Eli Njex

17.2K posts

Eli Njex

Eli Njex

@eli_njex

A hip hop follower storry teller sportsmen idealist, artist and script writer.

Southern Highlands Tz Katılım Eylül 2021
1.2K Takip Edilen831 Takipçiler
Eli Njex
Eli Njex@eli_njex·
@Malengo25 Niiwahi sema hivi kwenye group letu la Simba fans nikaambiwa sijui Mpira
HT
0
0
0
33
MALENGOO
MALENGOO@Malengo25·
Kile ambacho Simba Hawana kipo kwa Zayd OMARY Chukua huyu Aucho wa bei nafuu
MALENGOO tweet media
Filipino
12
3
143
2.4K
Muzikknow
Muzikknow@Muzikknow·
Ikibidi umteue msanii mmoja wa bongo flava 'feature' kwenye wimbo wako angekuwa nani? 👀
Tanzania 🇹🇿 Filipino
3
0
14
372
Eli Njex
Eli Njex@eli_njex·
@millardayo 💔💔💔 timu kubwa kama yanga yenye miaka zaidi ya 80 inazidiwa miundo mbinu na shule ya sekondari yenye umri wa miaka 9 tu!! 🚮🚮🚮 ama kweli Dunia tambala bovu
Indonesia
1
0
5
797
millardayo
millardayo@millardayo·
Ni kweli kwamba siku zote yule aliyejiongeza ndiye anayeshinda, ni kweli kwamba pamoja na kuongoza kwa kufaulisha ikiwemo matokeo ya kidato cha nne mwaka 2025 kuwa na division one 97 na division two 3, Nyangao Secondary (@nyangao_secondary ) iliyopo Lindi imeongoza pia kwa kuwekeza pesa nyingi katika somo la michezo na soccer academy na miundombinu yake ikiwemo uwanja huu wenye nyasi bandia. Shule hii ambayo ilianzishwa mwaka 2017, iliamua rasmi mwaka 2026 kuanzisha somo la michezo ( mkondo maalum ambao Wanafunzi wanafundishwa somo la michezo ) chini ya Mwalimu Mtaalamu wa michezo Mwinyi Zahera ambapo Mkurugenzi wa Shule hii aliamua kuwekeza fedha nyingi katika ujenzi wa viwanja kikiwemo hiki unachojionea kwenye picha hizi kikiwa na nyasi bandia kama zile tunazoziona kwenye Stadium za kisasa. Mwalimu Shannel Nchimbi ambaye ni Meneja wa Shule hii ambayo ni ya Bweni kwa Wasichana na Wavulana amesema uwekezaji huu umeambatana sambamba na kumteua Mwalimu Mtaalamu wa michezo ili kuviongezea thamani vipaji vya Wanafunzi ambapo Wanafunzi hushiriki michezo kwa dakika 60 kila jioni. Nchimbi amesisitiza Wazazi kuwapeleka Watoto wao kujiunga na Nyangao Secondary Lindi na kusema Shule hiyo ipo tayari kuwapokea Wanafunzi wote wanaohamia lakini pia hata wale wa kidato cha 5 "michepuo yetu ni Sayansi – Tahasusi: PCB, PCM, CBG na PGM, mchepuo wa Sanaa – Tahasusi: HKL, HGK, HGL, mchepuo wa Biashara – Tahasusi: HGE, EGM, tupigieni kwenye 0629 083 540 au 0683 368 003” #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Filipino
23
13
590
52.1K
Eli Njex
Eli Njex@eli_njex·
@SportsarenatzTz Hu wa chini sio u3 wa kiungo bana utatu wa kiungo Huwa tunazungumzia namba 6 namba 8 na namba 10 hao wa chini kutoka utopoloni ungesema damaro, duke & mdathir/okello/maxi
Filipino
0
0
6
464
SportsArenaTz
SportsArenaTz@SportsarenatzTz·
WEWE NDIO KOCHA UNAONDOKA NA UTATU UPI WA KIUNGO? 🔴- Kagoma & Kante & Chama 🔵- Himid & Akaminko & Feitoto 🟢- Duke Abuya & Maxi Nzengeli & Pacome.
Filipino
21
6
187
9.6K
NGASSA+255
NGASSA+255@Therealngassa·
Tanzania :yammy tz Nigeria : wizkidayo Congo : fally ipypa Kenya : bien South Africa : unclewefles Marekani : young thug Tuone na wewe list yako hapo chini 📰
Tanzania 🇹🇿 Filipino
6
4
47
2.3K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Kibabage ameboresha cross zake … anafanya movements vizuri , uwezo wa kuscan nafasi then anajua afanye nini akiwa na mpira .
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
1
2
38
301
Eli Njex
Eli Njex@eli_njex·
@heisnabeel Hata sisi runakuona Kuma tu ukitaka huyo rapper wako Ambae ni Bora! Kila mtu na mipango yake na mahitaji hauwezi lazima ninywe chai Kaa mkate asubuhi kisa haupendi makande 🚮🚮
Filipino
1
0
8
433
𝑵𝑨𝑩𝑬𝑬𝑳
