa ipo mkoani Pwani.
Peruzi, strim na pakua video mtandaoni kwa kasi zaidi isiyo na kifani kwa kutumia intaneti ya #AirtelSupa4G
Jipatie 4G Pocket Wi - Fi kwa Tsh 75,000 tu na ufurahie ofa ya GB 40 bure za kuperuzi kwa spidi kali ya #AirtelSupa4G
#Airtel

Indonesia
kermit the frog retweetledi

@broke_jk2 Siku 10..kila siku unalia kilio cha buku..kilio cha buku ni kuanzia saa 12 asubuhi..mpka 6 usiku
Indonesia

@airtel_tanzania Anha..ok sawa..tupo pamojah..mlipo nipo
Filipino

@ebrahimsonara5 Kiwango chako cha Airtel Money ni kidogo kuweza kupata mkopo wa Timiza.
Polski

@airtel_tanzania Ni vigezo gani hivyo?mnijuze ili nipate kukamilisha hivyo vigezo

@ebrahimsonara5 Habari, pole sana kwa sasa bado hujakidhi vigezo vya kupata mkopo wa Timiza unatakiwa uendelee kufanya miamala mara kwa mara upande wa Airtel Money.
Indonesia

@ebrahimsonara5 Habari, pole sana tunaomba namba yako kwa msaada zaidi.
Filipino











