Emmaddamas
1.4K posts

Emmaddamas
@emmaddamas
💫.......Master plan and counselor of Society 👨💼.......Knowledgeable in community development 👨💻........Now BHRM in T.I.A📝 💛💚 YANGA and MAN U ❤
Katılım Mayıs 2022
115 Takip Edilen147 Takipçiler

@Innocen89950594 Mwambie Ani DM hapa me kazi yangu itakuwa ni kumpa anacho taka
Indonesia

@zoetjesheeftX Haya ya ndaro ndio yangu sasa Tena juzi Tu Toka jmos mpaka Leo Niko singo kaamua kununa Tu. Na me nimekausha hakuna mda wa kubembeleza kwanin Tunaoa hapo 😕
Indonesia

Ndaro ameeleza kuwa sababu ya yeye kuachana na Tunda ni kwamba hakuna aliemfania mwenzake wote wawili walikuwa waaminifu sana kwenye mahusiano yao
Lakini ilitokea kuwa Tunda alimnunia Ndaro na Ndaro nae akamnunia Tunda, hakuna alie taka kujishusha kuomba msamaha basi wakaachana kimya kimya bila ya kuambiana neno lolote lile
Tunda alimnunia Ndaro kwakua kuna jambo fulani alikuwa akilihisi juu ya Ndaro na Ndaro ukweli alikuwa anaujua si hivyo alivyo kuwa akiwaza Tunda, basi Ndaro anasema na yeye alikataa kujishusha wakaachana kimya kimya 🤫😁

Filipino

@PolycarpMDM Kwanin na wenyew wapike vibaya mbona wenyew. Wanakula vyakula vizuri huu ni uonevu. Kwan hawa wanafunz ndio Wana haki ya Kula vyakula vya ajabu.
Indonesia

@mlinganya Me nikisema Nioe mwanamke mwenye mtoto stoi mahari bna yaananme nampa heshima ya kuishi nae na kumtunza afu tena nitoe mahari akat jamaa lenye mtoto limezalisha bule na limeacha hapo
Filipino

Baada ya kutumiwa na kila mwanaume huko, kila mwanaume kamwagia takataka zake huko ndani, katoa mimba ziso idadi ndipo wewe ukamuoa. Cha ajabu unatamba nae kwenye mitandao wakati umeoa malaya kila mwanaume anamjua nje ndani. Hakuna kitu kinanishangaza kama mtu kuoa mwanamke akijua wazi kuna wanaume wengine wanajua uchi wa mke wake,
Filipino
Emmaddamas retweetledi

@TMnyama4_ Mwambie Atafte frem ilio changamka center
Atenge Laki Tano Kodi Laki Tano maboresho ya ofisin, anunue kabati na display bord Afu anunue Vifaa vya PHONE ACCESSORIES vya 2M mtaji wake huo atakuja kunishukuru. yaan hapo atakuwa akiuza hata chaji moja analala Hana shida.
Filipino

@Rydx_017 @DullahTheking2 Me mwenyew huwa nasema NUSU SAA ni Kali kichiz watu hawaelew ety PAWA pawa ya madem hyo
Indonesia

Kila mtu anamapenzi yake.
Ila hata mimi, mwanzoni wakati EP ilivyotoka, nilikua nashangaa, kwanini watu wanaipenda sana PAWA kuliko Nusu saa niliyoipenda mimi
But nilijazwa nikaielewa japo sio saana, still nakubali Nusu saa.
The way with Furaha, I still think "Me too" is better than "Furaha"
Indonesia




























