Elias

45 posts

Elias

Elias

@emlundwa

Money has no shame!

Dar es Salaam Tanzania Katılım Eylül 2010
82 Takip Edilen72 Takipçiler
Elias retweetledi
jonunda
jonunda@JosmoMlundwa·
Hapo nyuma basi linaitwa Adventure
jonunda tweet media
Iringa, Tanzania 🇹🇿 Filipino
1
1
2
0
Elias retweetledi
millardayo
millardayo@millardayo·
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza Dkt.John Pombe Magufuli wa CCM kuwa Mshindi wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupata kura 12,516,252 akifuatiwa na Tundu Lissu mwenye kura 1,933,271, Mama Samia Suluhu ametangazwa kuwa Makamu wa Rais. #MillardAyo2020
millardayo tweet media
Indonesia
106
63
1K
0
Elias
Elias@emlundwa·
@KenRoth @KenRoth George Perry Floyd Jr. (1973 – May 25, 2020) was an African American man killed during an arrest after a store clerk alleged he had passed a counterfeit. A white police officer named Derek Chauvin knelt on Floyd's neck for a period initially reported to be 8 mins and 46s
English
0
0
0
0
Kenneth Roth
Kenneth Roth@KenRoth·
Fears mount that, with elections today, Tanzanian President John Magufuli will live up to his nickname “the Bulldozer” by crushing dissent and bulldozing democracy. trib.al/xDR7r36
Kenneth Roth tweet media
English
93
246
1.3K
0
Elias retweetledi
Gerson Msigwa
Gerson Msigwa@MsigwaGerson·
Arusha mtakunywa maji hadi muite mma 🤣🤣🤣.
Indonesia
229
115
1K
0
Elias retweetledi
Chama Cha Mapinduzi
Chama Cha Mapinduzi@ccm_tanzania·
“Mimi John Pombe Joseph Magufuli mgombea wa nafasi Urais kupitia Chama cha cha Mapinduzi (CCM) kwa heshima na unyenyekevu mkubwa ninaomba kura ya NDIYO ✅ kwangu, Mbunge na Diwani wa CCM ifikapo tarehe 28 Oktoba 2020”- Ndugu @MagufuliJP #ChaguaCCM #KuraKwaMagufuli2020 #T2020JPM
Chama Cha Mapinduzi tweet media
Indonesia
223
142
897
0
Elias retweetledi
Dr John Magufuli
Dr John Magufuli@MagufuliJP·
Naitwa John Pombe Joseph Magufuli, mgombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ewe Mtanzania mwenzangu, naomba kura yako ya ndio tarehe 28/10/2020. Chagua Magufuli kwa maendeleo ya kweli ili tuendelee kujenga Tanzania mpya. Asante.
Filipino
7.3K
3K
19.9K
0
Elias retweetledi
Chama Cha Mapinduzi
Chama Cha Mapinduzi@ccm_tanzania·
"Kuna watu wapo miguu juu kama mende, tena kwa raundi moja ya kampeni wakati zipo sita,wajanja kama mzee Mrema na Cheyo wakasema hapa tunamuunga mkono Magufuli, waliobaki wote tusilaumiane, tutatumia nguvu zote za CCM bila kujali udhaifu wao, tutawashinda, hadharani kwa kishindo"
Chama Cha Mapinduzi tweet media
Indonesia
76
69
476
0
Elias retweetledi
Chama Cha Mapinduzi
Chama Cha Mapinduzi@ccm_tanzania·
Katibu Mkuu wa CCM Ndg Bashiru Ally Kakurwa amekemea vikali tabia za baadhi ya wanachama wa CCM wanaopanga kukisaliti Chama katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu kwa maslahi yao binafsi. Ameahidi kuwachukulia hatua kali watakaobainika kusaliti Chama ikiwemo kuwafukuza Uanachama.
Chama Cha Mapinduzi tweet media
Indonesia
184
77
674
0
Elias retweetledi
Chama Cha Mapinduzi
Chama Cha Mapinduzi@ccm_tanzania·
Katibu Mkuu Ndugu Bashiru Ally Leo Jumapili tarehe 13 Septemba 2020 akiwa Mkoani Geita ametoa maelekezo kwa Kamati za Siasa za Wilaya nchi nzima kuendelea kutoa taarifa za maendeleo ya Kampeni za Chama Cha Mapinduzi za kila siku na kuimarisha mawasiliano wakati wote wa Kampeni.
Chama Cha Mapinduzi tweet media
Indonesia
37
37
279
0