Meck | Agro Engineer 🌱🇮🇱

31.1K posts

Meck | Agro Engineer 🌱🇮🇱 banner
Meck | Agro Engineer 🌱🇮🇱

Meck | Agro Engineer 🌱🇮🇱

@edophones

Still learning. Still growing. – farming works 🌱 – hustle for money 💰 – discipline changes everything Abroad life hard work pays 💪

Tanzania Katılım Ekim 2020
2K Takip Edilen2K Takipçiler
Meck | Agro Engineer 🌱🇮🇱 retweetledi
Deo Mwashota
Deo Mwashota@hakunaga6·
Huyu jamaa alipata followers 10k kwa masaa 24 alafu akapotea alipeleka sana moto hile siku 🙌🙌😁😁
Deo Mwashota tweet media
Filipino
31
17
229
22.7K
Meck | Agro Engineer 🌱🇮🇱
Huyu mama anafanya hivi kwa ajili ya nani kwa faida ganii kitu gani jamaa ametishia mbona padre anaongeaga fact tu embu acheni hizi aisee siku ukigundua upande ulioko sio sahihi utaiweka wapi sura yakooo Dada angu f........siasa inakera na mauzi sana
Masaki@selemasaki

Iliwauma sana!

Indonesia
0
0
0
7
Meck | Agro Engineer 🌱🇮🇱 retweetledi
Presenter Noah
Presenter Noah@PresenterNoah·
Eti Neymar kafanya nini akiwa Brazil? Unamuuliza hivi Top scorer wa Muda wote wa Brazil, Unajua boli wewe? Na ndio mchezaji pekee mwenye uwezo aliyecheza chini ya Brazil mbovu kuwahi tokea Neymar ndio alikua anaifikisha Brazil hatua ambazo kama asingekuwepo basi wasingefika
Presenter Noah tweet media
Indonesia
30
9
224
7.4K
Meck | Agro Engineer 🌱🇮🇱 retweetledi
M.B.G
M.B.G@_kingOFstreet·
Kama ulifuatilia Jana speech ya bwana Bashite utagundua kuwa ana bifu kubwa na Jasusi la mbinguni na hii kuisha Hadi mmoja wao atangulie mbele za Haki, ungekuwa mtoa roho ungeanza na yupi😂
M.B.G tweet media
Indonesia
23
10
135
12.1K
Meck | Agro Engineer 🌱🇮🇱 retweetledi
BIGV 🎩
BIGV 🎩@vistovic17·
🚨 Miguel Gamondi ameelezea jinsi Liechtenstein walivyohatari “Unajua watu wataona hawa jamaa ni wepesi ila ukweli mzungu mzungu wamepata chance wametumia angalia Sisi kila mtu anataka kushinda wachezaji wanavichwa vigumu sielew”
BIGV 🎩 tweet mediaBIGV 🎩 tweet media
Filipino
10
10
266
14.4K
Meck | Agro Engineer 🌱🇮🇱 retweetledi
TOXIC DAWG
TOXIC DAWG@iMajeshi_·
Humu ndani nyie huwa hamchezi mpira ni mimi tu?
TOXIC DAWG tweet media
Indonesia
43
38
193
8.2K
Meck | Agro Engineer 🌱🇮🇱 retweetledi
irene
irene@Irene4803·
Asubuhi Njema Rafiki Yangu 🤌 Leo Usisahau Kuwa Wewe Ni Shujaa… Hasa Kwenye Kula Na Kulala 😂 Lakini Pia, Nakuamini Utaifanya Siku Yako Iwe Ya Mafanikio! Uwe Na Siku Njema Sana 🌞
Indonesia
30
25
77
735
Meck | Agro Engineer 🌱🇮🇱 retweetledi
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
✍🏻✍🏻✍🏻
Tanzania Abroad TV tweet media
QME
42
9
77
2.9K
Meck | Agro Engineer 🌱🇮🇱 retweetledi
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Viongozi bora kwa sasa🇺🇲🇮🇱 wanafanya kazi yao kwa umakini. Ni bahati kubwa kushudia uwepo wa Viongozi bora na wenye maono katika hii dunia zidi ya ugaidi Bila hawa ugaidi ugekuwa ni tishio kwa dunia yetu Uzee wangu utasimulia hadithi za Viongozi bora wa dunia kuwahi kutokea.
Vunga tweet media
Indonesia
11
11
41
942
Meck | Agro Engineer 🌱🇮🇱 retweetledi
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
Baada ya Trump kusema wamesitisha kushambulia Iran , Netanyahu Amesema wao wanakiendeleza hakuna kulala
Indonesia
9
10
128
4.7K
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Hivi ndivyo anga la Israeli linavyoonekana saa 5:00 asubuhi. Hii ndiyo sababu utawala huu wa kigaidi nchini Iran lazima uwe umetoweka. Israel ni balaa kwa ulinzi wa anga 🙌🏽
Filipino
7
6
18
1K
Meck | Agro Engineer 🌱🇮🇱 retweetledi
MeaMswahili
MeaMswahili@meamswahili·
🚨𝐓𝐑𝐄𝐍𝐃𝐈𝐍𝐆 Moja ya video inayo sambaa sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na utani uliopo katika michezo nchini Tanzania ukimuhusisha ally kamwe na mchezaji kibabage. #MeaMswahiliTRENDING
Filipino
2
16
116
10.5K
Meck | Agro Engineer 🌱🇮🇱 retweetledi
it's Aziz
it's Aziz@IamAzizJamal·
Mnasema mpishi afanyiwe nini?😂
it's Aziz tweet media
Indonesia
412
153
589
23.7K
Meck | Agro Engineer 🌱🇮🇱 retweetledi
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Najua wengi mmekuwa mkijiuliza, Mmiliki wa Aslay Mihogo ambayo wasanii wengi huonekana wakila samaki wakubwa na mihogo ni nani? Ukweli ni kwamba Mmiliki halali ni Mchekeshaji Tin white, alianza na Aslay Mihogo Coco beach, akafungua Aslay Mihogo Dodoma na weekend hii kazindua Aslay Mihogo Mwanza. Jamaa haongei sana ila ni vitendo tu, pesa Anayo ila hataki kupiga kelele. Kutana na kiredio Sasa akilipwa milioni tano tu anaandika Instagram. Hongera sana Tin white Kwa kushirikiana na Nagwa Biashara yenu imelipa sana
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Filipino
30
30
992
92.1K
Meck | Agro Engineer 🌱🇮🇱 retweetledi
John kalage 🇹🇿
John kalage 🇹🇿@kalage_jr·
Ukishazaliwa mwanaume kazi unayo hata kama huna.
Filipino
17
88
572
11.4K
Meck | Agro Engineer 🌱🇮🇱 retweetledi
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Rais Trump ameagiza Jeshi la Marekani lisipige vinu vya Nyuklia na Vituo vya Umeme Iran baada ya kufanya mazungumzo na viongozi wa Iran. Trump amesema amefanya mazungumzo mazuri sana na Iran na yamezaa matunda. Tukisema hii Vita si ya DINI bali maslahi ya nchi ndo kama hivi sasa.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
48
31
491
10.7K