Emwani Cafe
84 posts

Emwani Cafe
@emwanicafe
Emwani Cafe ☕ Rooted in African Heritage. Warm hearts. Timeless culture. Call US +255 774 411 090
Dar Es Salaam Katılım Haziran 2025
0 Takip Edilen39 Takipçiler
Emwani Cafe retweetledi

UJUMBE WA MKURUGENZI EMWANI LEO MENDEZ BAADA YA KUSHINDA TUZO ZA VIJANA AFRIKA MASHARIKI*
"Tunatoa shukrani za dhati kwa kila mmoja aliyepiga kura kwa ajili ya EMWANI @emwanicafe chapa yetu ya kahawa kwa kutambuliwa na East Africa Youth Awards kwa tuzo ya:
“Ubunifu katika Uzalishaji na Bidhaa (Manufacturing & Product Innovation Award)” iliyotolewa leo Arusha.
Vilevile, ninajivunia kutambuliwa kama Kijana Kinara katika Kilimo Biashara (Trailblazing Youth in Agribusiness) — mkulima wa kisasa tunayejikita katika kuongeza thamani ya mazao (value addition).
Asanteni sana kwa kuamini katika kauli yetu: KAHAWA NI EMWANI kwa pamoja tunaendelea kuchemsha mafanikio na kujenga maendeleo."

Filipino
Emwani Cafe retweetledi

UJUMBE WA MKURUGENZI EMWANI LEO MENDEZ BAADA YA KUSHINDA TUZO ZA VIJANA AFRIKA MASHARIKI
"Tunatoa shukrani za dhati kwa kila mmoja aliyepiga kura kwa ajili ya EMWANI @emwanicafe chapa yetu ya kahawa — kwa kutambuliwa na East Africa Youth Awards kwa tuzo ya:
“Ubunifu katika Uzalishaji na Bidhaa (Manufacturing & Product Innovation Award)” iliyotolewa leo Arusha.
Vilevile, ninajivunia kutambuliwa kama Kijana Kinara katika Kilimo Biashara (Trailblazing Youth in Agribusiness) — mkulima wa kisasa tunayejikita katika kuongeza thamani ya mazao (value addition).
Asanteni sana kwa kuamini katika kauli yetu: KAHAWA NI EMWANI kwa pamoja tunaendelea kuchemsha mafanikio na kujenga maendeleo."

Filipino

Namna Washindi wa pili @fountaingatesportsacademy Walivyopokea Medali zao 🥈🥈🥈🥈@yangascsoccer
Filipino