Boethius
2.6K posts


VIDEO:
Askari Magereza Mstaafu Christina Mjema amejikuta akishindwa kujizuia na kutoa machozi wakati akieleza kero yake ya kutolipwa mafao toka alipostaafu mwaka 1994.
Bi Mjema alikuwa akieleza kero hiyo mjini Babati mkoani Manyara Februari 21, mbele ya Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi @ccmtanzania Ally Hapi @AllyHapi hapi ambapo alimkabidhi kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo ili aweze kusaidiwa kutatua kero hiyo.
Kabla ya kumkabidhi kwa Naibu Waziri, Ali Hapi alimkabidhi mama huyo kiasi cha shilingi 50,000/= ili aweze kuendelea kujikimu wakati changamoto yake ikitatuliwa.
Indonesia

@Sativa255 Mzee tulia , kama vile hunanyolewa, kinyozi hajamaliza kukunyoa.
Indonesia

@AdameMedia That is what Israel is doing, Zionists will never approach hamas peacefully because they deteriorate piece and harmony of ✡️
English

@MOSSADil They muderd this family Itentionally as a revenge. So this is an alarm on what this human kind have in their heads even now. For hamas to say a lie that bibas were killed by Usrael's air attack is another proof on how hamas will stand for what they belive as a jihad war on jews
English

Hivi imekuwa je huyu anakaa meza moja na mama, alafu wanametisha kabisa yani. Hata waziri tu mwenye dhamana hajametisha. Hii imekaaje kwa upande wako? @ikulumawasliano @SuluhuSamia . Mimi hii imenichanganya sana kwa kweli na sijapenda. Kama nina wivu poa tu 😎😌
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo pamoja wa wageni mbalimbali wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasanii wa Komedi Tanzania (TCA) katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025.
Indonesia

@bajabiri Hivi imekuwa je huyu anakaa meza moja na mama, alafu wanametisha kabisa yani. Hii imekaaje kwa upande wako . @ikulumawasliano @SuluhuSamia . Mimi hii imenichanganya sana kwa kweli na sijapenda. Kama nina wivu poa tu 😎😌
Indonesia

STAR OF THE NIGHT
Kila tukio linakuwaga na Star wake kwa tukio hili la Tuzo za Comedy hadi sasa huyu Mwana ndio Star of the Night ⭐️
Ametisha sana utulivu, mpangilio wa Content na uwasilishaji 🫡
#CHEKANASAMIA
Filipino

@MariaSTsehai @tanpol Task force yoyote ni Jeshi la Majambazi ambalo linakuwa na baraka ya Rais.Yaani hawa huwezi kuwagusa. Ndiyo maana unaona wanaishia kuitwa watu wasiojulikana. Hawa kwa mazingira ya sheria ya usalama wa taifa nao unaona kabisa wanalindwa na hiyo sheria. Ila cheo kimewazidi uwezo.
Indonesia

📌BOOKMARK THIS‼️
‼️ KIKOSI MAALUM KIBAHA‼️
Mdau ametuma taarifa za hiki kikosi hadi namba zao za simu
Wananchi wamechoka @tanpol tunahitaji uwazi kuhusu maafisa hawa wa kikosi maalum wanaohusishwa na utesaji na utekaji wa wananchi
Huyo mwenye Rasta tunaambiwa na mdau anaitwa Dany, mdau anaeleza kuwa ni afisa mwenye nyota moja. Mwingine aliyeenda kuokota pikipiki ktk ile video ya juzi anaitwa Nyamrunda.
Kikosi hiki wanakijua wengi na imewaumiza watu wengi sana!
Imeelezwa hapa kuwa RCO ndo anawapa resources kuanzia magari nk!
Mnakumbuka nilileta mwaka jana taarifa hapa kuwa vikosi vina-coordinate na maRCO? Haya huyu mdau kaleta ramani yote
Nawashukuru wazalendo ambao wamekataa kukaa kimya
Nimepewa taarifa nyingi na tutazichakata zote!
Tukomeshe hizi task force za kishenzi na tuseme utekaji sasa basi
#EndAbductionsTz #TutaelewanaTu



Indonesia

@ikulumawasliano jamaa alikuwa anataka hadi kumkumbatia Rais wetu kwa furaha. Sema mama ikabidi ajitahidi kumsukuma kimtindo 🤣.Ila ni safi it's OK. Urais ubaki kuwa cheo tu na iwe chini ya sheria nzuri na katiba nzuri.Katiba inayomfanya rais aanze jihisi kama vile ni Mungu inaua nchi za africa
Indonesia

@jaliluzaid jamaa alikuwa anataka hadi kumkumbatia Rais wetu kwa furaha. Sema mama ikabidi ajitahidi kumsukuma kimtindo 🤣.Ila ni safi it's OK. Urais ubaki kuwa cheo tu na iwe chini ya sheria nzuri na katiba nzuri.Katiba inayomfanya rais aanze jihisi kama vile ni Mungu inaua nchi za africa
Indonesia

@CharlieBihemo Hizi Picha zinafundisha mambo mengi sana Kwanza kabisa, rais ambaye ni binadamu na kwa sababu hiyo ana vinasaba vyote vya kibinadamu kama mimi na wewe, sote tunajisikia furaha na uchungu na ni haki yetu. Kwa hiyo binadamu akipewa cheo juu ya wenzake anaitaji mipaka kikatiba.
Filipino

@Labella_Mafia95 Hizi Picha zinafundisha mambo mengi sana Kwanza kabisa, rais ambaye ni binadamu na kwa sababu hiyo ana vinasaba vyote vya kibinadamu kama mimi na wewe, sote tunajisikia furaha na uchungu na ni haki yetu. Kwa hiyo binadamu akipewa cheo juu ya wenzake anaitaji mipaka kikatiba.
Filipino

@Sativa255 Tanzania hatuna @tanpol hili jeshi ni jeshi lililoundwa kwa mfumo wa kikoloni tupu. Hapa hakuna kitu. Hakuna kufwata Sheria na hata kwenye kufwata sheria hata kama wanaijua sheria wao wanafanya tu. Jeshi linafanya kazi kimazoea kwa sababu huo ndio msimamo wa Serikali. Hovyo
Indonesia

#EPL Hii ndiyo mlisema ni Chelsea ya Asali na maziwa au kuna nyingine?
FULL TIME ⏰ : ASTON VILLA 2-1 CHELSEA
#EPL #EastAfricaTV

Filipino

@piersmorgan Your business agendas within the club is Ending Arsenal. Remember we are living in a new error but imagine a quater of century No EPL Trophy,at all time No UEFA Champions league trophy. Trust me very soon you will start fighting just for not dropping for championship,Fuck you.
English

We need to up our trouser game, son.
Spencer Morgan@spencermorgan93
At least got to meet this gent at half-time today. God we could have done with him Pace is king and our team has ZERO without him
English




















