EPM Writing Services
20 posts

EPM Writing Services
@eligius2015
Struggling to Get Interviews? We Write ATS CVs That Get You Noticed | CV, Cover Letter & Proposal Expert | EPM Writing Services Tz
Tanzania Katılım Ocak 2026
14 Takip Edilen6 Takipçiler

@Elsukay0 Sisi Tunasaidia wataalamu kuonekana zaidi kwa waajiri kupitia CV bora zenye ATS Kulingana na professional yako.
Karibu EPM Writing Services – tunatoa huduma nchi nzima ya Tanzania.
WhatsApp: 0768615672
Indonesia

@Sativa255 Sisi Tunasaidia wataalamu kuonekana zaidi kwa waajiri kupitia CV bora zenye ATS Kulingana na professional yako.
Karibu EPM Writing Services – tunatoa huduma nchi nzima ya Tanzania.
WhatsApp: 0768615672
Indonesia

@godbless_lema Dah!
Sisi Tunasaidia wataalamu kuonekana zaidi kwa waajiri kupitia CV bora zenye ATS Kulingana na professional yako.
Karibu EPM Writing Services – tunatoa huduma nchi nzima ya Tanzania.
WhatsApp: 0768615672
Indonesia

Usafiri wa boda boda(Pikipiki) haukupaswa kuwa usafiri wa umma. Boda boda imegeuka njia ya kupeleka vijana na watu wengi kwenye vifo, ulemavu na umasikini. Ukosefu wa sera za uchumi, usalama barabarani, na ujinga wa kisiasa ni msingi mkuu wa janga hili. Kutega kura kwa gharama ya damu ni dhambi na ujinga wa kiwango cha juu. Kukaa kimya ni kushiriki kwenye mauaji na mateso haya. Vijana hawa siku moja, watashituka kuwa hawakuongozwa vyema na hali itakuwa mbaya sana kwenu.
Indonesia

@millardayo Sisi Tunasaidia wataalamu kuonekana zaidi kwa waajiri kupitia CV bora zenye ATS Kulingana na professional yako.
Karibu EPM Writing Services – tunatoa huduma nchi nzima ya Tanzania.
WhatsApp: 0768615672
Indonesia

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Albert Msando amefika katika eneo la Stendi ya Mawasiliano, Ubungo Jijini Dar es salaam ambapo vibanda katika eneo hilo vimeteketea kwa moto hii leo Aprili 4, 2026 ambapo amewapa pole Wahanga waliounguliwa na vibanda vyao na amewaahidi ulinzi wale wote ambao wamefanikiwa kuokoa mali zao.
Akizungumza baada ya kufika katika eneo hilo Msando amesema "Kwa hiyo mimi niwape pole sana kwa niaba ya Mheshimiwa Rais na Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa nimefika hapa kuwapa pole lakini pia kuwashukuru kwa sababu wakati sisi Zimamoto tunafika mzimaji wa moto wa Kwanza ni Mwananchi mwenyewe hii kazi kweli mmeifanya kwa kweli sio ndogo"
"Sasa kwa wale ambao imebidi wahamishe mali zao cha kwanza uzuri Kamanda wa Polisi yuko hapa tutaweka Askari hapa mpaka kukuche asijidanganye mtu kwamba atatokea Mtu adokoe mali ya Mtu, kwa sababu tunawapa Watu wengine kazi na ukishatoa mali yote kwenye duka alafu hukuwa na mahali pakuipeleka mwingine anaweza kupata hasara lakini Jeshi la Polisi litakuwepo hapa mpaka kukuche kulinda mali za watu"
#MillardAyoUPDATES
Filipino

@godbless_lema Sisi Tunasaidia wataalamu kuonekana zaidi kwa waajiri kupitia CV bora zenye ATS Kulingana na professional yako.
Karibu EPM Writing Services – tunatoa huduma nchi nzima ya Tanzania.
WhatsApp: 0768615672
Indonesia

Wapumbavu wakipeana sifa, upumbavu hugeuka huduma. Wasio na utambuzi hupiga makofi wakidhani ni baraka. Kelele zinapozidi bila maana, ujue si hekima inayoongea, ni ujinga uliopata jukwaa. Tatizo si mavazi wala vipaza sauti, bali ujumbe usio na maarifa unaopotosha jamii. Kikao hiki kimekutanisha upumbavu na ushamba. Kundi la wapumbavu likiongozwa na upumbavu, mwisho wake ni aibu. Angalia na sikiliza huu UPUMBAVU wa huyu content creator.

@Thereal_Kabote Unatuma CV nyingi lakini hupati interview?
Tatizo linaweza kuwa CV yako haiko ATS Friendly.
Nakuandikia CV professional inayopitisha mfumo wa waajiri 👇
📩 DM sasa
📱 WhatsApp: 0768615672
#CV #Jobs #EPMWritingServices
Indonesia

Airtel Tanzania wanakuambia
Unlimited internet unayopewa ikifika kiwango cha juu cha matumizi
Speed lazima ishuke
Nimewauliza
Kiwango cha juu cha matumizi ni GB ngapi, hawasemi
Na wana recomand
Kama unataka kuboost ulipe kiasi kidogo speed itarudi kama awali
Wakuu niambieni
Provider gani wa internet bongo hana hizi mambo
Akikupa unlimited iwe ni wewe na muda wako na si kupangiana matumizi.
Indonesia

