ЄƦ30

38K posts

ЄƦ30 banner
ЄƦ30

ЄƦ30

@ercurry_

TipsCreater • KindnessMan • God Is Great•GIG

else Katılım Nisan 2024
4.4K Takip Edilen4.4K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
ЄƦ30
ЄƦ30@ercurry_·
Ukishazaliwa mwanaume anza kupambana hata kama una mwezi mmoja.
27
78
433
18.6K
SHALIPOPO 🦇
SHALIPOPO 🦇@jinnyX66·
"Sawaa ni mzuri anavutia lakini ni mngoni halafu Nurse"
SHALIPOPO 🦇 tweet media
Indonesia
9
5
11
129
kamete jr
kamete jr@BahathJust31242·
Ongezeko la washikaji wengi wanavaa ivi hii ina mahana gani?
kamete jr tweet media
Indonesia
2
0
1
13
ЄƦ30 retweetledi
Brave man
Brave man@thomas_yona_·
Linapokuja suala la kucheza mziki Mungu hakuwasahau watu wafupi.🙌
Indonesia
7
12
25
326
ЄƦ30 retweetledi
TheBoss.💰
TheBoss.💰@BOSSferdd·
Watu wa mfungo Sita mnamaliza lini, kuna mrembo mmoja ananichenga kwa kigezo hicho wakati nataka halipe bill za ramadhani Niichape.😎
Filipino
1
8
13
84
ЄƦ30 retweetledi
TheBoss.💰
TheBoss.💰@BOSSferdd·
Acha ubishoo na hiyo account yako wapee wenzeo engagement fala wewe. Ujui kuna kufa.! 😒
Filipino
8
18
27
163
ЄƦ30 retweetledi
miss.nancy🇹🇿
miss.nancy🇹🇿@she_is_nancy255·
Kama kazini kwenu mnavaa sare😂 jitafakari sana Ukiachana hawa wa airport
Indonesia
12
3
21
833
ЄƦ30
ЄƦ30@ercurry_·
Unamdhamini mtu kachukua mkopo wa Million 40 halafu anakimbia unabaki wewe na msala jamaa wamekuja kupiga mnada nyumba ya mdhamini warudishe hela yao hii michezo ya hatari.🙌
Indonesia
0
0
1
25
ЄƦ30 retweetledi
AM💡
AM💡@TonnyUnfiltered·
Muache kijana aliyekata tamaa na aende akawinde. Akimuua tembo, umaskini wake unakwisha; na tembo akimuua yeye, umaskini wake pia unakwisha.📌
Filipino
14
24
38
307
ЄƦ30 retweetledi
MKEMIA MKUU👑🇹🇿
MKEMIA MKUU👑🇹🇿@mkemia_mkuu68·
Maji madogo 5000/= Red Bull 9000/= Dar mnaona kila mtu Falaa eeeh Hii nchi yetu Sote
MKEMIA MKUU👑🇹🇿 tweet media
Indonesia
9
10
40
581
Elogy
Elogy@Elogy3·
@ercurry_ Hahahahahaa makabila hayo yana hatariii kinoumaa
Filipino
1
0
0
4
ЄƦ30
ЄƦ30@ercurry_·
Ukianzisha ugomvi na Mgogo/Masai hakikisha umefunga ínjini ya V8 na turbo mbili.😄😄
Slovenščina
3
3
13
127
ЄƦ30 retweetledi
Mαɳყσƚα
Mαɳყσƚα@munishimanyota·
Nilikotoka Vs niliko sasa 😁 unanipa asilimia ngapi??
Mαɳყσƚα tweet mediaMαɳყσƚα tweet mediaMαɳყσƚα tweet media
Filipino
5
4
18
417
ЄƦ30 retweetledi
Adv.Innocent⚖️
Adv.Innocent⚖️@Adv_innocent·
Pale kijijini sa hii nishaamshwa na kakofi ka mfuko ya mbegu mama anasisitiza nikapande mahindi ya fungu la la kumi na nguo za krismasi sababu mwezi wa kumi nambili hataki kugasiwa. Good morning.🖐
Filipino
33
39
75
583
ЄƦ30 retweetledi
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Hivi ni kabila gani hawatozi mahari kubwa ukitaka kwenda kuoa..?
Indonesia
22
19
44
782
ЄƦ30 retweetledi
LYKER 🌴
LYKER 🌴@Paullyker·
Hata uyo uliyenaye ni mzuri, sema tu umemzoea Good morning my X family 😊
Filipino
26
30
57
450