Binafsi mtu akiniambia dizasta vina eti ndio rapper wake bora namuona KUMA TU. Mna pretend.
Indonesia
86
46
238
34.9K
SONKO
SONKO@Sonko_tips·
📌
SONKO tweet media
QME
142
50
778
70.6K
akili
akili@akilnyingi·
@eli_njex Wanawake wanapenda watoto weupe akisha olewa tu anatafuta bwana mweupe
Indonesia
1
0
1
5
akili
akili@akilnyingi·
Leo nimetombewa mke natoka job nakuta hayupo anarudi anasema kichwa kinauma hataki hata kupika😭😭😭 Natangaza vita na vijana weupe kmmk😭🙌🙌🙌
Indonesia
93
48
606
27.8K
Eli Njex
Eli Njex@eli_njex·
@mananajr_ Sasa si wangefanya tu dar iwe wilaya ya mkoa wa pwani
Indonesia
2
0
5
509
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽@mananajr_·
Dar na Pwani zimekaa kimiyeyusho sana, mtu anaishi Kibiti mambo ya kiserikali anayafata Kibaha hapo anakatiza Dar kwenda Kibaha. Yani Mkoa wa Pwani na Dar ni kama mtu mnene amkumbatie mtu mwembamba. Pwani imeizunguka Dar Kusini, Kaskazini na Magharibi.
Filipino
15
21
344
14.2K
Eli Njex
Eli Njex@eli_njex·
@og_outfits Like wise watu wanakariri vibaya sio watu wote wa Sumbawanga ni wachawi au Wana concept yoyote kuhusu uchawi! Mtu mnakutana airport ktk stori za moja na mbili ukimwanbia tu unatokea Sumbawanga swali la kwana, "hivi mnawezaje wezaje kupata na ungo kama ndege"🚮
Indonesia
1
0
0
14
OG OUTFITS❤️💃
OG OUTFITS❤️💃@og_outfits·
Watu mmekariri vibaya sio watu wote wa Mbeya majina hasa ya ukoo lazima yawe na Mwa- Mtu akijua ni wa Mbeya anauliza kwahiyo wewe ni Mwa-nani😁🙌🏻
Indonesia
19
34
164
4.2K
Djkid_b_____
Djkid_b_____@BlessdGrooveKid·
Sa kosa letu nini🤔
Djkid_b_____ tweet media
Indonesia
17
10
41
1.5K
Eli Njex
Eli Njex@eli_njex·
@Alex_komba00 Kuna dogo nilimwambia huyu ni mtu mmoja akagoma akakataa kata kata nikasema ingekuwa ni watu wawili tofauti basi wangeonekana kwa pamoja
Indonesia
0
0
0
9
Alex debrizy👑
Alex debrizy👑@Alex_komba00·
Sema huyu jamaa Louiagain Editing na creativity zake ni za viwango sana imagine huyo ni mtu mmoja ila wana appear kweny video moja kwa muda mmoja 😂🙌
Alex debrizy👑 tweet mediaAlex debrizy👑 tweet media
Filipino
58
77
1.1K
59.6K
Eli Njex
Eli Njex@eli_njex·
@ErickKamihanda Sasa hio google si imwdizainiwa iseme hivyo! Huyo Taylor qmmk zake Hana lolote na drake pia Chris ndo habari ya Afrika
Filipino
0
0
3
44
Eric Does
Eric Does@ErickKamihanda·
Nimebishana na mtu leo nani ni more popular kati ya Drake na Chris Brown. Google ikasema Drake, nikamwambia poa. Tukasearch Top 10 most popular musician duniani, Drake kashika namba 3, Taylor Swift namba 1. Nikamuuliza swali moja tu: Huku kwetu Afrika, nani anamjua Taylor Swift?
Filipino
34
10
315
24.6K
Eli Njex
Eli Njex@eli_njex·
@GilbertPaul095 Iyeee wanamuua taratibu alikuwa rafiki namba moja wa pantev huyu
Indonesia
1
0
1
180
MTANZANIA 🇹🇿
MTANZANIA 🇹🇿@GilbertPaul095·
I miss this GUY🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 Hata Sub haingii kweliii?!!!!
MTANZANIA 🇹🇿 tweet media
English
19
17
361
9.5K
Eli Njex
Eli Njex@eli_njex·
@PMlahagwa @CarlosNoriega88 Baba levo kapita kipindi ambacho hamna free and fair election, uchaguzi uliuona ulivyokuwa, by the way naomba tumalize tu Haina haja ya kwendelea mbele inatosha kila mmoja abakie na anachokiamini
Filipino
1
0
0
13
cynic
cynic@PMlahagwa·
@eli_njex @CarlosNoriega88 Sasa kama baba levo kapata AY anashindwaje? We bwana weee muheshimu AY prof Jay ana vya kujifunza kutoka kwa mtaalama AY kaupeleka sana mziki wetu kimataifa kina marehemu cpwaa wakiamaka wakakukuta anayasema haya utakua na mengi sana ya kujitetea
Indonesia
1
0
1
34
barakambeshere
barakambeshere@CarlosNoriega88·
Hivi Kati Ay na Professor J Nani alitangukia kwenye hii Game na ni nani ana Impact kubwa kwenye huu mziki wa Bongo Fleva kwa Ujulma??
HT
24
0
57
6K