@maestrochance_ Unatuma CV nyingi lakini hupati interview?
Tatizo linaweza kuwa CV yako haiko ATS Friendly.
Nakuandikia CV professional inayopitisha mfumo wa waajiri 👇
📩 DM sasa
📱 WhatsApp: 0768615672
#CV #Jobs #EPMWritingServices
Indonesia

@mangekimambi @realDonaldTrump Unatuma CV nyingi lakini hupati interview?
Tatizo linaweza kuwa CV yako haiko ATS Friendly.
Nakuandikia CV professional inayopitisha mfumo wa waajiri 👇
📩 DM sasa
📱 WhatsApp: 0768615672
#CV #Jobs #EPMWritingServices
Indonesia

President @realDonaldTrump kawapa pressure Cuba mpaka wamenza kuwaachia wafungwa wa kisiasa ambao walifungwa sababu ya kupinga serikali.
Kwanini Watanzania hatupush kwa kuomba msaada kwa Trump ili Tundu Lissu aachiwe?
Tundu Lissu hawezi kuachiwa na kimama kwa sasa sababu anajua kitakachofata.
Watanzania, inabidi tuache kila kitu na ianze viral campaign, kwenye social media, ya kuomba msaada wa Trump hii ya situation iliyopo Tanzania.
Kuna Watanzania bado hawaja grasp kuwa sisi wananchi peke yetu kuwaondoa wauwaji madaraka itakuwa ngumu mnoo, lazma tupate backup ya nje.
Trump akiwa involved leo, Tundu Lissu anaachiwa next week.
Remarks@remarks
JUST IN: 🇨🇺🇺🇸 Cuba to pardon over 2,000 prisoners due to pressure from the United States.
Filipino

@millardayo Unatuma CV nyingi lakini hupati interview?
Tatizo linaweza kuwa CV yako haiko ATS Friendly.
Nakuandikia CV professional inayopitisha mfumo wa waajiri 👇
📩 DM sasa
#CV #Jobs #EPMWritingServices
Indonesia

Msemaji wa Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) David Misime, leo Jijini Dodoma ametoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambazwa na baadhi ya Watu kuhusu madai ya kupotea kwa sehemu za siri za Wanaume pindi wanaposhikwa mabega ambapo amesisitiza kuwa matukio hayo sio ya kweli na ni uzushi unaolenga kuleta taharuki.
DCP Misime ameeleza kuwa uchunguzi uliofanywa na Jeshi la Polisi umebaini kuwa baadhi ya Watu waliodai kupoteza sehemu zao za siri wamekutwa na sehemu hizo baada ya kukaguliwa hivyo Wananchi wanapaswa kupuuza taarifa hizo zisizo na ukweli.
Aidha, amewataka Wananchi kuacha kuamini imani za kishirikina ambazo zimekuwa chanzo cha hofu na taharuki hiyo na kuonya kuwa imani hizo zimesababisha madhara makubwa ikiwemo vifo vya baadhi ya Watu waliouawa na Wananchi wenye hasira kali wakihusishwa na tuhuma hizo zisizo na msingi.
#MillardAyoUPDATES

Indonesia

@godbless_lema Unatuma CV nyingi lakini hupati interview?
Tatizo linaweza kuwa CV yako haiko ATS Friendly.
Nakuandikia CV professional inayopitisha mfumo wa waajiri 👇
📩 DM sasa
#CV #Jobs #EPMWritingServices
Indonesia

Kauli hii ya KIPUMBAVU inashusha hadhi ya Ndoa na Mwanamke. Mapenzi si “show” ya kununuliwa kwa iPhone, ni wajibu wa kiungu unaojengwa kwa upendo na heshima. Ukianza kujenga ndoa kwa zawadi, ujue umeiweka rehani.
Leo iPhone, kesho akipewa G Wagon nje anakuuza bila hata huruma. Ndoa si biashara, ni agano. Ukilifanya soko, usishangae bei ikipanda na wewe ukauzwa. Achaneni na hizi INJILI za Tik Tok.

Indonesia

✔ Kutumia keywords zinazotakiwa
✔ Kusomeka kirahisi na mfumo
💡 Huu hapa ni mfano wa ATS Friendly CV 👇
Unataka na wewe CV yako iwe professional na ipite ATS?
📩 Nicheki inbox au WhatsApp: 0768615672
EPM Writing Services – Tunakufanya uonekane kwa waajiri!
#CVTips #JobSearch
Indonesia

@elonmusk What if you were the last hope for survival?
📖 The Last Son of Survival – Chapter One is finally here.
A gripping story of courage, struggle, and the fight to stay alive in a world that has almost lost hope.
Start the journey now 👇
selar.com/17776d1320
English

Cybertruck steel is bulletproof to any handgun, shotgun or Tommy Gun
Tesla North America@tesla_na
Tesla Diner was constructed using recycled stainless steel from @Cybertruck production
English

@elonmusk What if you were the last hope for survival?
📖 The Last Son of Survival – Chapter One is finally here.
A gripping story of courage, struggle, and the fight to stay alive in a world that has almost lost hope.
Start the journey now 👇
selar.com/17776d1320
English

@SahilBloom For those serious about mastering long-term professional leverage:
selar.com/60o1737dba
English

@AdamMGrant For those serious about mastering long-term professional leverage:
selar.com/60o1737dba
English

For those serious about mastering long-term professional leverage:
selar.com/60o1737dba
English

For those who understand that serious career growth is a strategic discipline — not a motivational exercise.
selar.com/60o1737dba
English










