😎

12.2K posts

😎

😎

@elia65637

JUST FIGHT

everywhere Katılım Aralık 2023
252 Takip Edilen355 Takipçiler
😎
😎@elia65637·
@MswatiKing_01 The most talented uyoo fundi🙌🏽🙌🏽
English
0
0
1
6
🦋
🦋@Pancras41·
@rayasel94 Kuna mtu anapinga elimu🤣
Filipino
3
0
2
286
Ray Asel
Ray Asel@rayasel94·
Wakenya wasione hii 😂
Indonesia
42
15
130
11.3K
Muzikknow
Muzikknow@Muzikknow·
Wimbo unaoufahamu ambao ndani yake inasikika milio ya risasi 🎶 🔫
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
70
11
132
7.6K
😎
😎@elia65637·
@LucasOdero8 Sema unju ku battle na watoto aache izo pigo
Indonesia
1
0
1
262
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
Nilipofika Chuo kikuu nikagundua elimu yetu inakuandaa Kukumbuka tu vitu ulivyokariri, ndipo nilipoanza kufeli. Yaan Mtihani unakuja kukupima tu uwezo wako wa kukumbuka modules ulizokariri. Ndo maana kuna mtu anaweza asiende darasani akapewa MADESA akasoma na akafaulu.
Indonesia
21
14
142
4.4K
Muzikknow
Muzikknow@Muzikknow·
Wimbo gani pendwa zaidi kwako katika mfululizo wa 'Freestyle Session' kutoka kwa LUNYA ⁉️ 🤔
Muzikknow tweet media
Tanzania 🇹🇿 Filipino
20
4
51
1.8K
😎
😎@elia65637·
@CenturyBoe We're in the same page📌📌. Awe cheupe dawa tuu kanimaliza
English
1
0
0
9
😎
😎@elia65637·
@JosmanStima Asiwe sababu ya kero/anguko/kikwazo kwa wengine. Akiwa hivyo hofu ya mungu haina faida
Filipino
0
0
0
12
STIMA ⚡
STIMA ⚡@JosmanStima·
Unalipi la kumshauri Kijana asiye na hofu ya Mungu katika Dunia ya sasa!?
Indonesia
19
16
75
1.8K
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Wananchi wa venezuela waliguswa hadi na msiba wa Chuck norris lakini msiba wa nchini kwao wanafurahia hii ni mbaya sana 💔
Indonesia
12
25
129
3.8K
MZUNGU PORI💪
MZUNGU PORI💪@Mzungu_pori1·
Hatimaye amestaafu🕊🕊🕊
MZUNGU PORI💪 tweet media
Eesti
51
48
317
8.8K
ManjestaX
ManjestaX@waziri3wa_wapwa·
Chukulia wewe ndio kocha wa timu ya taifa ya Spain, chagua kipa wako aanze... Joan García Robert sanchez Unai Simon's David Raya
ManjestaX tweet mediaManjestaX tweet mediaManjestaX tweet mediaManjestaX tweet media
Indonesia
49
22
149
7.3K
NGOJWIKE SnR
NGOJWIKE SnR@mzawaMUFC·
Wote mliowahi kusema kuwa HIPHOP imekufa MATAKO YENU.
Polski
10
6
58
1.4K
😎
😎@elia65637·
@Vitabu247 Ubora na consistency katika chochote unachokifanya. Hata kama hutakua tajiri ila kuna step kubwa utapiga.
Filipino
1
0
0
11
Learners Bookshop
Learners Bookshop@Vitabu247·
Wewe unaamini Utajiri unapatikana vipi?
Indonesia
10
4
36
1.8K
NKENJA_7
NKENJA_7@Abraha1Brighton·
MSIJE kushangaa KIKWETE Akifa kwa mshtuko wa Moyo ndo magonjwa yao hayo Atubu mapema kabla Ajafa na aseme maovu yake yote ndo atakuwa salama otherwise Anakufa..!!!
Indonesia
6
4
92
3.3K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Nimeona TikTok baadhi ya watu waliokuwa JKT mkataba wao umeisha wanaaga wenzao wanarudi mtaani. Inaumiza lakin hakuna namna, karibuni tena mtaani kusukuma gurudumu la maisha.
Filipino
25
56
664
24.2K
😎
😎@elia65637·
@TwevePauLo That's the only weapon we have mzee, acha tusheherekee tuu
English
0
0
1
14
𝗠𝗞𝗢𝗠𝗕𝗢𝗭𝗜
Mimi sio mfuasi wa siasa ila hili swala la viongozi wa upinzani kuwaombea vifo au mabaya chama tawala halijakaa sawa mambo muhimu ya kujiuliza ;- -Hata wao wana ndugu zao wana uhakika gani kama wote ni upinzani? -Wanajenga picha gani kwa vijana wanaochipukia kwenye siasa?
Indonesia
3
1
2
2.1K
😎
😎@elia65637·
@assengajrr kuuza mikeka ni side hustle tuu mzee, watu wasi diversify vyanzo vyao vya mapato😁😁
Čeština
1
0
1
65
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
@elia65637 Bora ata hao wanatungeneza furniture nzuri tu huku mtaani.. Hawa vyuo bachelor of electronics wanauza mikeka.
Română
1
0
0
77
😎
😎@elia65637·
@assengajrr Aah mi niliishia kidato cha nne, nilipata 4 ya 31😁😁
Filipino
1
0
0
87
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
@elia65637 Sasa ww na izo kozi zako nzito umetengeneza Gari au mashine gani hadi leo zaidi ya kuagiza china.
Slovenščina
1
0
0
223